Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mpaka Leo nashindwa kujua mabeberu ni Akina naniHe is being paid by mabeberu repsented by AMSTERDAM and Company. The amount is in form of handouts! Kama unaelewa!
kumbe upinzani ni uhalifu?
Kati ya wagombea watakaotia aibu mwaka huu ni Lisu.Magufuli ndio kwanza katoka kwenye mapumziko leo ndio anaendelea na campaign.
Anaeangaika kila kukicha Lissu hana jumatatu wala jumapili kutwa barabarani na kulialia Magufuli sijui kafanya hivi, CCM imefanya vile; badala ya kunadi sera za chama chake...
Badilisheni katiba basi awe rais wa kudum,msitishe watu hapa ,kwani cheo rais amezaliwa nacho hata Mimi kesho naweza kua rais,
Yani Kila siku rais why angombee,hiki ni kipindi Cha kampeni ,msiwafokee watu,acheni kujikuta bwana hakuna mwenye lesseni na nchi hii taratibu,sheria na kanuni zifuate,msituletee matatizo hapa,na kwa mazalau Kama haya tupo
MAKABURU wamejenga south africa bila kufilisi mtu wala kuua mtu wala kubambikizia watu kesi za uhujumu wala bila kutumia hela za wahanga wa maafa wala bila kunyang'anya pesa kwenye akaunti za watu masikiniCharacter assassination; vipi elimu, afya, miundombinu, barabara; mbona usiongelee hayo...
Mwana haram utamjua tuAdui ukisikia inalalamika, shikilia hapo hapo ujue umepatia, miaka15 Magufuli tena 2020 to 2035.
Na lazima tubadilishe katiba, kwani watanzania tutapiga kura kukataa au kukubali mabadiliko hayo ya katiba. hakuna wasi wasi tutapitisha kidemokrasia.
Umekula mchana??
Baseless accusationsMAKABURU wamejenga south africa bila kufilisi mtu wala kuua mtu wala kubambikizia watu kesi za uhujumu wala bila kutumia hela za wahanga wa maafa wala bila kunyang'anya pesa kwenye akaunti za watu masikini
Still wazalendo waliwafurusha
Of course Pombe kajenga Sana miundo mbinu na kununua ndege
The big question is by which cost?
Nelson Mandela hajajenga hata km moja
Lakini his legacy will be there forever
Pombe
Kaua wangapi?
Kajeruhi wangapi
Kafilisi wangapi
Kajeruhi wangapi
Wangapi wapo jela bila makosa
Huyu ni mtu katili na dhulma Sana
You can't be serious just because of different religions or political parties Ndio anatesa watu
Tangu uhuru wa nchi hii tulikua hatuna misamiati kama vile watu wasiojulikana
Best of ukarimu (hospitality) ni watu kua na Amani kutokana na maneno yako na mkono wako
Na ukarimu wa hali ya chini ni kuwaondolea watu udhia njiani
My friend lissu Kapata matatizo sio tu hawezi kwenda kumuona Bali wote walioenda kumuona walijikuta matatani
Mtu yupo Hoi anakata mshahara wake anakataa kuidhinisha hela ya matibabu
Wahanga wa tetemeko ambao walichangiwa na taasisi mbali mbali kakataa kuwasaidia
Sawa angalau angewapa pole na kuwaliwaza
Kawafuata na kuwaaibisha na kuwaambia your about to die
These are strange things in our country
Nampongeza mzee mwinyi alienda kumuaangalia lissu hospital na akampa hela kidogo bila uoga
Akaongea na waandishi wa Habari nairobi akasema ubinadamu Ndio umenifanya nije hapa kama kuna mtu kakasirika namuomba msamaha
Rais wa Sudan baada ya serikali yake kuangushwa alisema
"" Haya yananikua kwa sababu ya dua za masikini niliowadhulimu""
" mkapa aliua wapemba akaandika kitab cha kurasa 320 sijui pombe ataandika kitab cha kurasa ngapi
MAKABURU wamejenga south africa bila kufilisi mtu wala kuua mtu wala kubambikizia watu kesi za uhujumu wala bila kutumia hela za wahanga wa maafa wala bila kunyang'anya pesa kwenye akaunti za watu masikini
Still wazalendo waliwafurusha
Of course Pombe kajenga Sana miundo mbinu na kununua ndege
The big question is by which cost?
Nelson Mandela hajajenga hata km moja
Lakini his legacy will be there forever
Pombe
Kaua wangapi?
Kajeruhi wangapi
Kafilisi wangapi
Kajeruhi wangapi
Wangapi wapo jela bila makosa
Huyu ni mtu katili na dhulma Sana
You can't be serious just because of different religions or political parties Ndio anatesa watu
Tangu uhuru wa nchi hii tulikua hatuna misamiati kama vile watu wasiojulikana
Best of ukarimu (hospitality) ni watu kua na Amani kutokana na maneno yako na mkono wako
Na ukarimu wa hali ya chini ni kuwaondolea watu udhia njiani
My friend lissu Kapata matatizo sio tu hawezi kwenda kumuona Bali wote walioenda kumuona walijikuta matatani
Mtu yupo Hoi anakata mshahara wake anakataa kuidhinisha hela ya matibabu
Wahanga wa tetemeko ambao walichangiwa na taasisi mbali mbali kakataa kuwasaidia
Sawa angalau angewapa pole na kuwaliwaza
Kawafuata na kuwaaibisha na kuwaambia your about to die
These are strange things in our country
Nampongeza mzee mwinyi alienda kumuaangalia lissu hospital na akampa hela kidogo bila uoga
Akaongea na waandishi wa Habari nairobi akasema ubinadamu Ndio umenifanya nije hapa kama kuna mtu kakasirika namuomba msamaha
Rais wa Sudan baada ya serikali yake kuangushwa alisema
"" Haya yananikua kwa sababu ya dua za masikini niliowadhulimu""
" mkapa aliua wapemba akaandika kitab cha kurasa 320 sijui pombe ataandika kitab cha kurasa ngapi
Huu ni mwanzo tu wa chokochoko kwa maelekezo ya NECCM na Jiwe lao!!!!Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika
Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi, hakuna mabomu wala risasi za kutuzuia!! Hatutishwi!
For English Audience
Our convoy has been subjected to a massive teargas attack by the Police in Nyamongo, in attempt to block our route heading to our campaign meeting. Our supporters have equally been brutally caned and hurt. Let them bomb us and shoot us, but we shall never back down!!
TARIME: POLISI WAKANUSHA KUSHAMBULIA MSAFARA WA LISSU BALI WALIKUWA WAKIWADHIBITI WALIOKUWA WAKIWARUSHIA MAWE ASKARI
Kamanda wa Polisi, ACP William Mkonda amesema msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA haujashambuliwa
Amesema wao wamewapiga mabomu ya machozi watu waliokuwa wanawarushia mawe Askari wa Jeshi la Polisi na hadi sasa Msafara wa Tundu Lissu upo njiani kuelekea Serengeti na unaongozwa na Polisi
Kuhusu usalama wa Mgombea amesema kuwa tangu jana Mgombea huyo alipofika Tarime ok on ok I
Kisa cha kushambulia msafara wa kampeni ni nini??
Yatakwisha tu ipo sikuUhalifu ni moja ya sifa muhimu sana ukiwa Chadema kupata uongozi.
Anza mdaa huu mmechosha ,Yani mkiwa chama kimoja ni nyie mlipitisha vyama mbadala,na maana yake ipo siku mtakoma kushika dola na wataongoza wengine.Adui ukisikia inalalamika, shikilia hapo hapo ujue umepatia, miaka15 Magufuli tena 2020 to 2035.
Na lazima tubadilishe katiba, kwani watanzania tutapiga kura kukataa au kukubali mabadiliko hayo ya katiba. hakuna wasi wasi tutapitisha kidemokrasia.
Huo ndio ukweli kabisa, mbona polisi wanaposimamia mikutano yote iwe ya wapinzani iwe ya chama tawala kwa kutumia misingi yao ya kazi matatizo kama haya huwa hayatokei.Binafsi siwalaumu Polisi najua wapo kwenye shinikizo kali Sana kuhusu utendaji wao.
Brother try to Google Johannesburg or cape Town please. We are talking about people's lives not buildings and roadsYou guys blames and reject everything, see where magufuli has the country to new heights.
Kenyans richer but Tanzania home to more millionaires -- very new destination
Haujui MAKABURU walijenga Sana sauzi?Baseless accusations