Amepoteza fedha za Umma kumlipaHakika sasa hata kama hatuna imani sana lkn angalu mwanga umeanza kuonekana.
Serikali imemlipa mbunge wa zamani wa cdm mh Lissu stahiki zake ambazo alinyimwa chini ya utawala wa Magufuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepoteza fedha za Umma kumlipaHakika sasa hata kama hatuna imani sana lkn angalu mwanga umeanza kuonekana.
Serikali imemlipa mbunge wa zamani wa cdm mh Lissu stahiki zake ambazo alinyimwa chini ya utawala wa Magufuri.
Your hero and not our heroHahahaaaa kwenye siasa kuna hesabu zake mkuu, kikubwa ni matumizi sahihi ya mtaji kwa wakati sahihi
Rest well our hero John Pombe Magufuli
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais Samia suluhu Hasan
Hadi sasa naamini mama bado yupo kwenye..raiti tiraaakiii.Kwa hilo Mama anafanya vizuri!
Anachopaswa sasa Lissu kufanya ,ni kurudi nyumbani tu!
Siyo kusujudu bali ni fact,huyu mama huwezi kumlinganisha na jiwe alivyokuwa na roho mbaya sanaThis time mmoja mmoja atasujudu kazi iendelee mama
Kama wazazi wako walivyopoteza muda wao kukuzaa kichaa kama weweAmepoteza fedha za Umma kumlipa
delete your account!Hakika sasa hata kama hatuna imani sana lkn angalu mwanga umeanza kuonekana.
Serikali imemlipa mbunge wa zamani wa cdm mh Lissu stahiki zake ambazo alinyimwa chini ya utawala wa Magufuri.
Ndiyo maana miradi ya maendeleo haiendi kisa pesa anapewa mpuuzi Tundu LissuKama wazazi wako walivyopoteza muda wao kukuzaa kichaa kama wewe
Hakika,aliyemharibia ni yule alimshauri atoke BBC nakusema TZ tunagaidi SUGU alikuwa akikimbia Nchi.Huyu mtu Mama kama anamjua atutangazie wananchi tumjue.Ni mchochezi sana.Samia kusema kweli Ana utu,japo sio kwamba nampenda ila kwenye hili namsifu, ajira Sasa hivi nje nje tu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa.
Pia Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali ya Rais Magufuli pia ilikataa kumlipa.
Pia Tundu Lissu amesema wanachama wa Chadema ambao walifungwa ama kuwekwa mahabusu kipindi cha Magufuli wameachiwa kasoro kesi chache ambazo nazo zinashughulikiwa.
Tundu Lissu alikutana na Rais Samia alipotembele nchini Ubelgiji ambapo waliongea mambo kadhaa ikiwemo stahiki hizo.
Akifanya vizuri atasifiwa na akiharibu lazima tutamsema haraka snSasa hatutegemei kuanza kejeli na kumzodoa mama badili yake tunategemea kuona tunamsaidia ktk kulijenga Taifa.
Mungu mbariki Rais wetu Mama Samia Mungu Ibariki Tanzania.
Yule alikuwa ni shetani kabisaLijamaa lilikuwa lishamba sana na limbukeni wa madaraka. Ndio rais pekee aliyekuwa kila akianda kanisani lazima apande mazabahuni kuwahutubia waumini. Lilikuwa linajiona na lenyewe ni. Litakatifu wakati ni liuwaji na lina roho mbaya sana
2025 wapinzani wote wa mama watakuwa wanamuunga mkono..2025 anapita bila kupingwa
Ila naona raia walimuelewa na kumkubali hivyo hivyo ndio maana hawakumsusa kwenye mazishi yake pamoja ya kuwa alikuwa anawauwa na kuwafanyia roho mbaya.Lijamaa lilikuwa lishamba sana na limbukeni wa madaraka. Ndio rais pekee aliyekuwa kila akianda kanisani lazima apande mazabahuni kuwahutubia waumini. Lilikuwa linajiona na lenyewe ni. Litakatifu wakati ni liuwaji na lina roho mbaya sana.