Shida Ni kuchanganya upolisi na ukada.Polisi wanamuogopa vipi mtu ambae arudi tena October kuumiza watz...wananchi waliokusanyika hawajui kama hawatakiwi kumsalimia mtu asiyekuwa Raisi hapo barabarani.
..wananchi haohao ndio waliomchagua Raisi. Na wananchi haohao ndio kodi zao zimetumika kununua mabomu ya machozi.
..binafsi naamini Polisi hawakutumia busara.