Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Yeye anasikiliza porojo za Magu anapodai kasimamishwa njiani ni anadhani kweli. Wakati kiuhalisia kila kitu kinakuwa kimepengwa na ulinzi wa kutosha umesha tayarishwa.polisi wamefanya hvo kuzuia ajali na vifo mara ya mwisho tundu alivokuja kutafuta wadhamini wilayani tarime kulitokea ajali zaidi ya tatu na vifo pia ni bora kuwatawanya ili wakamsubiri eneo maalum na mnavojua haya majimbo ya huku yalivyo na watu wakorofi
Mahala ambapo ulinzi aujapangwa ata watokee maelfu barabarani Magufuli asimami.
Magufuli akicheza na yeye anacheza jukwaani the guy is obsessed na Magufuli anataka aige kila anachofanya.