mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
Chokochoko zote za TOBO zinalenga kuwaaminisha mashabiki wake kuwa anaweza kuwa Rais wa Tanzania. KILU huu ni upuuzi gani!? Hilo wasahau wote.Habari za Lissu kuwa rais wewe hazikuhusu..
Tunajadili aliyem'beep ISRAEL kwa TTCL akapigiwa kwa SAFARICOM.
Hata marehemu alijawa dharau kuliko wewe...Kwa kipi? Kwa ushabiki? Ahamie CCM ataangaliwa tuu.
Wewe nenda Ubelgiji, beko mwenyewe! Whatever that means, nimekuiga tu!Nenda msibani sasa beko wewe
Kashushe bendera za Skauti na Sungusungu nusu mlingoti.Chokochoko zote za TOBO zinalenga kuwaaminisha mashabiki wake kuwa anaweza kuwa Rais wa Tanzania. KILU huu ni upuuzi gani!? Hilo wasahau wote.
Nyie mlificha ugonjwa wake mkawanyima watanzania fursa ya kumwombea. Ni aibu na fedheha kuhamishia hasira kwa lissu. Lissu aliwaamsha watanzania kuwa afya ya raisi sio njema . Je ilikuwa uongo ???Lissu atuache.
Tuko msibani asipandishe hasira za watanzania.
Na za vyama mfu pia zitashushwa nusu mlingoti kama dalili ya KUSHINDWA!Kashushe bendera za Skauti na Sungusungu nusu mlingoti.
Upuuzi uliovuka mpaka. Chuki na roho za kulipiza kisasi ziliididimizs ruanda na burundi. Tufikiri na kunena kwa busara ! Tujiepushe na mihemko ya kujipendekeza !!Hata kama itaundwa ila Lisu akipewa uongozi wowote mimi ntamvizia nmpige mawe
Kila mtu ashinde mechi zakeTupumzisheni basi tupo kwenye maombolezo
By the way jaribu kuleta HOJA siyo maneno ya mtaani humu JF. Msimuige sana Tobo, yeye anakula vya bure huko Ulaya ndugu. Msiwe na utapiamlo wa mawazo jamani!Kashushe bendera za Skauti na Sungusungu nusu mlingoti.
Unashauli kitu gani Sasa.Nina wasiwasi mwisho wa tundu Lissu ukawa kama wa Malcom X ambapo historia inatuambia mbali na influence ya Malcom X katika jamii ya watu weusi huko america, Kifo cha Rais Kennedy kikamponza na kumpoteza kabisa.
Hivyo ni wakati viongozi wa chadema wakashuriwa vizuri, Hakuna haja ya kuprove point kwa wakati huu sababu kila kitu alichofanya marehemu kizuri na kibaya vinajulikana.
Huu Ni ukweli mchungu kweli kweli.Bila kusema uongo anaweza, Lisu ni kichwa bora sana katika taifa hili ni basi tu siasa za maji taka. Watu aina ya Lisu ni hazina ya Dunia na sio wengi duniani. Tuseme ukweli tu japo kwa wengine ni mchungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu sasa hivi lazima utafute bwana mwingine wa kumsifia maana uliyekuwa naye ndio hivyo kaenda kuwa Malaika Mkuu.
We ndo unaeropoka unaandika usiyoyaelewa...sas yey ni mjinga akatumbue pasipo kosaUwe na evidence usiropoke kisa ulisikiasikia
Wewe unavyomuita Tobo ni lugha ya Kanisa gani..?By the way jaribu kuleta HOJA siyo maneno ya mtaani humu JF. Msimuige sana Tobo, yeye anakula vya bure huko Ulaya ndugu. Msiwe na utapiamlo wa mawazo jamani!
wamerithi kwa baba yao, si unakumbuka ndio zilikuwa zake hizi za hivyo, visirani na chuki, sisi tupo tunawaangalia wanavyoshangaa sasa hiviHizi roho za "chuki" ndio tunazopaswa kuziacha
Bado hatujifunzi tu
Wengi hapa inatakiwa watolewe kuna makatibu, wakurugenzi, wakuu wa wilaya na mkoa pamoja na wengine wengi Sana . Tunahitaji system mpyaHichi kifo kitapunguza machungu ya waliofiwa na ndugu zao Kwa janga la Corona. Mama Samia tunaomba mtoe kituko Waziri wa Afya.
Subiri tugawane soksi na mikoti ya marehemu.. tuanue matanga then uone kama kuna chama mfu hapo.Na za vyama mfu pia zitashushwa nusu mlingoti kama dalili ya KUSHINDWA!