Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Hahaha nyimbo za stigla na esijiara zimekufa ghafla.
Hahaa jamaa wamechanganyikiwa vibaya Sana Leo yule slow slow kaita press lakini hakuna cha maana cho chote alicho kizungumza mbaya zaidi press yenyewe pia imebuma hakuna hata anaye izungumza


Hali ilivyokuwa kabla lissu hajarudi

CCM 5

Chadema 1

Hali jinsi ilivyo sasa baada ya lissu kurudi

CCM 0

Chadema 10

jamaa matumbo yana wahara huko

Lissu ni gifted yaani ni kiongozi tangu hajazaliwa ana hicho kipaji amezaliwa nacho ... Waweza kuona baada ya kurejea Nchini katika hizo siku chache tu karejesha Ari ya ushindani na matumaini makubwa kwa wanachama Wote wa chadema hadi wa ACT ...


Huyu ndiye aina ya kiongozi ambaye Tanzania ina muhitaji

Hahaa bad enough kwa ccm ni kwamba licha ya kufanya figisu figisu kibao kama za ukandamizaji wa democracy kuangamiza Uhuru wa vyombo vya habari .. Kutumia pesa na mbinu chafu kwa kununua wanachama wa chadema.

kupoteza baadhi ya watu na wengine kuuwawa (azory gwanda .akwilina. Ben saa 8 ile mifuko iliyokuwa inaokotwa ikiwa na maiti za watu na kupigwa risasi kwa lissu na hatimae wakawa wanahesabu kuwa tayari wao ni washindi hakuna anaye weza kuwasumbua tena Leo hii hawaamini macho yao Chezo limegeuka ... Yule waliyekuwa wana muombea afe karudi na ana watikisa vibaya sana ...

Nadhani kuna wakati huwa wanakaa wana mlaumu mungu kwanini alimuacha akiwa mzima.

Hahaa kumekucha Tanzania .. Tanzania oyeeeeeeeeeee
 
Bavicha punguza ujinga fomu haitolewi kwa mtu yeyote
Kama amepitishwa na chama kilichosajiliwa!! Ila hoja yangu ndugu uvccm ni; hawanyimi fomu, tatizo ni kupitishwa baada ya kurejesha fomu! Nb: sijawahi kuwa BAVICHA, Asante kwa kunipandisha hadhi!
 
kijana sheriakatika kifungu cha 21 inasema election campaign , kunatofauti kati ya campaign process na election campaign.
Sheria ya gharama za uchaguzi, imetoa tafsiri ya election period ni kipindi cha baada ya kuteuliwa na chama na kabla ya uchaguzi hivyo alikua kwenye uchaguzi, kwa tafsiri ya sheria nenda kasome kifungu cha 2 cha hiyo sheria kimetoa tafsiri ya campaign period,nomination process.

Na pia sheria hiyo imetoa tafsiri ya neno 'candidate' kwamba ni mtu yeyote aliyejisubmit kugombea Urais,ubunge na udiwani hivyo basi rais pia ni candidate kwa sababu ameji submit kugombea tena kupitia CCM.

HOJA YAKO HAINA NGUVU na kwa mujibu wa sheria candidate (mhe rais) yeye pia ni candidate na pia kwa sasa camp period ishaanza kwa tafsiri ya sheria.
 
Hahaa jamaa wamechanganyikiwa vibaya Sana Leo yule slow slow kaita press lakini hakuna cha maana cho chote alicho kizungumza mbaya zaidi press yenyewe pia imebuma hakuna hata anaye izungumza...
Tanzania chini ya Tundu Lissu itasitawi sana. Wahisani watamiminika kama mvua. Amani na uhuru nchini maendeleo ya kufa mtu.
 
Sheria ya gharama za uchaguzi, imetoa tafsiri ya election period ni kipindi cha baada ya kuteuliwa na chama na kabla ya uchaguzi hivyo alikua kwenye uchaguzi, kwa tafsiri ya sheria nenda kasome kifungu cha 2 cha hiyo sheria kimetoa tafsiri ya campaign period,nomination process
Na pia sheria hiyo imetoa tafsiri ya neno 'candidate' kwamba ni mtu yeyote aliyejisubmit kugombea Urais,ubunge na udiwani hivyo basi rais pia ni candidate kwa sababu ameji submit kugombea tena kupitia CCM.
HOJA YAKO HAINA NGUVU na kwa mujibu wa sheria candidate (mhe rais) yeye pia ni candidate na pia kwa sasa camp period ishaanza kwa tafsiri ya sheria.
Ukitaka kujua tafsiri ya neno election campaign iliyotumika kwenyekifungu cha 21 unapaswa kusoma pia tafsiri ya neno election na campaign pia.

Ukishasoma yote hayo utaona kuwa katazo lip kwenye election campaign ambapo ni kipindi cha kampeni za uchaguzi.

Kwa sasa hatupo kwenye kipindi cha uchaguzi.

wewe umesema hapo election period , hakuna kitu kama election period bali kuna campaign period.
 
Sheria ya gharama za uchaguzi, imetoa tafsiri ya election period ni kipindi cha baada ya kuteuliwa na chama na kabla ya uchaguzi hivyo alikua kwenye uchaguzi, kwa tafsiri ya sheria nenda kasome kifungu cha 2 cha hiyo sheria kimetoa tafsiri ya campaign period,nomination process...
Acha kuwalisha watu matango pori, sheria inamtambua mtia nia Kama Mgombea baada ya kuchukua fomu na kuteuliwa na tume ya taifa ya uchaguzi, anaweza akawa ameteuliwa na chama chake lakini akshindwa kuteuliwa na tume kwa kukosa sifa furani
 
subiria october ndo utajua afai au anafaa,aturudii kosa tena,yaani tupigwe njaa again 5 yrs nani kasema.Mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba Lisu ndo dwa ya njaa kwa watz, shibe kwanza mengine ya ziada
Yaani mtembee mtaa kwa mtaa mlale uchu mfanye mfanyaro Lissu siyo tu kwamba hawezi kuwa Rais yaani hata kufikisha nusu ya kura za atakazozipata Mh Rais anayesubiria kuapishwa.

Maana oktoba 28 tunaenda kuwabamiza kipigo cha paka shume kama hamuamini jiandaeni kuingia barabarani.
 
Acha kuwalisha watu matango pori, sheria inamtambua mtia nia Kama Mgombea baada ya kuchukua fomu na kuteuliwa na tume ya taifa ya uchaguzi, anaweza akawa ameteuliwa na chama chake lakini akshindwa kuteuliwa na tume kwa kukosa sifa furani
Njia ya muongo ni fupi.
 
Ccm ikitoka madarakani ni kaburini moja kwa moja kama Kanu ya Kenya.
Kwa taarifa yako CCM haitoki madaraki leo, haitoki kesho na wala haitoki keshokutwa.

......28/10/2020 tunaenda kumchinja ng'ombe Kama alivyoanguka ..
 
Pumber tupu.

Ukitaka kujua tafsiri ya neno election campaign iliyotumika kwenyekifungu cha 21 unapaswa kusoma pia tafsiri ya neno election na campaign pia.

Ukishasoma yote hayo utaona kuwa katazo lip kwenye election campaign ambapo ni kipindi cha kampeni za uchaguzi.

Kwa sasa hatupo kwenye kipindi cha uchaguzi.

wewe umesema hapo election period , hakuna kitu kama election period bali kuna campaign period.

Ngoja nikujibu
.mosi umezungumzia tafsiri ya neno 'election' na neno 'campaign' Kwenye sheria hiyo ya gharama za Uchaguzi imesema 'election' maana yake ni kitendo cha kumchagua mtu kwa kura kutoka kwenye kundi la wagombea ili kuziba nafasi ya rais,mbunge kwa mujibu wa sheria ya The National Election Act au diwani kwa mujibu wa sheria ya Uchaguzi wa serikali zuperiod'


Pili kwenye hoja yako ya tafsiri ya neno campaign, Sheria ya Gharama za Uchaguzi iko silent,ila imetoa tafsiri ya neno 'Campaign period' kumaanisha kwamba ni kipindi ambacho mgombea ameshateuliwa na chama kugombea na kabla ya tarehe ya uchaguzi
Tatu,umekiri mwenyewe hatuko kwwnye uchaguzi Bali tuko kwenye campaign period (kipindi cha baada ya kuteuliwa na kabla ya tarehe ya Uchaguzi).

Nne, kuhusu kusema 'election period' hiyo ni slip of the tounge nilikuwa namaanisha 'campaign period' Tano,ni hivi kwa kwa mujibu wa tafsiri ya sheria hapo juu ni kwamba Mhe Rais yuko kwenye 'Campaign period' yaani zoezi la uteuzi lishapita na Uchaguzi bado,hivyo tuko kwenye Campaign period hivyo basi Sheria ya Gharama za Uchaguzi inamuhusu kwa kuwa tuko kwenye 'Campaign period'.
 
uchaguzi uwe huru na haki ili sisi wananchi kama wajumbe tuamue kama kashindwa ashindwe kihalali muhimu pasiwepo na figisu figisu kila kitu kiwe wazi.Hakuna mambo ya 2015 ya kumuachia Mungu aliyotuletea Lowasa,shindwa kihalali shinda kihalali, uzuru Mkapa Mungu kampenda zaidi mwaka huu hakuna janja janja haki bin haki...
Ndiyo dada yangu uchaguzi utakuwa huru na wa haki na tunaenda kumchagua Mh John Joseph Magufuli kuwa Rais kwa mara nyingine Kama hupendi kale malimao.
 
Ngoja nikujibu
.mosi umezungumzia tafsiri ya neno 'election' na neno 'campaign'
Kwenye sheria hiyo ya gharama za Uchaguzi imesema 'election' maana yake ni kitendo cha kumchagua mtu kwa kura kutoka kwenye kundi la wagombea ili kuziba nafasi ya rais,mbunge kwa mujibu wa sheria ya The National Election Act au diwani kwa mujibu wa sheria ya Uchaguzi wa serikali zuperiod'...
Hakuna mahali nimesema tupo kwenye Campaign period??

Una matatizo gani??
 
Acha kuwalisha watu matango pori, sheria inamtambua mtia nia Kama Mgombea baada ya kuchukua fomu na kuteuliwa na tume ya taifa ya uchaguzi, anaweza akawa ameteuliwa na chama chake lakini akshindwa kuteuliwa na tume kwa kukosa sifa furani
Kwanza umedandia mjadala usiouelewa,
Mwenzako alikuwa anauliza je tuko takita ELECTION, CAMPAIGN PERIOD au NOMINATION PROCESS!

Mimi nikamwambia tuko kwenye CAMPAIGN PERIOD yaani ni kipindi baada ya kuteuliwa na Chama kugombea na kabla ya tarehe ya uchaguzi na hiyo ni kwa mujibu wa Sheria ya gharama za Uchaguzi.

Sheria inabana kuanzia ile siku uliyoteuliwa na Chama kugombea Na sio baada ya kupitishwa na tume na ndiyo maana imetumia maneno 'Campaign period' ili kuwabana wale wote ambayo washateuliwa na Vyama vyao wasikiuke hiyo Sheria kwa sababu imeshaanza kuwabana.

Mara baada ya kuteuliwa Kugombea na Chama.
 
Hayo yamesemwa na Mwanasharia nguli duniani na mgombea Urais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzani kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu!

Tundu Lissu amesema kitendo cha Rais Magufuli kupewa jogoo huko Kilwa na kulipa shilingi laki moja ni kitendo cha utoaji wa rushwa kwa wapiga kura kwani bei ya jogoo inajulikani ni shilingi elfu kumi tu....
Yeye bado ni rais wa nchi
 
Lissu akiwa raisi atahakikisha anatawala miaka 50 ili ahakikishe CCM imekufa kabisa kama CUF, NCCR, maana hasira alizo nazo akishinda anafuta uchaguzi na katiba anabadilisha
Hahaaa
Na haki za wale wa jinsia moja ataendelea kuzitetea kwa niaba ya mabeberu
 
Back
Top Bottom