Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Ni kawaida yeye kutoa Miamala hata leo kule Morogoro ameshaagiza barabara ipanuliwe na pia watajengewa vibanda kama walivyoomba pale Dumila sasa mkaweke pingamizi nyingine hiyo nyinyi wanasaccos ya Chadema...

Pingamizi litawekwa ikilazimika kuwekwa.

Lakini this is very complicated.

Hili swala ni la ki - mgongano wa sheria na katiba yetu.

Kiuhalisia, haya mambo ndiyo yanapaswa kurekebishwa ktk katiba yetu. Hayaleti usawa katika uchaguzi. Yanambeba na kumpendelea mgombea anayegombea nafasi ya Urais huku aikwa bado na madaraka ya Urais.

Ni vyema sana katiba ingesema, aliyekuwa Rais akiteuliwa na chama chake kugombea muhula wa pili, atalazimika kuacha madaraka yake ya Urais miezi mitatu kabla ya uchaguzi.

Katiba yetu ingekuwa clear kwa kiwango hiki, kusingekuwa na shida.

Kwa sasa shida IPO. Likiwekwa pingamizi, aliyewkewa pingamizi ambaye bado ni Rais, atajibu kwa urahisi kabisa kuwa, yeye anatekeleza majukumu yake ya Urais!

Ngoja tuone. Labda ndiyo itakuwa mwanzo wa kuanza kuyatazama mambo kwa jicho tofauti maana hii kitu haijawahi kutokea....
 
Kumudu kanuni za mapingamizi na sheria za wimbo wa taifa sio ujumbe unaoweza kumbeba mgombea wa upinzani mbele ya Rais ambae ataongelea jinsi alivyopunguza ujambazi serikalini na mitaani, kuondoa malipo ya elimu, kusafiri na gari ndani ya nchi - sio nje - akisimamia mpaka vyoo kujengwa kwenye stendi za masoko ya miji, kupunguza migogoro ya ardhi kwa kutoa hati ndani ya wiki mbili, kufukuza wageni waliopoka ajira chache zilizokuwepo, kuunganisha mifuko ya mafao, kupunguza ajali kwa kudhibiti spidi.

Bila kuongelea miundombinu ya kitaifa ambayo bado inajengwa na mingine kufufuliwa, ya usafiri wa anga, umeme, reli, hospitali, madaraja na mabarabara.

Mgombea wa chama kikubwa cha upinzani angejikita kuelezea mibadala ya juhudi hizo badala ya kuendelea kuwa Mkurugenzi wa Sheria wa chama.
 
Kumudu kanuni za mapingamizi na sheria za wimbo wa taifa sio ujumbe unaoweza kumbeba mgombea wa upinzani mbele ya Rais ambae ataongelea jinsi alivyopunguza ujambazi serikalini na mitaani, kujenga mabarabara makubwa na madogo, kusafiri na gari ndani ya nchi akisimamia vyoo kujengwa kwenye stendi za masoko ya miji, kupunguza migogoro ya ardhi kwa kutoa hati ndani ya wiki mbili, kufukuza wageni waliokuwa wanachukua ajira chache zilizopo, kuunganisha mifuko ya mafao, kupunguza ajali kwa kudhibiti mwendokasi, na mengine lukuki na lukuki na lukuki...

Mgombea wa chama kikubwa cha upinzani angejikita kuelezea mibadala ya juhudi hizo badala ya kuendelea kuwa Mkurugenzi wa Sheria wa chama.
Wanasaccos wanapenda kusikia uongo siyo vitu vya maana kama hivyo mkuu!!
 
Nani awajibike.. wanaccm tunalindwa na bashite.[emoji39][emoji111][emoji1]
Mlifanya kosa kubwa sana kushambulia Lissu kwa zile SILAHA ZA KIVITA, kuna siku mtawajibika tu kwa huo UHALIFU WA KIVITA.
 
Na hapo ndipo penye mtego kwa wana kijani maana na wao mgombea wao atawekewa pingamizi zenye mashiko.

Yani ni jino kwa jino, mguu kwa mguu.
Tumia akili ndogo tu yule kikatiba ni Rais mpaka Rais mpya atakapo apishwa. Alikuwa ziarani.
 
Haya mapingamizi yanayo zungumzwa iseje ikawa Vita vya panzi nafuu ya kunguru wakaekeana mapinga mizi akabaki mzee wangu hashmu rungwe mwenyewe akachukua nchi kiulaini hapo ndio utajua mipamngo ya Mungu haijulikani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa kwenye 'campaign period' kwa sababu ukienda kwenye huyo sheria,kule kwenye interpretation section imetafsiri maana yake ni
Election Expenses
(2) This Act shall come into operation on such date as the Minister may, by notice in the Gazette, appoint..
kijana sheriakatika kifungu cha 21 inasema election campaign , kunatofauti kati ya campaign process na election campaign.
 


Mhe. Tundu Lissu mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA ameendelea kusisitiza kuwa hawezi kufungwa kwa kesi alizo nazo Mahakamani na kwamba haziwezi kumzuia kugombea Urais...

thank mkuu kwa hotuba hii ya mh balikiwa sana mkuu
 
Kwenye ile video ya kurudi kwa Lissu nchini, kuna sehemu ambapo kuna sauti kama ya mwanadada mwenye umri mdogo kabisa ikisema “Msiyempenda kajaaa! Chuma kimeludiii”[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa ni balaa hayo matamko jiwe alikuwa ameya miss kabisa kwanza. Nani ambaye angeweza kuthubutu kumwambia.

Ama hakika lissu ndiye panya kwenye uthubutu wa kumvisha paka kengele
 

Mhe. Tundu Lissu mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA ameendelea kusisitiza kuwa hawezi kufungwa kwa kesi alizo nazo Mahakamani na kwamba haziwezi kumzuia kugombea Urais.

“Hafungwi mtu hapa” “Nina kesi sita Kisutu na zote ni za uchochezi.” Baraza Kuu la chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, limemchagua Tundu Lissu kuwa mgombea wake wa Urais katika Uchaguzi Mkuu 2020.

Mhe. Lissu ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa si yeye tu anayeweza kuwekewa pingamizi la kugombea Urais bali hata Mhe. Rais Magufuli pia anaweza kuwekewa pingamizi...
tails kweli kama aliamua kununua kwa bei hiyo hela si yake !
 
Back
Top Bottom