Hii source ya suphian inamatatizo tuna mtaka atuambie risasi zimetumika wapi afadha tundu amesema mabomu ya machozi kidogo kidogo in bwege voice amepunguza mihemko isipokuwa hiyo kerubu.Habari zinazoanza kushika kasi mtandaoni ni kwamba Msafara wa mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu A. Lissu umevamiwa na polisi waliowatawanya waliokuwa katika msafara huo kwa mambomu ya machozi.
Source:
Achague kwenda Chato au the HagueZile siku 4 walikuwa wakipanga haya. Magufuli ondoka kwa usalama usituharibie nchi yetu.
Hujawahi kuandamwa na huu utawala ndio maana unasema umeishi kwa amani. Siku wakipisha hodi mlango wako, ndio utaelewa kwa nini haya yanatokeaWatanzania wenzangu na wanachadema wenzangu tusipo angalia vizuri huyu Tundu Lissu atatupeleka pabaya, tumeishi kwa amani na upendo kwa miaka mingi lkn sasa anataka kutuchonganisha sisi kwa sisi, hatutaki kabisaaa
Ajabu sana..Safi sana, big up, kama ni kweli, ...
Amani gani tena?Mungu tupe amani yako!
Maagizo toka chiniDaaah hii mipolisi imesifiwa juzi tu hapo imekuaje leo hii yawe mepesi hivyo kurubuniwa kirahisi?
Boss alikuwa bado yuko comfortable..... Sasa kastuka. Embe dodo limeingia funza.Daaah hii mipolisi imesifiwa juzi tu hapo imekuaje leo hii yawe mepesi hivyo kurubuniwa kirahisi?
Maendeleo hayana vyama!
Wewe ndiyo mtambo nani akubaliane na wewe mjinga?Anataka nayeye asimamishe magari barabarani kama Magufuli, kwenye kichwa chake yeye kama raia na raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania nyadhifa zao ni sawa.
Mwisho wa siku tutakuja kubaliana jamaa ‘mtambo’.
What a nice connection between Mahera statements and this. Robert Amsterdam come in!. It is time to reprimand individuals hiding behind the shadows of corrupt sytems. Kindly separate this lunatics from our beloved nation.
Wamezidiwa hoja ....... watakuwa wanawatisha watu wazihudhurie ....!!Kisa cha kushambulia msafara wa kampeni ni nini??
Yaani Tundu Lissu is a talk of town, anawafirimba vibaya mno