Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Huyo mpinzani atakae sifia si mpinzani halisi, ni Mpinzani uchwara. Mpinzani nia ni kukutoa wewe. Pale ulipo fanya vizuri yeye atataka afanye vizuri zaidi. Ukiona adui yako anakushangilia simama, geuka uangalie ni wapi umekosea.
 
mama Samia anamaliza kelele kwa akili sio nguvu.
Nakumbuka 2010 humu kuna memba ansitwa brucelee,(mungu amuweke mahali pema), alijiapiza,,, hii nchi haitatawaliwa tena na mswahili[emoji23][emoji23],eti sababu jk alikuaga anacheka cheka tu[emoji2298]
 
Huu ni uthibitisho kuwa Rais Mama Samia ni mpenda haki, mtenda haki, atabarikiwa, nchi itabarikiwa na itaneemeka kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Kila nikimtafakari Rais Samia, I was never wrong about her niliposema haya kumhusu Samia Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”

She is so humble Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Na hapa "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Na hapa Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!

Na hapa Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.
P
 
Mungu akulinde Rais Samia Suluhu Hassan. Unaitambua haki, kweli na ukweli mtupu na kuufanyia kazi kwa kadiri mazingira yanavyokuruhusu. Kama Mwanasiasa, Tanzania itakukumbuka. Kuna watu wanasema Waislam waliopata madaraka makubwa Tanzania walionyesha roho nyoofu kuliko Wakristo. Tunalipingaje hilo? Liko wazi. Uovu walioutenda and on balance kuna hoja ya kufanyiwa kazi. Haitoshi tu kusema "udini". Tundu Lissu rudi nyumbani Mungu anaishi na hana mpinzani.
 
Acha udini we Kafiri, mbona JPM alimtoa Babu Seya jela ambaye aling'ang'aniwa miaka na miaka na yule Muislamu lakini hukusema kuwa Wakristo wa Bongo wana roho nzuri sana kuliko Waislamu [emoji848][emoji19]

Ficha upumbavu wako [emoji34]
We ngombe kila mtu ana uhuru wa kukoment atakavyo humu. Mpumbavu we
 
Huwa mkirushiwa fupa kidogo mnaanza kuparuana Kama wapumbavu HIV endeleeni mwisho mtaambulia manyoya
Utawala wa awamu ya 5 iliumiza sana watu, Rais Samia anarejesha mshikamano wa Kitaifa ulioharibiwa na Magufuli. Ubaguzi wa kivyama ulishamiri, ilifikia wakati akifa wa chama fulani wengine wanasema haituhusu. Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…