Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

Viongozi wote waliobaki wajifunze kuheshimu watu , na kutumia madaraka yao vizuri , Kama na wait wataendeleza tabia zilezile za Jiwe watamfuata , hatutaacha kuomba Dua kwa mwenyezi Mungu kwa watesi wote .
 
Umeongea fact nyingi lakini Lisu na Lema ni malaya tu wa kisiasa wala hawastahiki kujadiliwa hapa kwa sasa
 
Lissu ametoa pole kwa familia ya marehemu na Watanzania wote, na kusisitiza kuwa huu ni wakati wa kuanza ukurasa mpya. Maana kwa miaka mi tano watu wameuwawa, wameteswa, wamepoteza kazi na wegine wamebomolewa nyumba zao.
Wewe unasemaje?
 
Those are your true colours, mama D!
Serikali ni taasi. Rais Magufuli alikua kiongozi mkuu ndani ya hiyo taasi na bado watendaji wapo wanachapa kazi

Wewe endelea kubong'oka tuu
 
Nimecomment nikafuta,, nikacomment nikafuta ,, nimecomment nikafuta tena, tena nikafuta nimefuta tena.
 
Umeongea fact nyingi lakini Lisu na Lema ni malaya tu wa kisiasa wala hawastahiki kujadiliwa hapa kwa sasa
Ok nimawazo yako! siyaheshimu lakini nimejaribu kufikiri Lissu amewahi kumdhulumu nani nini? Au mivutano yake namtu ndiyo tuingilie na kuchagua upande wa mwenyenguvu?? Lissu na Ramadhani ighondu sjui (mkumbuke ulimboka) nani anastahili kukaa bungeni?? Au lema na Katambi nani angefaa kuwa bungeni/wizarani??
Tuwe tunafikiri widely sio tunafikiri vile watufulani wanataka tufikiri!!! Tusiwe watumwa wa fikra!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…