Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

Nadhani juzi ulivyowafagilia hadharani Wazee wa kule juu hawakufurahia kabisa, ndio maana wameamua kuonesha kwamba wapo kazini.
 
Amini, Amini,Amini tutamuomba mungu atufunulie kujua huo utapeli wa kupigwa risasi kutoke kushoto zinaingilia kulia. Na aliye kushoto zinapoingilia risasi ambae ni dreva hakuumia.

What exactly do you mean?

Kwamba, kama zilipigwa kushoto na kutokea kulia, then polisi na mamlaka za usalama hazina sababu ya kuchunguza na kuwaleta culprits mbele ya vyombo haki na sheria?

You are a verified member in this forum...

You don't have to be so low this way. However, I will understand you if you briefly explain what exactly do you mean to say this....
 
Binafsi siwalaumu Polisi najua wapo kwenye shinikizo kali Sana kuhusu utendaji wao.
Ni kweli ni shinikizo na wanafanya wasiyoyapenda na kuyataka na wanajua siyo utaratibu wa kazi yao.mioyo ipo mbali na miili yao Kwa wanachokifanya.MUNGU AWASIDIE KUKATAA KUUMIZA WATU KWA MASHINIKIZO
 
Tayari anatapatapa si umeona mara amtume Polepole kuwaita wapinzani misukule mara amtume mkurugenziccm wa Tumeccm kupiga kampeni kwenye madini mahala ambapo kamweka waziri mbunge wa chato wanapiga pesa kimya kimya huku wakitembeza mikwara watu waogope kuwahoji
Achana nae Huyo jin.*..ga Wa sisiem ana chuki binafsi, hao wote ni wagombea wanafanya kampeni na ratiba haisimamiwi na ikulu Bali time, ambayo haiwezi kumhoji lissu sababu jiwe anavunja ratiba atakavyo
Huu ni WIVU
 
Wewe umevuka mpaka na kumpa sifa za Yesu eti alishinda mauti!! Lini Lissu alikufa akafufuka na kushinda mauti?

He was seven (7) days unconscious dead....!!

What exactly you don't understand?

Tundu Lissu siyo Yesu. Sijamfananisha na Yesu in any way. Nimesema, ni huyu Yesu Kristo kamponya Tundu Lissu na kifo na mauti ya risasi za AK47 na SMG 38 huku 16 zikizama mwilini...!

It was absolutely a miracle from the Almighty God....!!

Kaa chini na utafakari utagundua God is with Tundu Lissu....

Nakuhakikishia huyu ndiye Rais wako ajaye kuanzia tarehe 28/10/2020....

It is quite difficult to believe and accept this...

But seeing is believing. You are going to see and believe yourself immediately after 28th October.....
 
Yaani unasahau madaktari wa kwanza kumuokoa ni wa serikali misukule bana
Doctors wote duniani kipaumbele chao ni kuokoa uhai wa binadamu kwanza,hawaangalii itikadi,rangi,kabila,jinsi,dini au aina nyingine yoyote ya ubaguzi.
Hapo sasa unataka kushawishi kuwa serikali kumtibu Lissu ni hisani?Kwani wasiojulikana wana ubia gani na CCM na Serikali yake?Tunashuhudia utetezi usiokuwa wa kawaida wa hawa wadunguaji toka kwa viongozi serikali ni na huko CCM.
Msiwafanye Watanzania kuwa ni wajinga,tunaona na kusikia.
 
Hahahahahaha.......this is JAMII FORUMS....where we dare to talk openly.....
 
Leo tarehe 28/09/2020 katika viunga vya Nyamongo ambako msafara wa Mgombea wa Chadema Mh. Tundu A Lissu ulikua ukipita kuelekea Serengeti.

Ndiko kulikotokea hali ya kushtusha na kushangaza pale raia wa Kitanzania walivokuwa wakitoa ya moyoni kwa HISIA kabisa na kuonesha kuwa kuna dukuduku/joto kubwa katika mioyo yao hadi wengine kusikika wakisema kwa Sauti kali kuwa "FREEDOM IS COMING".

Hayo ni baada ya Baadhi ya Askari Polisi kuuvamia msafara wa Tundu Lissu na kuushambulia kwa mabomu ya kutoa machozi.

My take: Kama Mtanzania sikubaliani na kitendo cha Polisi kuvamia na kushambulia kwa namna yoyote ile Raia wasio na hatia.. Polisi ni mlinzi wa raia na mali zake na sio vyenginevyo.

Ndugu mdau wa JF , Raia na Muungwana, maoni yako ni nini kuhusiana na Tukio hili na unaitafsiri vipi hii kauli ya "FREEDOM IS COMING"

Chini hapa nimeambatanisha video ya Tukio, unaweza kuitazama:

 
Hii Chadema iko kazini, haya yote yataisha kabisa after this election. CCM shall have more younger leadership , so the ethos shall reverse, its just a matter of time.

From year 2020, CCM shall have 80% of elected leaders whose age is below 40 years.

Magufuli is managing generation transitional politics. It happened elsewhere and it will happen here in Tanzania. Hakuna kipya.

Thubutu
hivi umeona CHADEMA inapolekea?
U,ejiuliza kwanini kuna akina amma wengi wagombea huko CDM ?
 
Hawa Wamasai wa njiro ni kama vile wamelazimishwa kushika hayo mabango. Nyuso zao hazina furaha kabisa yaani.
IMG_20200928_173017.jpg
 
Tuliawaona wanajiandaa tukawaomba wanaume wasiingilie watuachie tudili nao sisi had hatua Ya Mwisho, tukakomaaa nao baadae mabomu yakawaishia wakatulia wakaja kistaarabu ndio tundu lisu akashuka kuwafundisha sheria.

Kama wangekuwa na mabomu mengi, maana yake had sasa tungekuwa tumeisha wakamata wote maana walikuwa wakipiga moja lapili tumeishawakalibia na wasichana wadogo Kabisa ndio walikuwa wanachukua Picha zote hizo zilizo kwenye mitandao, wanaume walikaa pembeni wakituangalia tunavyowazungusha huku tukipiga Picha na kuchukua video tulikuwa na Kazi Tatu Kwa Wakati moja kuchukua Picha, kuchukua video huku tukiwazungusha, wao walikuwa na Kazi moja tu Ya kupiga mabomu wanaume wachache walimlinda lisu wakiwa na Maji mkononi ili ikitokea anepatwa na Moshi wanamnawisha wengne wakiwa walinzi pembeni baadae ndio tukajirekodi tukituma Salama kuwa sisi ni pipoooozi

Omwiseke wa tarime atahanche magufuli ahete gukura ichatarime, toleitane ichinsiko choonswi agwe hase, nomonto omofefe Sana magufuli aleita afanto vyeito hano tarime mweto tulawanse gwitana hano na Afande fatuturii


Sasa kama nyinyi ndio nilikuwa wanaume na mnawachezesha kama unavyodai,kwanini nyinyi hao hao ndio wa kwanza kupost kwenye mitandao ya kijamii mkilalama kuwa mmepigwa mabomu?

Fanyeni kudeal nao kimya kimya tu kama mnayaweza!!

Si mnayaweza?

Ingieni kazini mseme nao,acheni kulia kulia humu,eti kurekodi video na kupiga picha,

ili iweje sasa....?
 
Anachofanya polepole kutaka kumdhibiti Lissu ni hesabu mbaya sana na sasa kumpiga mabomu ndio kabisaa dishi litayumba,Lissu atachanja mbuga zaidi ya hapo.
 
Lissu amewaeleza vizuri sana tena kistaarabu. Hiyo video hapo ni ishahidi mzuri sana kwa huko mbeleni tuendako.
 
Aisee.. yani Jiwe ana nini anachotafuta? Mbona muda wote palikuwa na amani tu? Mpaka amefanya vikao vyake huko ndio mambo yanakuwa hivi! Sasa ajue tu kuwa ndio anazidi kutukera. Tunaona 28 October ni mbali. Tunataka aondoke tu, tumemchoka.
 
Back
Top Bottom