Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anasema hatutashitakiwa, kwa mwaka 2020 pekee makampuni matatu yametushitaki kwenye mahakama za kimataifa

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anasema hatutashitakiwa, kwa mwaka 2020 pekee makampuni matatu yametushitaki kwenye mahakama za kimataifa

Ni makampuni ya madini yaliyonyang'anywa Retention Licenses huku yakiwa yametumia mamilioni ya fedha.

Mabadiliko yale ya Sheria ya madini yaliyofanywa na Kabudi yana upuuzi mwingi sana...
Daaaa hiii noma sana, yaani utemi kila mahali. Huyu Kabudi ataligharimu sana taifa kwa mikurupuko yake.
 
Hiyo bullet ya kwanza bado ni speculation na conjectural tu. Hiyo bullet ya pili ni matokeo ya halo effect ya bias; kwamba kwa vila zamani alipatia, hata kama ilikuwa ni kwa kubashia tu, basi atakuwa anapatia kila kitu. Mambo haya yanataka proof. Inawezekana kuwa kwa vile anasemekana kushirikikiana na wanasheria wa wanaolinda maslahi ya Barrick, wakafungua kesi frivorolous amabazo baadaye zitatupiliwa mbali na mahakama kuonyesha tu kuwa kweli kulikuwa na kesi. Inabidi kesi anazotaja ziwe zimefunguliwa mwaka huu, siyo mwezi huu.
Mimi ningekuwa serikali ningesubiri mpaka tushinde kesi.

Wamuache tu Tundu Lissu atambe na hoja hii, after all huwezi kushinda kila hoja.
 
Lakini hapa mada ni serikali kushitakiwa.

BTW:Ungetuambia kwanza ni kwa nini MwanaCHADEMA akipinga maamuzi yoyote ya chama mahakamani anakuwa amejifukuzisha uanachama.
Hayo ni matakwa ya katiba ya wana cdm na waliipitisha wenyewe kwa hiari yao kwa maslahi ya cdm.
 
Jishughulishe. Makampuni yote yaliyoishtaki Tanzania yanafahamika. Taarifa zilitolewa na masoko ya fedha Duniani ambako makampuni hayo huuza hisa zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo mtu unaye jaribu kumuelewesha hawezi kukuelewa kwa sababu yeye chanzo chake cha habari ni tbc na channel ten tu.

Unategemea nini kwa mtu wa aina hiyo kwenye masuala ya kimataifa?
 
Mkuu tafuta kujua kwanza kwenye kupinga matokeo ya urais nani anashitakiwa kabla ya kulinganisha nchi na chama cha siasa.
Chadema ilinganishe na CCM na Tanzania ilinganishe na kenya,Malawi and other countries.hope umenielewa
Mfano na ufafanuzi mzuri sana kwa wakati murua
 
Sasa kataja hizo kampuni?

Lisu ataaibika san kwenye uchaguI huu
Hayo ni maneno ya mkosaji aliye kata tamaa, kumbe ndiyo maana mnatulazimisha kuisikiliza channel yenu tu ili tuendelee kuwa gizani
 
Hana sera huyo hajui anaongea nini, kama anajua hakuna uhuru aliwezaje kusema tuna kesi?

Yeyebkila siku anaongea ujinga kuhusu kesi, sasa akichukua nchi atazuia hizo nchi kutushitaki?

Au hizo kesi zilizofunguliwa zitafutwabkwa kuwa zinamlenga magufuri na sio nchi?

Huyu jamaa ni poyoyo sana.
Hizo ngonjera zako haziwezi kulinusuru taifa lisipigwe faini kisa umelialia hapa jf, badilikeni muheshimu mikataba ya kimataifa
 
..siyo yeye aliyewakilisha Tanesco huko nje.

..unaweza kwenda kwenye website ya mahakama tunayoizungumzia na utakutana na listi ya mawakili wote wenye leseni za kusimamia kesi ktk mahakama hiyo.
Daaa ushamtupa mbali huyo unaye mjibu
 
TL binafsi nilisikitika sana alipojeruhiwa. Ila sikubaliani Naye kabisa kwa jinsi anavyopenda kuona Tanzania inanyanyasika na kupata shida na mataifa ya nje. Yeye ananufaika na nini?

Kusema kwamba anafurahia ni kumuonea.

Anachofanya TL ni kuwafichua wale waliosababisha nchi ikanyanyasika na kushtakiwa ktk mahakama za kimataifa.

Anayestahili lawama hapa ni watawala ambao walipitisha miswaada bungeni na kusaini mikataba inayotuumiza.
 
TL binafsi nilisikitika sana alipojeruhiwa. Ila sikubaliani Naye kabisa kwa jinsi anavyopenda kuona Tanzania inanyanyasika na kupata shida na mataifa ya nje. Yeye ananufaika na nini?
Wacha ainyooshe nchi
 
..hapana.

..huko wanakwenda mawakili wenye leseni na usajili wa kutetea kesi ktk mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji.

..hakuna wakili hata mmoja toka Tz mwenye usajili ktk mahakama hiyo.
Nimrod Mkono, Andrew Chenge n.k
 
Alituaminisha tutashitakiwa na Acacia. Hebu atuambie kuhusu hilo kwanza. After all nchi gani haishitakiwi? mbona kushitakiwa ni jambo la kawaida. mwenyewe Lisu anashtakiwa kwa hiyo kushitakiwa ai dhambi kabisa
 
Alituaminisha tutashitakiwa na Acacia. Hebu atuambie kuhusu hilo kwanza
After all nchi gani haishitakiwi? mbona kushitakiwa ni jambo la kawaida. mwenyewe Lisu anashtakiwa kwa hiyo kushitakiwa ai dhambi kabisa

..baada ya yale madai ya usd 191 billion acacia walifungua kesi dhidi ya serikali.

..kesi hiyo iliondolewa mahakamani baada ya serikali kusalimu amri kwa kukubali kishika uchumba cha usd 300 million, na barrick kukubali kuwanunua minority share holders.
 
My take: Kutokana na Rais kubana uhuru wa upatikanaji habari na kutokana na mambo ya ajabu tunayoelezwa na serikali huku mengine yakiwa waziwazi ya uongo, naamini alichosema Lissu.
Kwa hiyo wapiga kura watampa kura lissu kwa kusema tumeshitakiwa?
 
Back
Top Bottom