Volodimiri Zelensiki
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 1,154
- 3,417
Hongera mama samia kwa kumtendea haki mtanzania mwenzetu Tundu Lissu. Aliporwa vyote vilivyowezekana mchana wa jua kali na genge lile baya la majambazi moja likiwa jumba jeupe jingine likiwa mjengoni Dodoma. Kwa uweza wa aliye juu yote yamezima kama moto wa nyikani. Ubarikiwe Mama