Amini, Amini,Amini tutamuomba mungu atufunulie kujua huo utapeli wa kupigwa risasi kutoke kushoto zinaingilia kulia. Na aliye kushoto zinapoingilia risasi ambae ni dreva hakuumia.
Ni kweli ni shinikizo na wanafanya wasiyoyapenda na kuyataka na wanajua siyo utaratibu wa kazi yao.mioyo ipo mbali na miili yao Kwa wanachokifanya.MUNGU AWASIDIE KUKATAA KUUMIZA WATU KWA MASHINIKIZOBinafsi siwalaumu Polisi najua wapo kwenye shinikizo kali Sana kuhusu utendaji wao.
Achana nae Huyo jin.*..ga Wa sisiem ana chuki binafsi, hao wote ni wagombea wanafanya kampeni na ratiba haisimamiwi na ikulu Bali time, ambayo haiwezi kumhoji lissu sababu jiwe anavunja ratiba atakavyoTayari anatapatapa si umeona mara amtume Polepole kuwaita wapinzani misukule mara amtume mkurugenziccm wa Tumeccm kupiga kampeni kwenye madini mahala ambapo kamweka waziri mbunge wa chato wanapiga pesa kimya kimya huku wakitembeza mikwara watu waogope kuwahoji
Huu ni WIVU
Akijibu kosa ni nini unijulisheWewe utakuwa ccm wewe hapo kosa la Lisu ni lipi
Wewe umevuka mpaka na kumpa sifa za Yesu eti alishinda mauti!! Lini Lissu alikufa akafufuka na kushinda mauti?
Doctors wote duniani kipaumbele chao ni kuokoa uhai wa binadamu kwanza,hawaangalii itikadi,rangi,kabila,jinsi,dini au aina nyingine yoyote ya ubaguzi.Yaani unasahau madaktari wa kwanza kumuokoa ni wa serikali misukule bana
Hii Chadema iko kazini, haya yote yataisha kabisa after this election. CCM shall have more younger leadership , so the ethos shall reverse, its just a matter of time.
From year 2020, CCM shall have 80% of elected leaders whose age is below 40 years.
Magufuli is managing generation transitional politics. It happened elsewhere and it will happen here in Tanzania. Hakuna kipya.
Sasa hivi tunapambana na kaburu mzawafreeedommmm is comingi tommow, sarafina enzi ya makaburu
huyu kaburu ni hatari sanaSasa hivi tunapambana na kaburu mzawa
Tuliawaona wanajiandaa tukawaomba wanaume wasiingilie watuachie tudili nao sisi had hatua Ya Mwisho, tukakomaaa nao baadae mabomu yakawaishia wakatulia wakaja kistaarabu ndio tundu lisu akashuka kuwafundisha sheria.
Kama wangekuwa na mabomu mengi, maana yake had sasa tungekuwa tumeisha wakamata wote maana walikuwa wakipiga moja lapili tumeishawakalibia na wasichana wadogo Kabisa ndio walikuwa wanachukua Picha zote hizo zilizo kwenye mitandao, wanaume walikaa pembeni wakituangalia tunavyowazungusha huku tukipiga Picha na kuchukua video tulikuwa na Kazi Tatu Kwa Wakati moja kuchukua Picha, kuchukua video huku tukiwazungusha, wao walikuwa na Kazi moja tu Ya kupiga mabomu wanaume wachache walimlinda lisu wakiwa na Maji mkononi ili ikitokea anepatwa na Moshi wanamnawisha wengne wakiwa walinzi pembeni baadae ndio tukajirekodi tukituma Salama kuwa sisi ni pipoooozi
Omwiseke wa tarime atahanche magufuli ahete gukura ichatarime, toleitane ichinsiko choonswi agwe hase, nomonto omofefe Sana magufuli aleita afanto vyeito hano tarime mweto tulawanse gwitana hano na Afande fatuturii
Na kauli kutoka kwa wanajeshi ni kwamba " Hakuna vita ngumu kama vita ya ndani "Sasa hivi tunapambana na kaburu mzawa
Vipi hawa hawa wamasai wana vichinjio vya kupigia kura !!?Hawa Wamasai wa njiro ni kama vile wamelazimishwa kushika hayo mabango. Nyuso zao hazina furaha kabisa yaani. View attachment 1583673