MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wakati wakina John Pumbulu wanapambana mambo ya katiba hadi kupata vipigo, hawa vigogo wa chama wako bize kukubaliana maslahi yao na watesi. Mbowe na Lissu wajadiliwe na kamati kuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendazake yeye aliamini katika kuteka na kuua
mmhMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa.
Pia Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali ya Rais Magufuli pia ilikataa kumlipa.
Tundu Lissu alikutana na Rais Samia alipotembele nchini Ubelgiji ambapo waliongea mambo kadhaa ikiwemo stahiki hizo.
MAMA ana Hofu ya MUNGU na MUNGU Ampe Maisha marefu ya Kuwatumikia WatanzaniaMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa.
Pia Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali ya Rais Magufuli pia ilikataa kumlipa.
Tundu Lissu alikutana na Rais Samia alipotembele nchini Ubelgiji ambapo waliongea mambo kadhaa ikiwemo stahiki hizo.
Ngoja waanze kumdekea, hawana dogo hao...
hapana mkuu. Kila nafsi ihukumiwe kwa matendo yake. Kwa hili bandiko lako, ina maana waislam wote ni magaidi kama Bin Laden au ISIS wanaokata watu vichwa? Neno devoted unalipimaje?
tafakari kabla ya kuandika.
Usione gere kasema kalipwa stahiki zake zote wewe kinakuuma niniPongezi kwa Samia.
So, Samia kamlipa stahiki zake zote ila bado hajamkubalia kurudi nyumbani? au alishakubaliwa kurudi nyumbani ila yeye ameamua kubaki Ubelgiji kwa mambo yake binafsi?
Atuweke wazi na kwenye hilo, sababu huwa anatoa ahadi za nitakuja tarehe fulani, halafu tarehe hiyo ikifika haonekani bila kutuambia kwanini hajarudi, ili kama lawama zibaki kwa Samia na serikali yake tujue, au kama lawama ni za Lissu binafsi tujue.
Siasa ni sayansi
Safi sana rais wetu
Km ipo hivyo, MUNGU ambariki sana Mama Samia,mama huyu ana utu sana,potelea mbali madhaifu ya kibinadamu ambayo kila mtu anayo.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa.
Pia Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali ya Rais Magufuli pia ilikataa kumlipa.
Tundu Lissu alikutana na Rais Samia alipotembele nchini Ubelgiji ambapo waliongea mambo kadhaa ikiwemo stahiki hizo.
Hahahaaaa kwenye siasa kuna hesabu zake mkuu, kikubwa ni matumizi sahihi ya mtaji kwa wakati sahihi
Rest well our hero John Pombe Magufuli
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais Samia suluhu Hasan
AminaMAMA ana Hofu ya MUNGU na MUNGU Ampe Maisha marefu ya Kuwatumikia Watanzania
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Angekuwa yule jamaa, tukio lingefanyikia Ikulu, vyombo vyote vya habari live...na masimango juu, kwa mlipwaji!Madame kalipa halafu hajajitangaza na hajafanya mbele ya kamera.
Aliyelipwa ndiye kaja kusema.
Jamani mi nakua chawa wa Madame jamani
Alinyimwa na Ndugai, siyo Magufuli.
Ndio maana ilikuwa ni lazima atoke ili mambo yaende..mbona Ndugai alikuwa akisisitiza na kujiapiza kuwa Lissu hadai chochote?