Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Police wanaiuhujumu ccm izidi kuchukiwa na wananchiDaah CCM washamba aisee, badala ya kupromote kutangaza kampeni ya Magufuli Iringa leo wao wanatuma polisi kumpiga lissu. Sasa trending news siku nzima itakuwa Lissu na wala siyo Magufuli.
Mmheshimiwa, kama hufuati ratiba, jee polisi wafanye nini? na ratiba ni ya nini? kwa nini tunakuwa na ratiba? ajitahidi kufuata ratiba mikoa mingine.
Kuna sehemu akikutana na askari ambae anafahamu sheria atakwama.
maagizo toka juuSababu mbona huweki?
Kuna polisi yeyote toka tanpol anayeweza kujitetea kwa lolote lile!?Polisi kashindwa hata kujitetea,aibu tupu!
D.O.GSafi sana, big up, kama ni kweli, ...
..Polisi wameshambulia MSAFARA.
..Je, misafara ya wagombea ina ratiba?
Kuna mtu kasema sababu ni hiiWatoa taarifa muwe mnajitahidi kuweka na sababu ya matukio kama haya ili kuepuka speculations na kusaidia wananchi kufanya judgement.
Kupiga mabovu tu bila sababu ya msingi inayohatarisha usalama wa raia na mali zao ndio chanzo chenyewe cha uvunjivu wa amani
Nenda CCM kule hawapigwi mabomu mkuu.Watanzania wenzangu na wanachadema wenzangu tusipo angalia vizuri huyu Tundu Lissu atatupeleka pabaya, tumeishi kwa amani na upendo kwa miaka mingi lkn sasa anataka kutuchonganisha sisi kwa sisi, hatutaki kabisaaa
duh hata wewe wamjua Mungu? ..makubwa !Mungu tupe amani yako!
SawaAnataka nayeye asimamishe magari barabarani kama Magufuli, kwenye kichwa chake yeye kama raia na raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania nyadhifa zao ni sawa.
Mwisho wa siku tutakuja kubaliana jamaa ‘mtambo’.
Hayo ya kutengeneza tuu, suala ni kufika Nyomongo kinyume na muda alio pangiwa. Tupunguze uwongo na maigizo.
Nilikuwa huko Chadema kwa muda mrefu kwa hiyo nafahamu jinsi inavyofanya kazi. Labda tulikuwa waanzilishi wa kuhakikisha wananchi waichukie serikali yao. Mabadiliko yanakuja tutafanya siasa vizuri tuu kuanzia 2020.
Kwa hiyo risasi 16 hawakumpiga vizuri.Huyu bado hajapigwa vizuri huyu, wanamgusagusa tu
Shida ni nini?