Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Si ndio furaha yako chadema ife ama nene we kibangaYes,
gentleman, kusema ukweli hapachoshi kabisa.
kibaka na tapeli wa siasa ndani ya chadema anajarbu kutoa majeshi uwanjani kisayansi kwa kutumia no reform no elections ili kukwepa fedheha ya kushindwa uchaguzi vibaya sana π
Yes,Ni sahihi wao kuto kuwa na pesa maana hawaibi chochote cha umma kwa maslahi ya chama na wala hawaja jimilikisha mali yeyote ya umma kwa maslahi ya chama hivyo wao kuto kuwa na fedha wala hatushangai kuliko CCM inayo jitaoa na fedha za wizi zinanzo tokana na dhuruma mlio ifanya kujimilikisha mali za umma na kuchota fedha za umma kwa matumizi ya chama
Wewe Ndio unaona kashindwa πGentleman,
wakati kibaka kashindwa kuraise 30m tu ?π
Furaha yangu ni kuona wananchi na waTanzania wote hawatapeliwi na vibaka wa siasa nchini bali wanafurahia matunda yanayoletwa na serikali yao sikivu chini ya Dr Samia Suluhu Hassan,Si ndio furaha yako chadema ife ama nene we kibanga
wewe unaona kaweza gentleman?Wewe Ndio unaona kashindwa π
Kwahiyo hutaki watapeliwe na vibaka ila unataka watapliwe na majambazi ya kijani kibichi ccm, tena yenyewe hayatapeli yanaiba kabisa kwakutumia mtutu wa bundukiFuraha yangu ni kuona wananchi na waTanzania wote hawatapeliwi na vibaka wa siasa nchini bali wanafurahia matunda yanayoletwa na serikali yao sikivu chini ya Dr Samia Suluhu Hassan,
Lakini furaha yangu zaidi ni kuona Tanzania panakuepo na United and vibrant opposition na sio utapeli kama anaoufanya huyo wa chadema π
Gentleman,Hili ni bandiko lako la 12,000 kuhusu CHADEMA. Mabandiko yako kuhusu chama chako CCM hayafiki hata 10
ππππ
Akikacha unaumia? Si mnajipakulia maasilimia sasa ya kumwaga!unaweweseka gentleman?
relax bana ila ndio hivyo tena kibaka na tapeli wa siasa Chadema anatafuna pesa za chama kifisadi kwa anasa na matumizi binafsi, halafu anakuja kupiga mayowe kwenye vyombo vya habari eti hakuna pesa ndani ya chama,
Infact its true kwasabb kazikomba zote na hana namna yoyote ispokua kukacha uchaguzi kisayansi na no reform no elections π
Sidhani kama hamuoni hali halisi ya wananchi ilivyo ngumu na bado mnataka mambo yaende tu kama mnavyo ona Kifo cha CDM mjue ni kaburi la W,, watanzania nyie furahini tu mtakuja kuniambia ingawa imani yangu inanituma kuwa CDM ni haifi leo wala keshounaweweseka gentleman?
relax bana ila ndio hivyo tena kibaka na tapeli wa siasa Chadema anatafuna pesa za chama kifisadi kwa anasa na matumizi binafsi, halafu anakuja kupiga mayowe kwenye vyombo vya habari eti hakuna pesa ndani ya chama,
Infact its true kwasabb kazikomba zote na hani k namna yoyote ispokua kukacha uchaguzi kisayansi na no reform no elections π
Infact,Kwahiyo hutaki watapeliwe na vibaka ila unataka watapliwe na majambazi ya kijani kibichi ccm, tena yenyewe hayatapeli yanaiba kabisa kwakutumia mtutu wa bunduki
Bora msema kweli,Infact,
kibaka na tapeli wa siasa,
anataka kuwatapeli wananchi hususan wa chadema hadi fikra, eti wasiende kupiga kura π€£
kukosa akili ni kitu mbaya sana aise dah π
Nadhani katika watu CHADEMA inatakiwa kuwashukuru, ni hawa johnthebaptist , Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa.Hili ni bandiko lako la 12,000 kuhusu CHADEMA. Mabandiko yako kuhusu chama chako CCM hayafiki hata 10
ππππ
ni utapeli wa kudhulumu haki na uhuru wa wana Chadema,Akikacha unaumia? Si mnajipakulia maasilimia sasa ya kumwaga!
Umekwepa kujibu hoja umeanza usengenyaji.Yes,
kiongozi mpya kazi yake muhimu ni kufanya retreat za kifahari kula bata na ndugu jamaa na marafiki kwenye mahoteli ya kifahari huko bagamoyo,
zikiisha anarudi kuwatapeli tena kwa kupitisha bakuli kuomba achangiwe tena pesa π€£
Kaweza sana tuwewe unaona kaweza gentleman?
mbona weo nyingi sana sasa π
Ana Chuki binafsi na TAL πΌUmekwepa kujibu hoja umeanza usengenyaji.
ndio,Bora msema kweli,
Mie sina chuki na TALAna Chuki binafsi na TAL πΌ
Sisi Ndio tunawatumia chochote ChademaNadhani katika watu CHADEMA inatakiwa kuwashukuru, ni hawa johnthebaptist , Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa.
Hawa jamaa wanaongoza kwa kuipa promo ya bure kabisa CHADEMA kwa kupandisha nyuzi zisizo na idadi na nadiriki kusema bila wao, CHADEMA ingekua imesha sahaulika humu jamvini. Viongozi wa CHADEMA waangalie namna ya kuwatumia chochote hawa jamaa aisee sio kwa kupambana huku.