hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Hahaa jamaa wamechanganyikiwa vibaya Sana Leo yule slow slow kaita press lakini hakuna cha maana cho chote alicho kizungumza mbaya zaidi press yenyewe pia imebuma hakuna hata anaye izungumzaHahaha nyimbo za stigla na esijiara zimekufa ghafla.
Hali ilivyokuwa kabla lissu hajarudi
CCM 5
Chadema 1
Hali jinsi ilivyo sasa baada ya lissu kurudi
CCM 0
Chadema 10
jamaa matumbo yana wahara huko
Lissu ni gifted yaani ni kiongozi tangu hajazaliwa ana hicho kipaji amezaliwa nacho ... Waweza kuona baada ya kurejea Nchini katika hizo siku chache tu karejesha Ari ya ushindani na matumaini makubwa kwa wanachama Wote wa chadema hadi wa ACT ...
Huyu ndiye aina ya kiongozi ambaye Tanzania ina muhitaji
Hahaa bad enough kwa ccm ni kwamba licha ya kufanya figisu figisu kibao kama za ukandamizaji wa democracy kuangamiza Uhuru wa vyombo vya habari .. Kutumia pesa na mbinu chafu kwa kununua wanachama wa chadema.
kupoteza baadhi ya watu na wengine kuuwawa (azory gwanda .akwilina. Ben saa 8 ile mifuko iliyokuwa inaokotwa ikiwa na maiti za watu na kupigwa risasi kwa lissu na hatimae wakawa wanahesabu kuwa tayari wao ni washindi hakuna anaye weza kuwasumbua tena Leo hii hawaamini macho yao Chezo limegeuka ... Yule waliyekuwa wana muombea afe karudi na ana watikisa vibaya sana ...
Nadhani kuna wakati huwa wanakaa wana mlaumu mungu kwanini alimuacha akiwa mzima.
Hahaa kumekucha Tanzania .. Tanzania oyeeeeeeeeeee