I love reconcilliationMakamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama mbunge ambazo ni kiinua mgongo Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa
Pia serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo serikali ya Rais Magufuli pia ilikataa kumlipa
Tundu Lissu alikutana na Rais Samia alipotembele nchini Ubelgiji ambapo waliongea mambo kadhaa ikiwemo stahiki hizo
Wale wafuasi wa lile zimwi la Chato wanasaga meno kwa hasira,hii mijitu ina roho za kishetani sanakuna wana ccm hawatapenda hii kitu.
Ndungai yule kiroboto wa jiwe?..mbona Ndugai alikuwa akisisitiza na kujiapiza kuwa Lissu hadai chochote?
Wanajua Dunia ni mapito,hata wakishika madaraka atuisomi nambaWaislamu wa bongo wanaroho nzuri sana kuliko wakristo sijui kwanini
Aibu kubwa kwa ndugai[emoji26]..mbona Ndugai alikuwa akisisitiza na kujiapiza kuwa Lissu hadai chochote?
Akili mingi Sana yule mama,mama Samia mpaka sasa keshamalizana na wapinzani bila hata kufyatua risasi moja
Mwendazake yeye aliamini katika kuteka na kuuaAkili mingi Sana yule mama,
Anajua vema kucheza na siasa Safi[emoji4][emoji106]
Afadhali umesema ni imitators.Devoted Muslims have a clear sense and meaning of ''justice'' than the other devoted and pious imitators
Shetani ana nguvu. Na kati ya sifa mojawapo ya shetani ni uwongo, hadaa na hila...mbona Ndugai alikuwa akisisitiza na kujiapiza kuwa Lissu hadai chochote?
Ni jambo jema
Rudi nyumbani sasa tujenge n
Ila yule jamaa ni aibu kwa gogozz wote.na ndiyo maana karudi wao kongwa, alifeli kusoma upepo.