chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kama ni hivyo, asubiri na yeye atengeweUmevuka mipaka ya ubindamu, ccm inatambuwa walemavu na wanatengewa viti maalum bungeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni hivyo, asubiri na yeye atengeweUmevuka mipaka ya ubindamu, ccm inatambuwa walemavu na wanatengewa viti maalum bungeni.
Mama yako mzazi.Nyanoko
kwa nondo zile unamdhalilisha au unajidhalilisha 🐒Kinana ameshapitwa na wakati, wameiba vya kutosha angejipumzikia zake tu anatafuta aibu za uzee.
Yule Tundu Lisu kama kama hakuweza kumstahi Magufuli huyu Kinana anatafuta kudhalilishwa tu.
Badala ya kumshukuru mtoa hoja na kushughulikia hoja wapo tu kupambana. Haya mambo yalikuwepo sana enzi ya JK yakasababisha kampeni za ccm zikawa ngumu sana. Yaani hawa jamaa hanawaga lessons learnt?Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa.
Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo.
chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana sasa amekuja Makamu mwenyewe Cmd. Mh. Kinana dhidi ya Makamu Mwenyekiti Mh. Tundu Lissu!
Nini ambacho Mh. Kinana anadhani walisahau ambacho amerudi kufafanua?
Kaliwa ban,,, inaelekea kuna sehemu mapambano yalikua makaliHivi yuko wapi huyu mwamba?
DuuhKaliwa ban,,, inaelekea kuna sehemu mapambano yalikua makali
Hahaakwa nondo zile unamdhalilisha au unajidhalilisha 🐒
The Muzee kapiga slow but sure. Left Right and center 🐒
DuuhLissu kilema, nani anataka Rais wa hivyo? Na wanasema ukilema waga unapanda mpaka kichwani
Leo imekuwa kinyumeMbowe atajibiwa na mzee Wassira 🐼
The struggle is hotMakamu Mwenyekiti CCM Kinana amekuja front kumjibu Makamu Mwenyekiti CHADEMA Mh. Lisu. Hakika hii imekaa vizuri.
Sasa Mwenyekiti wa CHADEMA akiongea itabidi ajibiwe na Mwenyekiti wa CCM....
Mambo ni bampa to bampa....kwako
johnthebaptist
Lissu ni mbabe wa siasaSerikali Na Chama Dollar Wametikiswa Vibaya Mno
Kuanzia Jumatatu Serikali Yote Itaanza Kujibu Hoja Ingawa Ukweli Wa Lissu Umenyooka Kama Rula
Hilo linatoshaLissu namkubali sana sema sehemu chama alichopo sio chama sahihi yeye na wenje
Hilo Lissu atawasamre nchi itayumbaNilijua tu Kwa nondo za Lissu huko Lumumba hakutakalika! Hata hivyo ccm bahata yao ni mbaya wameshachelewa! Wananchi tumeshafahamu kila kitu! Na Mh jemedari wetu Lissu tunaomba ututajie na viongozi wa dini waliopewa tenda ya kifisadi ya kuagiza sukari.
Nasikia kaolewa na RC Ndg BashiteHivi yuko wapi huyu mwamba?
Mkuu acha matusi basi mwanaume anaolewaje?Nasikia kaolewa na RC Ndg Bashite
05 May 2024
Dodoma, Tanzania
Kinana: CCM Tumekubali Katiba Tunachobishana ni Lini. Wanataka Rais Asiwe na Kauli Kwenye Tume
View: https://m.youtube.com/watch?v=fPJEB-eVAxw
Leo Mei 5,2024, Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzani ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano.
Kwani wewe hukuona anavyomsifia bashite mpaka akiwa kalegeaMkuu acha matusi basi mwanaume anaolewaje?