Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Hakika sasa hata kama hatuna imani sana lkn angalu mwanga umeanza kuonekana.

Serikali imemlipa mbunge wa zamani wa cdm mh Lissu stahiki zake ambazo alinyimwa chini ya utawala wa Magufuri.
Amepoteza fedha za Umma kumlipa
 
Hakika sasa hata kama hatuna imani sana lkn angalu mwanga umeanza kuonekana.

Serikali imemlipa mbunge wa zamani wa cdm mh Lissu stahiki zake ambazo alinyimwa chini ya utawala wa Magufuri.
delete your account!
 
Sasa hatutegemei kuanza kejeli na kumzodoa mama badili yake tunategemea kuona tunamsaidia ktk kulijenga Taifa.
Mungu mbariki Rais wetu Mama Samia Mungu Ibariki Tanzania.
 
Samia kusema kweli Ana utu,japo sio kwamba nampenda ila kwenye hili namsifu, ajira Sasa hivi nje nje tu
Hakika,aliyemharibia ni yule alimshauri atoke BBC nakusema TZ tunagaidi SUGU alikuwa akikimbia Nchi.Huyu mtu Mama kama anamjua atutangazie wananchi tumjue.Ni mchochezi sana.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa.

Pia Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali ya Rais Magufuli pia ilikataa kumlipa.

Pia Tundu Lissu amesema wanachama wa Chadema ambao walifungwa ama kuwekwa mahabusu kipindi cha Magufuli wameachiwa kasoro kesi chache ambazo nazo zinashughulikiwa.

Tundu Lissu alikutana na Rais Samia alipotembele nchini Ubelgiji ambapo waliongea mambo kadhaa ikiwemo stahiki hizo.


Uzuri wa Lissu huwa ni msema kweli
 
Lijamaa lilikuwa lishamba sana na limbukeni wa madaraka. Ndio rais pekee aliyekuwa kila akianda kanisani lazima apande mazabahuni kuwahutubia waumini. Lilikuwa linajiona na lenyewe ni. Litakatifu wakati ni liuwaji na lina roho mbaya sana.
Ila naona raia walimuelewa na kumkubali hivyo hivyo ndio maana hawakumsusa kwenye mazishi yake pamoja ya kuwa alikuwa anawauwa na kuwafanyia roho mbaya.
 
Back
Top Bottom