Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Kwani hujui kuwa jamaa miaka yake yote kule Chato alipita bila kupingwa. Hajazoea mikiki
Mikiki anaijua sana. Kama unadhani haijui nenda kawaulize wagombea wa Urais wa mwaka 2015, sijui akina nani na nani wale kutoka vile vyama vingine. H

ivi Wakili Lissu anaijua mikiki ya kampeni za uchaguzi wa Urais au anaota? Anadhani ni ile ya Ubunge, tene when he was fit tofauti na sasa akiwa na magoti na miguu yenye matatizo. Jamani tusichokozane humu JF on this issue, tutoe hoja kisitaarabu ili tuvuke salama.
 
Yule Mzee haijui mikiki.
Mark my word , wiki ya kwanza tu ya kampeni atachafua anga
 
Yule Mzee haijui mikiki.
Mark my word , wiki ya kwanza tu ya kampeni atachafua anga
Kama anavyo chafua anga huyu mwingine ambaye hata hako kamkiki hakajui. Wiki zero kesha anza kupiga kelele, je zikianza mvua na radi atasema nini? Mara barabarani, mara mahakamani au sijui mara Ufipa Street au sijui mara wapi?! Nashauri tena tusubiri ngoma ianze tuache kelele jamani.
 
Kuna mama mmoja alishangilia kauli ya kuuawa kwa Zito huko bungeni. Sijui mama huyu yuko wapi siku hizi? Usimtakie binadamu mwenzio kifo bila muumba kutaka. Utatangulia wewe.
Una maanisha mama yule wa kisulisuli haaaahaaa duhhh dunia inaenda kwa kasi sana
 
NEC. hawatampatia fomu maana ana kesi za kujibu lakini pia ana zuio la maadili ya utumishi wa umma. Lakini ningeshauri wampe.
Kuwa na kesi za kujibu Mahakamani hakumuondolei sifa ya kuwa mgombea kwenye uchaguzi.
1. "presumption of innocence", mpaka ahukumiwe kwenye hizo kesi ndio anakuwa ni mkosaji.

2. Hizo kesi zote 6 za uchochezi hata kama akapatikana na makosa, uchochezi haumuondolei sifa ya kugombea. Angalia ibara ya 47(4) ya Katiba yetu utaona mambo yanayompa/kumuondolea mtu sifa ya kuwa mgombea.

3. Tume ya maadili ya utumishi wa umma haikumhukumu Tundu Lissu kuwa alikiuka maadili ya utumishi wa umma.

4. Hata kama tume ingekuwa imemhukumu kwa utaratibu wa kisheria angekuwa amekosa sifa za kuwa mbunge kwenye bunge lililopita tu na sio bunge lijalo. Kosa haliwi carried forward. Ni kwakuwa alishavuliwa ubunge kihuni kwenye bunge lililopita maana yake ni kwamba alishatumikia adhabu yake kwa kukosa sifa ya kuwa mbunge.

Tundu Lissu njia nyeupe kwake kuchukua form. Hakuwezi kuwa na pingamizi lolote mbele yake, labda kufanyike uhuni tu!!
 
I guess the 'guy' is not Okay. Let's wait but we will see soon!
 
Kuwa na kesi za kujibu Mahakamani hakumuondolei sifa ya kuwa mgombea kwenye uchaguzi.
1. "presumption of innocence", mpaka ahukumiwe kwenye hizo kesi ndio anakuwa ni mkosaji...
Pingamizi la nini na kwa nani Wakili Lissu!? Hahahahahaha! Hakuna wa kupoteza muda wa kufikiria pingamizi kwa mgombea aliyekwisha SHINDWA hata kabla ngoma haijaanza, Ninyi VIPI?!
 
Sheria ya gharama za uchaguzi imeweka masharti ya kwamba ukishapitishwa na Chama sio ukishapitishwa na tume.

Kwani hadi sasa nani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Na hii nayo ni rushwa? Nadhani viongozi wa CHADEMA wanapaswa kujitathmini kumchagua Lissu kama mgombea Urais. Atakuwa na wakati mgumu kuwashawishi wapiga kura iwapo ataendeleza lugha ya dharau na matusi dhidi ya Rais Magufuli
 
Hamuamini macho yenu. Mmepagawa!

Dikteta uchwara hatumtaki.
Unafikiri naumiza hata kichwa Sasa kuwaza Hilo!? Nah maana najua chadema hamta kaa ikulu Hadi yesu anatakavyorudi...so whatever you say mkuu but I won't get hurt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…