Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Madame kalipa halafu hajajitangaza na hajafanya mbele ya kamera.

Aliyelipwa ndiye kaja kusema.

Jamani mi nakua chawa wa Madame jamani
Ukweli kabisa. Yaani Rais wetu ni wa matendo Tu. Chema chajiuza. Kinyume chake sijui ni nini? Ukweli inabidi wasanii watoke front wamtangaze kwa kila hatua.
 
Mama anaonesha jins
Kama amelipwa kinachomfanya aendelee kukaa kwa amsterdam ni nini , au ukuni

Acacia hawajatushitaki MIGA sasa
Yeye mbona hakusamehe wenzake hadi akafikia hatua ya kuua na kutaka kuua? Mimi bado nipo nipo sana. Wala sina chuki nasema ukweli ulivyo.
 
Alinyimwa na Ndugai, siyo Magufuli.
Kwa order yake siyo? Angemlipaje wakati Mungu mtu wake ni adui wa Lisu? Mmoja anaozea ardhini na mwingine anaugulia maumivu. Malipo ni hapa hapa duniani Mkuu.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa.

Pia Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali ya Rais Magufuli pia ilikataa kumlipa.

Tundu Lissu alikutana na Rais Samia alipotembele nchini Ubelgiji ambapo waliongea mambo kadhaa ikiwemo stahiki hizo.

Nani kama mama?
 
Acha udini we Kafiri, mbona JPM alimtoa Babu Seya jela ambaye aling'ang'aniwa miaka na miaka na yule Muislamu lakini hukusema kuwa Wakristo wa Bongo wana roho nzuri sana kuliko Waislamu [emoji848][emoji19]

Ficha upumbavu wako [emoji34]
Kumbe kutoa wabakaji wa watoto jela ni wema...
 
Tunasherehekea na hatutaacha kusheherekea kila mwaka tarehe 17/3 kwa Mungu kulichukua lile nyangumi
Wapo pia wanaosherehekea kumpelekea mkeo moto huku akikutukana wewe, familia yako na ukoo wenu wote, hii ndiyo dunia [emoji38]
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa.

Pia Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali ya Rais Magufuli pia ilikataa kumlipa.

Tundu Lissu alikutana na Rais Samia alipotembele nchini Ubelgiji ambapo waliongea mambo kadhaa ikiwemo stahiki hizo.

Jambo jema
 
hali ya wazee wa kulinda "legasi" ya jiwe mda huu huko waliko.
giphy.gif
 
Devoted Muslims have a clear sense and meaning of ''justice'' than the other devoted and pious imitators
Devoted muslim my ass; hivi hamuoni watu wa chini wanavyoteseka?

Yaani hapo wapinzani wananyamazishwa kiaina. Arudi tudai katiba mpya sasa
 
Back
Top Bottom