Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa muda mrefu watanzania tulikua tunasemaWhat a load of nonsense, kuendelea kumchekea Lissu ni ku entertain his fantasy; yaani azuie shughuli za watu wengine barabarani kisa tu kichwani kwake anajiona ni sawa na raisi.
This joke has gone too far.
Unasahau JPM alifanya mkutano eneo ambalo Lisu alikuwepo..!? Polisi na tume walifanya nini!?Mmheshimiwa, kama hufuati ratiba, jee polisi wafanye nini? na ratiba ni ya nini? kwa nini tunakuwa na ratiba? ajitahidi kufuata ratiba mikoa mingine.
Kuna sehemu akikutana na askari ambae anafahamu sheria atakwama.
watanzania wenzio siku hizi ni magaidi? kenge mavz wewe.Naeapongeza jeshi la polisi kwa kurndelea kuwadhibiti magaidi wa chadema
Agizo toka juu linapokelewa bila kufikiria adhari zake kwa sababu polisi hawana akili zao za kuongezea ili waepushe dhoruba watakayopata maelfu ya hao wananchi wakiwageukia na kuwashambulia. Polisi wasivyo na akili wanaamini silaha walizonazo zilizonunuliwa kwa kodi za hao wananchi zitawalinda dhidi ya Raia wenye hasira huku majeshi na silaha za kivita nchi nyingine yalishindwa kuwathibiti raia wenye hasira ilibidi watoa maagizo huko juu wakimbie nchi zao na mapambano hayajaisha hadi leo. Nyuki ni wadudu wadogo sana lakini wakikasirika hakuna salia Mtume!Kuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mashambulizi?
Tundu kaanza kupinga uonevu wa makampuni ya wachimbaji na Serikali kwa wananchi kabla ya kuwa Mbunge. Hayo mengine mnamsingizia tuAs I have always been saying, Lissu has a mandated responsibility to report EACH AND EVERYTHING related to our 2020 General Elections to AMSTERDAM AND Company, ndiyo maana akiandika on any activities lazima aandike kwa Kiingereza ili hao waliomtuma wajue nini kinaendelea KWANI HE IS BEING PAID FOR THAT! And this report, like all others, is a continuation of Lissu's FABRICATED MISGUIDED AND MALICIOUS LIES as taught by the Amsterdams.
Camera does not lieKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Tarime Rorya William Mkonda amesema wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa CHADEMA ambao walikuwa wakishambulia askari Polisi kwa mawe baada ya kukatazwa kufanya mkutano katika eneo ambalo halipo kwenye ratiba ya CHADEMA kwa leo. tatizo la Chadema wanadhani hao wavuta bangi wao ndo watawapeleka Ikulu na hao viongozi wao ni wataalam sana wa kuongea uongo, jambo linatokea hawawezi kutoa ufafanuzi ni kwa nini imekuwa hivyo bali wanapotosha umma tena mbaya zaidi wanaungwa mkono na huyo Askofu wao uchwara Emmaus Mwamakule.
Kabaki ameachama mdomo wazi. Hizi kazi za upolisi bwana unaambulia aibu aliyekutuma amelala nyumbaniCamera does not lie
Katika huu uzi angalia ile video yule kamanda uchwara anapewa somo na lissu
Tunashukuru technology wakati mkapa anaua wapemba alikua anatumia maneno hayo kwa Sasa no where to hide
Kwa muda mrefu wataanza tulikua tunasema
We can't breathe
Lakini Sasa jiwe ndo linasema
I can't breathe
Kama yupo sawa na wengine kwenye uchaguzi kwanini aitwe ‘incumbent president’?Mkuu umeongea nini hapa, Kama rais anataka kubaki ofisin Basi asigombee,ila elewa mpaka Sasa Kama mgombea yuko sawa na wagombea wengine ,msitishe watu, yupo alie na yupo kweli mtakipata mtakacho
Hakuna siku hata moja toka mbinguni polisi wa Tanzania wana kosa sababu.. Wanasahau teknologia haidanganyi. Kwanini mrushiwe mawe??Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika
Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi, hakuna mabomu wala risasi za kutuzuia!! Hatutishwi!
For English Audience
Our convoy has been subjected to a massive teargas attack by the Police in Nyamongo, in attempt to block our route heading to our campaign meeting. Our supporters have equally been brutally caned and hurt. Let them bomb us and shoot us, but we shall never back down!!
TARIME: POLISI WAKANUSHA KUSHAMBULIA MSAFARA WA LISSU BALI WALIKUWA WAKIWADHIBITI WALIOKUWA WAKIWARUSHIA MAWE ASKARI
Kamanda wa Polisi, ACP William Mkonda amesema msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA haujashambuliwa
Amesema wao wamewapiga mabomu ya machozi watu waliokuwa wanawarushia mawe Askari wa Jeshi la Polisi na hadi sasa Msafara wa Tundu Lissu upo njiani kuelekea Serengeti na unaongozwa na Polisi
Kuhusu usalama wa Mgombea amesema kuwa tangu jana Mgombea huyo alipofika Tarime amekuwa salama na anaondoka salama
Tunafahamu sana huo ndio ulikuwa msimamo wake - kupinga KILA KITU - na huo ulikuwa ni mkakati wa muda mrefu tangu akiwa LEAT. Hayo aliyokuwa akipinga yametekelezwa na seriklai ya AWAMU YA TANO! Sasa bado anapinga nini au anataka haya mazuri, ambayo kwake ni mabaya, yawanufaishe mabeberu waliomtuma sasa?Tundu kaanza kupinga uonevu wa makampuni ya wachimbaji na Serikali kwa wananchi kabla ya kuwa Mbunge. Hayo mengine mnamsingizia tu
Magufuli ndio kwanza katoka kwenye mapumziko leo ndio anaendelea na campaign.Kwa muda mrefu watanzania tulikua tunasema
We can't breathe
Lakini Sasa jiwe ndo linasema
I can't breathe
Kweli, siyo untouchable. Na wa CCM siyo untouchable. Watendewe sawa. Hiyo ni haki yao wote, siyo hisaniElection keshokutwa US ebu tuwaelize Diaspora Trump security privilege zimepunguzwa kipindi hiki?
Acheni kumuongopea huyo Lissu yeye sio Magufuli. Mgombea wa 2025 wa CCM na wa upinzani ndio mtaweza linganisha. Lakini this time anashindana na incumbent president they are not equal on the campaign trail.
Tatizo mamlaka zimetumia busara kwa muda mrefu kumuacha Lissu ajisikie yupo nyumbani na maisha yake ni salama, ila he is abusing that goodwill gesture kila siku mara uongo, kejeli, kuvunja sheria, kuhamasisha fujo huyu mtu sasa anaanza kuamini kweli he is untouchable.