Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

Duh........... Hii ni hatari kubwa!

Au wamestushwa na ile taarifa ya Mtumishi wa Mungu, Augustine Mwingira, kuwa huyu mtu ni MSHINDI tayari?

Zile risasi 16 hazikuweza KUMZUIA, itakuwa hayo mabomu ya machozi?

Makamanda tuendelee kusonga mbele, kwani dalili za ushindi zishaanza kujionyesha wazi, kutokana na hiki kiwewe kilichowapata watawala wetu wa CCM!
 
UPDATES

Polisi wamesalimu amri na kuondoka baada ya somo la Lissu kuwaingia. Mkutano unaendelea Nyamongo muda huu. Aidha baada ya raia kupigwa mabomu wamegoma kutawanyika.
Hawa Police ni wa kuhurumia.... wajielewe... kwanza tunaishi nao huku huku mitaani sasa tukianza kushambuliana itakuwaje? si itakuwa ni balaa balaa kubwa.

Asanteni Police wetu kwa kuelewa somo la Lissu... kuweni makini sana na CCM, simameni kwenye sheria za nchi na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom