Wewe ebu jiambie mwenyewe, "mimi ni kichaa mwehu kwa sababu sina akili na wala sijitambui. Namwona Musukuma aliyeongoza jopo la kusaliti nchi, ni kati ya wasomi wakubwa wa nchi hii".Huyu ni mpayukaji anayepaswa kupuuzwa. Bunge lina wabunge kibao tena wa fani mbalimvali na wazalendo kumshinda lisu ambaye anaonekana wazi kuwa mtetea maslahi binafsi.
Sasa wale vichaa wanaosema mkataba ni kipindi maaluma, wasema, muda huwa unaisha lini.
KWISHA HABARI, wameona noma na kujifanya upitishwe bungeni kumbe mambo yalishaisha...! 🤬😡😠😭😩
[emoji1787][emoji1787]Hata wewe "umeuzwa" pia. Au wewe sio mtanzania?
hao ni chawaSasa wale vuchaa wanaosema mkataba ni kipindi maaluma, wasema, muda huwa unaisha lini.
Acha ujinga kwenye mambo yenye maslahi ya kitaifa.Chadema na baadhi ya watanzania ni watu wa ajabu sana.Alikuja Hayati JPM mkasema anajenga badolite pale Chato kana kwamba chato siyo Tanzania .kama Nchi inauzwa msipige makalele maana huo ni uongo
We taa hira hebu kaa kimya unadhani kila mtu anafurahia kusoma ujinga wako ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cheap propaganda....
Dadaangu unaeneza "document" iliyochezewa....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nimekulazimisha kusoma?!!! [emoji1787][emoji1787]We taa hira hebu kaa kimya unadhani kila mtu anafurahia kusoma ujinga wako ?
Maoni gani tena huku kasema kwa sasa ni mapema mno kuamua had8 tujue undani wa mikataba itakayofikiwa? And yet tayari kasema hajawahi kuona mkataba mbaya kama huu.Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
🤣🤣Bavicha mnawaza kulogana tu na Mganga wenu Mshana!
Mbarawa alikuwa hata hajui anasaini sehemu gani akaanzia chini kwa katibu wa wizara
Wabunge wetu hawa hawa. ndo wawe na weledi wa kusoma na kuichambua mikataba? Musiwaonee jamani wapo pale kwaajili ya kusema ndioooo . Wanailinda serikali yao. Kikubwa posho zao na maslahi yea yapo.Huyu ni mpayukaji anayepaswa kupuuzwa. Bunge lina wabunge kibao tena wa fani mbalimvali na wazalendo kumshinda lisu ambaye anaonekana wazi kuwa mtetea maslahi binafsi.
jf hailei uongo , jichunguze kama ulikuwa kwenye parade la Yanga au la
Kwani uongo yule shetani alitaka kuhamishia rasilimali zote za nchi Chato!Chadema na baadhi ya watanzania ni watu wa ajabu sana.Alikuja Hayati JPM mkasema anajenga badolite pale Chato kana kwamba chato siyo Tanzania .kama Nchi inauzwa msipige makalele maana huo ni uongo
Nani amemwelewa profesa hapa anifafanulie. Huu mkataba ni wa miaka mingapi? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2653075
Musukuma hawezi kuandika hata paragraph moja kwa Kiswahili kilichonyoka.Wabunge wetu hawa hawa. ndo wawe na weledi wa kusoma na kuichambua mikataba? Musiwaonee jamani wapo pale kwaajili ya kusema ndioooo . Wanailinda serikali yao. Kikubwa posho zao na maslahi yea yapo.
Lengo haujalijua tu ? Lengo ni mkisoma msielewe chochote.Nani amemwelewa profesa hapa anifafanulie. Huu mkataba ni wa miaka mingapi? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2653075