Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

Police wasimuogope Wala kumtii mtu ambae atorudi Tena October hii ni prophecy.
 
Daah CCM washamba aisee, badala ya kupromote kutangaza kampeni ya Magufuli Iringa leo wao wanatuma polisi kumpiga lissu. Sasa trending news siku nzima itakuwa Lissu na wala siyo Magufuli.
 
Daah CCM washamba aisee, badala ya kupromote kutangaza kampeni ya Magufuli Iringa leo wao wanatuma polisi kumpiga lissu. Sasa trending news siku nzima itakuwa Lissu na wala siyo Magufuli.
Police wanaiuhujumu ccm izidi kuchukiwa na wananchi
 
Mtu mzima na akili yako unaweza kuuliza sababu ya kupiga mabomu!? Wao ndio wangesema tumepiga mabomu kwa sababu 1, 2, 3! Na kumbuka wao wanaelekea uwanja wa Mkutano
 
Mmheshimiwa, kama hufuati ratiba, jee polisi wafanye nini? na ratiba ni ya nini? kwa nini tunakuwa na ratiba? ajitahidi kufuata ratiba mikoa mingine.

Kuna sehemu akikutana na askari ambae anafahamu sheria atakwama.

..Polisi wameshambulia MSAFARA.

..Je, misafara ya wagombea ina ratiba?
 
..Polisi wameshambulia MSAFARA.

..Je, misafara ya wagombea ina ratiba?

Hayo ya kutengeneza tuu, suala ni kufika Nyomongo kinyume na muda alio pangiwa. Tupunguze uwongo na maigizo.

Nilikuwa huko Chadema kwa muda mrefu kwa hiyo nafahamu jinsi inavyofanya kazi. Labda tulikuwa waanzilishi wa kuhakikisha wananchi waichukie serikali yao. Mabadiliko yanakuja tutafanya siasa vizuri tuu kuanzia 2020.
 
Maagizo kutoka juu...
Aliwahi kusema I wish i could be IGP na huyu ndio shetani na laana ya nchi hii😕😕
 
Watoa taarifa muwe mnajitahidi kuweka na sababu ya matukio kama haya ili kuepuka speculations na kusaidia wananchi kufanya judgement.

Kupiga mabovu tu bila sababu ya msingi inayohatarisha usalama wa raia na mali zao ndio chanzo chenyewe cha uvunjivu wa amani
Kuna mtu kasema sababu ni hii
tapatalk_1601289980374.jpeg
 
Watanzania wenzangu na wanachadema wenzangu tusipo angalia vizuri huyu Tundu Lissu atatupeleka pabaya, tumeishi kwa amani na upendo kwa miaka mingi lkn sasa anataka kutuchonganisha sisi kwa sisi, hatutaki kabisaaa
Nenda CCM kule hawapigwi mabomu mkuu.
 
Anataka nayeye asimamishe magari barabarani kama Magufuli, kwenye kichwa chake yeye kama raia na raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania nyadhifa zao ni sawa.

Mwisho wa siku tutakuja kubaliana jamaa ‘mtambo’.
Sawa
 
Hayo ya kutengeneza tuu, suala ni kufika Nyomongo kinyume na muda alio pangiwa. Tupunguze uwongo na maigizo.

Nilikuwa huko Chadema kwa muda mrefu kwa hiyo nafahamu jinsi inavyofanya kazi. Labda tulikuwa waanzilishi wa kuhakikisha wananchi waichukie serikali yao. Mabadiliko yanakuja tutafanya siasa vizuri tuu kuanzia 2020.

..basi Polisi wangemchukua Tundu Lissu peke yake wakampige mabomu ya machozi.

..kuwapiga mabomu ya machozi wananchi ni kuwaonea, wao hawana habari na ratiba za mikutano.
 
Alianza kwa jogoo hoyeee! Ikafuata mungu hoyeee! Sasa umma wa Watanzania utamlazimisha kusema Lissu hoyeeeeee!
 
Back
Top Bottom