Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Samia yupo Samia yupo
Ukiona kundi la chadema Samia yupo.

Mama Samia fungua magereza watoke,

..... haya niongezee kiitikio cha @zito kabwe au kiitikio cha Nape Nnauye
 
Ila naona raia walimuelewa na kumkubali hivyo hivyo ndio maana hawakumsusa kwenye mazishi yake pamoja ya kuwa alikuwa anawauwa na kuwafanyia roho mbaya.
Kwani Iddi Amini hakuwa na raia waliomwelewa na kumkubali. Kwenye mazishi yake tuliona chawa wake na mapolisi wakilazimisha watu wafunge biashara waende msibani ili kuongeza namba ya waombelezaji
 
Usiwasingizie wakristo kwa ushetani wa mtu mmoja,tukisema yule jamaa ni alikuwa shetani chawa wake wanakuja juu
Nadhani amebeba majibu ya jumla kutokana na tawala zilizopita katika hii nchi.
 
Hakika,aliyemharibia ni yule alimshauri atoke BBC nakusema TZ tunagaidi SUGU alikuwa akikimbia Nchi.Huyu mtu Mama kama anamjua atutangazie wananchi tumjue.Ni mchochezi sana.
Wanao mharibia mama ni uvccm ambao wanataka muda wote nchi isiwe na utangamano ili waendelee kuuza maneno ya majungu.
 
Ila naona raia walimuelewa na kumkubali hivyo hivyo ndio maana hawakumsusa kwenye mazishi yake pamoja ya kuwa alikuwa anawauwa na kuwafanyia roho mbaya.
Walijitokeza kwa wingj kujiaminisha kama kweli shetani kafa au anawazuga. Baada ya kuthibitisha kadedi wakaamua wakahakikishe kabisa kama shetani kazikwa.... baada ya hapo nchi imetulia kwa amani
 
Ugomvi wa magufuli na chadema ulikuwa kwenye MASLAHI.
huwezi tena kuwasikia Sasa hivi Wana matonge mdomoni.
Hawawezi kuongea.
Nyie wengine mpambane na hali ZENU
Naona unaongea huku kooni umekabwa na rundo la chuki kuu.

Pole sana ndugu hayo ndiyo maisha maana hata barabara haiwezi kunyooka unavyotaka wewe.
 
Kwani Iddi Amini hakuwa na raia waliomwelewa na kumkubali. Kwenye mazishi yake tuliona chawa wake na mapolisi wakilazimisha watu wafunge biashara waende msibani ili kuongeza namba ya waombelezaji
Kina Mariamungu walimuelewa sana hadi kumuita Mungu wao wa Uganda.
 
Katika tasnia ya haki na misingi ya utu na ubinadamu hakika Rais Samia atabakia kuwa Mfano hata milele yote ya Tanzania hii!
Sukuma gang poleni sana kwa vijiroho vyenu na jinsi mlivojizoweza kuona na kufurahia wengine wakifanyiwa unyama habari kama hii kwenu ni mbaya sana!
 
Wanao mharibia mama ni uvccm ambao wanataka muda wote nchi isiwe na utangamano ili waendelee kuuza maneno ya majungu.
Naunga mkono, mama ana nia safi ila atakwamiahwa na wanaccm kwani wengi wao wana uwezo mdogo wa uwongozi na wanataka wapate madaraka Kwa kufanyiwa fever
 
Kwani Iddi Amini hakuwa na raia waliomwelewa na kumkubali. Kwenye mazishi yake tjliona chawa wake na mapolisi wakilazimisha watu wafunge biashara waende msibani ili kuongeza namba ya waombelezaji
Kuwakusanya watu kwa kiwango kile kinahitaji nguvu ya jeshi kuwatoa watu majumbani na maeneo yote ya kazi na sio kufunga maduka tu, kulikuwa kuna hadi familia zilizopoteza maisha kwenye harakati za kumuaga huyo jamaa.

Tafsiri ni kwamba raia hawakuwa wakimchukulia jamaa kama mtu katili kwao na anawauwa.
 
Kwa jinsi nionavyo, uchaguzi mkuu 2025 vyama vya upinzani visiweke mgombea urais, nguvu kubwa ielekezwe kwenye ubunge, kisha walidhibiti Bunge. Kwenye Urais mama anatosha, waziri mkuu atoke upinzani, nchi itaenda.

YESU NI KRISTO
 
Jiwe alishupaza shingo ,moyo wake ukawa mgumu kama wa Farao 🤔
 
Back
Top Bottom