Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnisamehe wote na lisu mwenyewe anisamehe sana sijawahi kuwa upande wake ila hapa
Nipo na lisu
Tuko na DP WORLD raha mustarehe[emoji7]Si wa ovyo tu, ni wa kipumbavu na wa kijinga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi huyu Mbarawa au Mbawala Nani kamleta huku nchini.mkataba una miezi 8 tayari , Ushahidi huu hapa
ibara ya 25(1) inasema kwamba utaanza baada ya kusainiwa
sasa angalia ulisainiwa lini
View attachment 2653101
Huyu jamaa Huwa nampendea kalafudhi kake, kwakweli kananikumbusha watu wa pale kwenye shamba la alizetiiiAmedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
umesikia kuna aliyeipinga ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cheap propaganda....
Dadaangu unaeneza "document" iliyochezewa....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Gonjwa la Mirembe....ccm na wafuas wao yamegeuka madalali ya muuza watumwa wa dubai.
HayaIngieni barabarani sasa nyie makamanda uchwara.[emoji23]
Hata aje nani akileta mambo ya hovyo tutampinga tuChadema na baadhi ya watanzania ni watu wa ajabu sana.Alikuja Hayati JPM mkasema anajenga badolite pale Chato kana kwamba chato siyo Tanzania .kama Nchi inauzwa msipige makalele maana huo ni uongo
Bunge la mwendazake- hopelessSasa ungewaona WALE CCM walivyotoa macho na kuupigia makofi, vigelegele, mayowe kama vile wameahidiwa 10%, magari au nyumba!
RAIA WA DANGANYIKA TUMEKEISHAAAA....
HATUNA WABUNGE MLE...
Nilijuaga una maana huko ccm kumbe na wewe kajamba nani tu😅😅Ingieni barabarani sasa nyie makamanda uchwara.😂
Una upuuzi mwingi🤣🤣🤣Nilijuaga una maana huko ccm kumbe na wewe kajamba nani tu😅😅
Nimekusikia🤣Haya
Umeuzwa kwa waarabu umebaki kiyanga yanga tu kama Stroke.Una upuuzi mwingi🤣🤣🤣
Hata wewe "umeuzwa" pia. Au wewe sio mtanzania?Umeuzwa kwa waarabu umebaki kiyanga yanga tu kama Stroke.
Huna ishu badala ya kutoa ushauri unaanza kubwatukaAmedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mbona sura hiyo ya Mzee Hashim RungweBado tuna haki ya kumlaumu Chifu Mangungo wa Msovero?
View attachment 2653087View attachment 2653088
Tupo pamoja. Nami kwa kweli Samia ametisha sana kwa haya maamuzi. Ni mtu hatari.Samia dalali wa mali zetu wabara, sina imani nae tena.