Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Jibu muruaUshahidi uupatie wapi wakati hakuna uhuru wa habari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu muruaUshahidi uupatie wapi wakati hakuna uhuru wa habari.
Daaaa hiii noma sana, yaani utemi kila mahali. Huyu Kabudi ataligharimu sana taifa kwa mikurupuko yake.Ni makampuni ya madini yaliyonyang'anywa Retention Licenses huku yakiwa yametumia mamilioni ya fedha.
Mabadiliko yale ya Sheria ya madini yaliyofanywa na Kabudi yana upuuzi mwingi sana...
Mimi ningekuwa serikali ningesubiri mpaka tushinde kesi.Hiyo bullet ya kwanza bado ni speculation na conjectural tu. Hiyo bullet ya pili ni matokeo ya halo effect ya bias; kwamba kwa vila zamani alipatia, hata kama ilikuwa ni kwa kubashia tu, basi atakuwa anapatia kila kitu. Mambo haya yanataka proof. Inawezekana kuwa kwa vile anasemekana kushirikikiana na wanasheria wa wanaolinda maslahi ya Barrick, wakafungua kesi frivorolous amabazo baadaye zitatupiliwa mbali na mahakama kuonyesha tu kuwa kweli kulikuwa na kesi. Inabidi kesi anazotaja ziwe zimefunguliwa mwaka huu, siyo mwezi huu.
Hayo ni matakwa ya katiba ya wana cdm na waliipitisha wenyewe kwa hiari yao kwa maslahi ya cdm.Lakini hapa mada ni serikali kushitakiwa.
BTW:Ungetuambia kwanza ni kwa nini MwanaCHADEMA akipinga maamuzi yoyote ya chama mahakamani anakuwa amejifukuzisha uanachama.
Mkuu huyo mtu unaye jaribu kumuelewesha hawezi kukuelewa kwa sababu yeye chanzo chake cha habari ni tbc na channel ten tu.Jishughulishe. Makampuni yote yaliyoishtaki Tanzania yanafahamika. Taarifa zilitolewa na masoko ya fedha Duniani ambako makampuni hayo huuza hisa zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano na ufafanuzi mzuri sana kwa wakati muruaMkuu tafuta kujua kwanza kwenye kupinga matokeo ya urais nani anashitakiwa kabla ya kulinganisha nchi na chama cha siasa.
Chadema ilinganishe na CCM na Tanzania ilinganishe na kenya,Malawi and other countries.hope umenielewa
Sasa tulieni basi aibu zenu ziwekwe waziKila kichaa akisema ovyo, serikali ianze kuproovu kuwa siyo ni hivi na hivi? Hiyo itakuwa serikali au mwana sesere!
Hayo ni maneno ya mkosaji aliye kata tamaa, kumbe ndiyo maana mnatulazimisha kuisikiliza channel yenu tu ili tuendelee kuwa gizaniSasa kataja hizo kampuni?
Lisu ataaibika san kwenye uchaguI huu
Hizo ngonjera zako haziwezi kulinusuru taifa lisipigwe faini kisa umelialia hapa jf, badilikeni muheshimu mikataba ya kimataifaHana sera huyo hajui anaongea nini, kama anajua hakuna uhuru aliwezaje kusema tuna kesi?
Yeyebkila siku anaongea ujinga kuhusu kesi, sasa akichukua nchi atazuia hizo nchi kutushitaki?
Au hizo kesi zilizofunguliwa zitafutwabkwa kuwa zinamlenga magufuri na sio nchi?
Huyu jamaa ni poyoyo sana.
Daaa ushamtupa mbali huyo unaye mjibu..siyo yeye aliyewakilisha Tanesco huko nje.
..unaweza kwenda kwenye website ya mahakama tunayoizungumzia na utakutana na listi ya mawakili wote wenye leseni za kusimamia kesi ktk mahakama hiyo.
Jamaa alitaka kutudanganyaGambia walikuwa wajamaa na yahya jammeh alitoka
TL binafsi nilisikitika sana alipojeruhiwa. Ila sikubaliani Naye kabisa kwa jinsi anavyopenda kuona Tanzania inanyanyasika na kupata shida na mataifa ya nje. Yeye ananufaika na nini?
Tumeburuzwa kwa pilato..sasa tumeshtakiwa au hatujashtakiwa?
Kushitakiwa ni kushitakiwa tu wacha kujibaraguza hapa kwa aibuMwambieni tunajua..hata mkulima katushtaki zaidi ya mara moja.. ila vipi kuhusu miga?
Wacha ainyooshe nchiTL binafsi nilisikitika sana alipojeruhiwa. Ila sikubaliani Naye kabisa kwa jinsi anavyopenda kuona Tanzania inanyanyasika na kupata shida na mataifa ya nje. Yeye ananufaika na nini?
Nimrod Mkono, Andrew Chenge n.k..hapana.
..huko wanakwenda mawakili wenye leseni na usajili wa kutetea kesi ktk mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji.
..hakuna wakili hata mmoja toka Tz mwenye usajili ktk mahakama hiyo.
Alituaminisha tutashitakiwa na Acacia. Hebu atuambie kuhusu hilo kwanza
After all nchi gani haishitakiwi? mbona kushitakiwa ni jambo la kawaida. mwenyewe Lisu anashtakiwa kwa hiyo kushitakiwa ai dhambi kabisa
Kama hana ushahidi si akamatwe?Unaamini bila ushahidi?!
Bure kabisa wewe!
Kwa hiyo wapiga kura watampa kura lissu kwa kusema tumeshitakiwa?My take: Kutokana na Rais kubana uhuru wa upatikanaji habari na kutokana na mambo ya ajabu tunayoelezwa na serikali huku mengine yakiwa waziwazi ya uongo, naamini alichosema Lissu.