Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Kwa uwezo wako mdogo wa kufikiria huwezi kuelewa hapo na wala siwezi kukushangaa.Umeandika upupu tu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uwezo wako mdogo wa kufikiria huwezi kuelewa hapo na wala siwezi kukushangaa.Umeandika upupu tu hapa
Kafie mbele mtoto mdogo.Ahahahahaha! Tatizo la bongolala kama wewe kuamini wewe uko sahihi ila wengine hawako sahihi. Ahahahahaha!!
Hapa kwa kweli Lissu amesema jambo. Amenikosha."Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro wapeleke Msomera Handeni, 547Km kutoka ngorongoro."
"Huyu rais Mzanzibari siyo Mtanganyika, hajazaliwa upande huu, miaka 60, huyu mzanzibari anaweza kutoka alikotoka akaja kuvuruga watu huku. Kusingekuwa na huo muungano asingefanya hivyo kwasababu asingekuwa rais wetu"
"Na siyo ngorongoro tu, sasa wanasema Longido yote, Monduli ya mbugani yote, ule upande wa kwenda Siha nyuma ya mlima Meru yote ile, Simanjiro yote mpaka huku minjingu na maeneo mengine ya wafugaji yote. Wanasema hivi, na haya maeneo wanapanga kuyafanya kuwa mapori tengefu na wakiyatenga kuwa maeneo tengefu maana yake wamasai wanafukuzwa kote"
"Mimi nimetembea nchi hii mwaka jana, kila mahali ni kilio cha ardhi, nchi hii kuna kilio kikubwa cha Ardhi nchi nzima na sababu ni moja, rais anaamuru watu wake mapolisi, DC, wanajeshi wahamishe wananchi"
Pia soma:
Huna hoja hapa...Angekuwa anajua mengi asingeliwa anaropoka. Angekuwa anaongea pointi. Mfano, anasema tuna Rais Mzanzibar. Sawa. Yeye anapowaongelea Wmasai, yeye Lissu ni Mmasai?
Ndo maana unaitwa mtoto wa shuleAngekuwa anajua mengi asingeliwa anaropoka. Angekuwa anaongea pointi. Mfano, anasema tuna Rais Mzanzibar. Sawa. Yeye anapowaongelea Wmasai, yeye Lissu ni Mmasai?
Wewe umejenga ipi?Huna hoja hapa...
Yeah! Binadamu yeyote ni mtoto wa Shule hadi anapofariki.
Angeweza kujadili hoja bila hizi kauli zake zenye ukakasi wa kikaburu! Huwezi kumzungumzia Rais wa nchi kirahisi hivi. Nchi hii inaundwa na Tanzania Bara na Zanzibar. Ndiyo maana pia, Rais wa nchi kutoka Bara ana mamlaka na nchi yote bila kujali kazaliwa Chato, Tanga, Mbeya au Gamboshi. #Lissu hana busara ya uongozi. 🙏🙏🙏"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro wapeleke Msomera Handeni, 547Km kutoka ngorongoro."