Lordrank
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 453
- 247
Sina shaka na wewe maana muda huu naju upo Tila-lila😃😃Ibeni kura tu fujo zitafanyika tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina shaka na wewe maana muda huu naju upo Tila-lila😃😃Ibeni kura tu fujo zitafanyika tu!
Mimi nazungumzia zile awamu NNE sijui tano za ubunge wakeWe nae umetoka usingizini siyo!?, 2015 alipita bila kupingwa siyo!?. We na TL you look alike.
Mikiki anaijua sana. Kama unadhani haijui nenda kawaulize wagombea wa Urais wa mwaka 2015, sijui akina nani na nani wale kutoka vile vyama vingine. HKwani hujui kuwa jamaa miaka yake yote kule Chato alipita bila kupingwa. Hajazoea mikiki
Ok, got it 👍Mimi nazungumzia zile awamu NNE sijui tano za ubunge wake
Yule Mzee haijui mikiki.Mikiki anaijua sana. Kama unadhani haijui nenda kawaulize wagombea wa Urais wa mwaka 2015, sijui akina nani na nani wale kutoka vile vyama vingine. Hivi Wakili Lissu anaijua mikiki ya kampeni za uchaguzi wa Urais au anaota? Anadhani ni ile ya Ubunge, tene when he was fit tofauti na sasa akiwa na magoti na miguu yenye matatizo. Jamani tusichokozane humu JF on this issue, tutoe hoja kisitaarabu ili tuvuke salama.
Kama anavyo chafua anga huyu mwingine ambaye hata hako kamkiki hakajui. Wiki zero kesha anza kupiga kelele, je zikianza mvua na radi atasema nini? Mara barabarani, mara mahakamani au sijui mara Ufipa Street au sijui mara wapi?! Nashauri tena tusubiri ngoma ianze tuache kelele jamani.Yule Mzee haijui mikiki.
Mark my word , wiki ya kwanza tu ya kampeni atachafua anga
Una maanisha mama yule wa kisulisuli haaaahaaa duhhh dunia inaenda kwa kasi sanaKuna mama mmoja alishangilia kauli ya kuuawa kwa Zito huko bungeni. Sijui mama huyu yuko wapi siku hizi? Usimtakie binadamu mwenzio kifo bila muumba kutaka. Utatangulia wewe.
Kuwa na kesi za kujibu Mahakamani hakumuondolei sifa ya kuwa mgombea kwenye uchaguzi.NEC. hawatampatia fomu maana ana kesi za kujibu lakini pia ana zuio la maadili ya utumishi wa umma. Lakini ningeshauri wampe.
Pingamizi la nini na kwa nani Wakili Lissu!? Hahahahahaha! Hakuna wa kupoteza muda wa kufikiria pingamizi kwa mgombea aliyekwisha SHINDWA hata kabla ngoma haijaanza, Ninyi VIPI?!Kuwa na kesi za kujibu Mahakamani hakumuondolei sifa ya kuwa mgombea kwenye uchaguzi.
1. "presumption of innocence", mpaka ahukumiwe kwenye hizo kesi ndio anakuwa ni mkosaji...
Sheria ya gharama za uchaguzi imeweka masharti ya kwamba ukishapitishwa na Chama sio ukishapitishwa na tume.
Watu wanamwangalia tu...!!Watu tunataka sera yeye kang'ang'ana na JPM.
Fomu inatolewa kwa Mtu yeyote, hata Wewe ukitaka utapewa, labda uulize akisharudisha fomu watampitisha kugombea?!
Wapinzani mna masihara sanaUkombozi umewadia JPM ajiandae kisaikolojia kukabidhi madaraka kwa Amani.
Watu wanamwangalia tu...!!Watu tunataka sera yeye kang'ang'ana na JPM.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Umeona eh! Nchi sasa imechangamka!
Good atawaletea na ndoa za jinsia moja😂😂. That's it.
Unafikiri naumiza hata kichwa Sasa kuwaza Hilo!? Nah maana najua chadema hamta kaa ikulu Hadi yesu anatakavyorudi...so whatever you say mkuu but I won't get hurt.Hamuamini macho yenu. Mmepagawa!
Dikteta uchwara hatumtaki.