Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Kwani Lissu ni ‘incumbent president’ pia, Kwenye huu uchaguzi?Kweli, siyo untouchable. Na wa CCM siyo untouchable. Watendewe sawa. Hiyo ni haki yao wote, siyo hisani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Lissu ni ‘incumbent president’ pia, Kwenye huu uchaguzi?Kweli, siyo untouchable. Na wa CCM siyo untouchable. Watendewe sawa. Hiyo ni haki yao wote, siyo hisani
Kutendewa HAKI siyo pamoja na kuacha mtu atukane ovyo ovyo kwenye majukwaa ya siasa!Kweli, siyo untouchable. Na wa CCM siyo untouchable. Watendewe sawa. Hiyo ni haki yao wote, siyo hisani
Siyo na HE WILL NEVER ATTAIN OR GET THAT POSITION!Kwani Lissu ni ‘incumbent president’ pia, Kwenye huu uchaguzi?
Badilisheni katiba basi awe rais wa kudum,msitishe watu hapa ,kwani cheo rais amezaliwa nacho hata Mimi kesho naweza kua rais,Kama yupo sawa na wengine kwenye uchaguzi kwanini aitwe ‘incumbent president’?...
Hajadekezwa, wala siyo mgeni aliyekaribishwa Tanzania. Ni kwake kama wewe. Tukiwa mashabiki na wapenda ufalme ni vigumu kukubali Lissu atendewe sawa na Rais wa sasa, lakini kanuni ya demokrasia na sheria yetu ya uchaguzi ndivyo zinavyotakaAtasimamishwa na wapiga kura kwa wingi wetu, sio mimi peke yangu. Muhimu ni kuheshimu taratibu za uchaguzi ambazo amekuwa akizisigana the moment he touched down...
Wakufuata sheria na taratibu ni mgombea Lissu. Tabia zake zimeshaanza kuwachosha NEC na jeshi la polisi; he is becoming ‘a runaway train’.Badilisheni katiba basi awe rais wa kudum,msitishe watu hapa ,kwani cheo rais amezaliwa nacho hata Mimi kesho naweza kua rais,
Yani Kila siku rais why angombee,hiki ni kipindi Cha kampeni ,msiwafokee watu,acheni kujikuta bwana hakuna mwenye lesseni na nchi hii taratibu,sheria na kanuni zifuate,msituletee matatizo hapa,na kwa mazalau Kama haya tupo
Kipi kitakuwa cha ajabu ? tulisikia hayo hayo kwa Lowassa nini Lissu, Kinyago tuliye mtengeneza wenyewe hawezi kutushida. Mtaona kitakachofuata baada ya uchaguzi. Ni kuibomoa Chadema tuu kwa kwenda mbele.Unatia kinyaa
Lissu Ndio kapiga watu mabomu?
Jiwe Ndio kagawa nchi kiukabila na kiukanda Sasa tutegemee chochote
mabadiriko.Hayo ya kutengeneza tuu, suala ni kufika Nyomongo kinyume na muda alio pangiwa. Tupunguze uwongo na maigizo.
Nilikuwa huko Chadema kwa muda mrefu kwa hiyo nafahamu jinsi inavyofanya kazi. Labda tulikuwa waanzilishi wa kuhakikisha wananchi waichukie serikali yao. Mabadiliko yanakuja tutafanya siasa vizuri tuu kuanzia 2020.
CCM ikianguka utapoteza msosi endelea kuteteaElection keshokutwa US ebu tuwaelize Diaspora Trump security privilege zimepunguzwa kipindi hiki?....
Tulia ivyo ivyo ashugulikiwe yesuAs I have always been saying, Lissu has a mandated responsibility to report EACH AND EVERYTHING related to our 2020 General Elections to AMSTERDAM AND Company, ndiyo maana akiandika on any activities lazima aandike kwa Kiingereza ili hao waliomtuma wajue nini kinaendelea KWANI HE IS BEING PAID FOR THAT! And this report, like all others, is a continuation of Lissu's FABRICATED MISGUIDED AND MALICIOUS LIES as taught by the Amsterdams.
Elewa wenye nchi yao ni watanzania wenyew,lissu,jpm,tume na tahasis zingine ni wapangaji wa wananchi,hivyo wenye nchi yao wakisema yatosha hakuna wa kupinga,iwe jua au mvua msijidanganyeWakufuata sheria na taraibu ni mgombea Lissu. Tabia zake zimeshaanza kuwachosha NEC na jeshi la polisi; he is becoming ‘a run away train’.
kumbe upinzani ni uhalifu?Kung'uka hako ka kikundi ka waharifu
Shida ni nini?
How much is he being paid and by whom exactly?As I have always been saying, Lissu has a mandated responsibility to report EACH AND EVERYTHING related to our 2020 General Elections to AMSTERDAM AND Company, ndiyo maana akiandika on any activities lazima aandike kwa Kiingereza ili hao waliomtuma wajue nini kinaendelea KWANI HE IS BEING PAID FOR THAT! And this report, like all others, is a continuation of Lissu's FABRICATED MISGUIDED AND MALICIOUS LIES as taught by the Amsterdams.
Nilifikiri ungesema kutatafuta suluhisho la ukabila na uonevu wa baadhi ya jamiiKipi kitakuwa cha ajabu ? tulisikia hayo hayo kwa Lowassa nini Lissu, Kinyago tuliye mtengeneza wenyewe hawezi kutushida. Mtaona kitakachofuata baada ya uchaguzi. Ni kuibomoa Chadema tuu kwa kwenda mbele.
He is being paid by mabeberu repsented by AMSTERDAM and Company. The amount is in form of handouts! Kama unaelewa!How much is he being paid and by whom exactly?
Character assassination; vipi elimu, afya, miundombinu, barabara; mbona usiongelee hayo.Kweli Pombe ni najisi
Hana raha wasanii wamemchoka
Ishomire wamemzomea
Siri zake hadharani
Dotto ni mwanaharamu wake anasema ni mtoto wa sister
Kekta 25000 hadharani
Mayanga mume mwenza
Kwa muda mrefu watanzania tulikua tunasema
We can't breathe
Lakini Sasa jiwe ndo linasema
I can't breathe