Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Polisi kashindwa hata kujitetea,aibu tupu!Kutoka eneo la tukio
Tangu kampeni zimeanza kuna sehemu kulitokea fujo au kupigana mabomu?Tunakuwa kama iraq sasa hayo mabomu ya nini tena au kuna kikundi kilianzisha fujo?
Why.?Safi sana, big up, kama ni kweli, ...
Asante kwa taarifa, Lissu endelea kutoa elimu ya uraia, Hata NEC wanasubiri ukawape elimu.UPDATES
Polisi wamesalimu amri na kuondoka baada ya somo la Lissu kuwaingia. Mkutano unaendelea Nyamongo muda huu. Aidha baada ya raia kupigwa mabomu wamegoma kutawanyika.
Safi sana Makamanda 👋 👏UPDATES
Polisi wamesalimu amri na kuondoka baada ya somo la Lissu kuwaingia. Mkutano unaendelea Nyamongo muda huu. Aidha baada ya raia kupigwa mabomu wamegoma kutawanyika.
Go Lissu go !UPDATES
Polisi wamesalimu amri na kuondoka baada ya somo la Lissu kuwaingia. Mkutano unaendelea Nyamongo muda huu. Aidha baada ya raia kupigwa mabomu wamegoma kutawanyika.
Hawajaridhika badoKha! , Wanataka kumpiga risasi Lissu?
Kha!, wanataka kumuua mheshimiwa Lissu?
Zile 16 za mwanzo hazitoshi?
Hivi hawa wanajitambua au wanaleta mchezo gani?
Nimejisikia kulia kwa furaha...hasa hapa" watu wamegoma kuondoka"UPDATES
Polisi wamesalimu amri na kuondoka baada ya somo la Lissu kuwaingia. Mkutano unaendelea Nyamongo muda huu. Aidha baada ya raia kupigwa mabomu wamegoma kutawanyika.
Hawa Police ni wa kuhurumia.... wajielewe... kwanza tunaishi nao huku huku mitaani sasa tukianza kushambuliana itakuwaje? si itakuwa ni balaa balaa kubwa.UPDATES