Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hili ni bandiko lako la 12,000 kuhusu CHADEMA. Mabandiko yako kuhusu chama chako CCM hayafiki hata 10

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„
 
Yes,
gentleman, kusema ukweli hapachoshi kabisa.

kibaka na tapeli wa siasa ndani ya chadema anajarbu kutoa majeshi uwanjani kisayansi kwa kutumia no reform no elections ili kukwepa fedheha ya kushindwa uchaguzi vibaya sana ๐Ÿ’
Si ndio furaha yako chadema ife ama nene we kibanga
 
Ni sahihi wao kuto kuwa na pesa maana hawaibi chochote cha umma kwa maslahi ya chama na wala hawaja jimilikisha mali yeyote ya umma kwa maslahi ya chama hivyo wao kuto kuwa na fedha wala hatushangai kuliko CCM inayo jitaoa na fedha za wizi zinanzo tokana na dhuruma mlio ifanya kujimilikisha mali za umma na kuchota fedha za umma kwa matumizi ya chama
Yes,
kiongozi mpya kazi yake muhimu ni kufanya retreat za kifahari kula bata na ndugu jamaa na marafiki kwenye mahoteli ya kifahari huko bagamoyo,

zikiisha anarudi kuwatapeli tena kwa kupitisha bakuli kuomba achangiwe tena pesa ๐Ÿคฃ
 
Si ndio furaha yako chadema ife ama nene we kibanga
Furaha yangu ni kuona wananchi na waTanzania wote hawatapeliwi na vibaka wa siasa nchini bali wanafurahia matunda yanayoletwa na serikali yao sikivu chini ya Dr Samia Suluhu Hassan,

Lakini furaha yangu zaidi ni kuona Tanzania panakuepo na United and vibrant opposition na sio utapeli kama anaoufanya huyo wa chadema ๐Ÿ’
 
Kwahiyo hutaki watapeliwe na vibaka ila unataka watapliwe na majambazi ya kijani kibichi ccm, tena yenyewe hayatapeli yanaiba kabisa kwakutumia mtutu wa bunduki
 
Hili ni bandiko lako la 12,000 kuhusu CHADEMA. Mabandiko yako kuhusu chama chako CCM hayafiki hata 10

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„
Gentleman,
utapeli lazima uwe exposed bila mbambamba ya mtu yeyote,

na ni rahisi sana tu kueleza bayana azma potofu ya kibaka wa kisiasa chadema, namna anavyotaka kukwepa fedheha za kushindwa vibaya Uchaguzi kwa agenda ya no reform no elections kumbe bana ni ukata mbaya sana unaokizonga chama hicho, na tapeli asijue cha kufanya kwasabb haaminiki kwa wadau na waTanzania wote kwamba ni raia wa Tanzania kweli au wa ubelgiji, hata watu wajitolee kumsaidia?๐Ÿ’
 
unaweweseka gentleman?
relax bana ila ndio hivyo tena kibaka na tapeli wa siasa Chadema anatafuna pesa za chama kifisadi kwa anasa na matumizi binafsi, halafu anakuja kupiga mayowe kwenye vyombo vya habari eti hakuna pesa ndani ya chama,

Infact its true kwasabb kazikomba zote na hana namna yoyote ispokua kukacha uchaguzi kisayansi na no reform no elections ๐Ÿ’
Akikacha unaumia? Si mnajipakulia maasilimia sasa ya kumwaga!
 
unaweweseka gentleman?
relax bana ila ndio hivyo tena kibaka na tapeli wa siasa Chadema anatafuna pesa za chama kifisadi kwa anasa na matumizi binafsi, halafu anakuja kupiga mayowe kwenye vyombo vya habari eti hakuna pesa ndani ya chama,

Infact its true kwasabb kazikomba zote na hani k namna yoyote ispokua kukacha uchaguzi kisayansi na no reform no elections ๐Ÿ’
Sidhani kama hamuoni hali halisi ya wananchi ilivyo ngumu na bado mnataka mambo yaende tu kama mnavyo ona Kifo cha CDM mjue ni kaburi la W,, watanzania nyie furahini tu mtakuja kuniambia ingawa imani yangu inanituma kuwa CDM ni haifi leo wala kesho
 
Kwahiyo hutaki watapeliwe na vibaka ila unataka watapliwe na majambazi ya kijani kibichi ccm, tena yenyewe hayatapeli yanaiba kabisa kwakutumia mtutu wa bunduki
Infact,
kibaka na tapeli wa siasa,
anataka kuwatapeli wananchi hususan wa chadema hadi fikra, eti wasiende kupiga kura ๐Ÿคฃ

kukosa akili ni kitu mbaya sana aise dah ๐Ÿ’
 
Hili ni bandiko lako la 12,000 kuhusu CHADEMA. Mabandiko yako kuhusu chama chako CCM hayafiki hata 10

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„
Nadhani katika watu CHADEMA inatakiwa kuwashukuru, ni hawa johnthebaptist , Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa.

Hawa jamaa wanaongoza kwa kuipa promo ya bure kabisa CHADEMA kwa kupandisha nyuzi zisizo na idadi na nadiriki kusema bila wao, CHADEMA ingekua imesha sahaulika humu jamvini. Viongozi wa CHADEMA waangalie namna ya kuwatumia chochote hawa jamaa aisee sio kwa kupambana huku.
 
Yes,
kiongozi mpya kazi yake muhimu ni kufanya retreat za kifahari kula bata na ndugu jamaa na marafiki kwenye mahoteli ya kifahari huko bagamoyo,

zikiisha anarudi kuwatapeli tena kwa kupitisha bakuli kuomba achangiwe tena pesa ๐Ÿคฃ
Umekwepa kujibu hoja umeanza usengenyaji.
 
Bora msema kweli,
ndio,
aseme kwamba alienda bagamoyo kula maisha na watu wake wa karibu na walitumia milioni 65,

na sasa chama hakina pesa naomba msaada wenu kwa hali na mali ili chama kipate tena pesa za kutusua viongozi.

Ukweli ni kitu cha maana sana kuliko kuficha mambo ๐Ÿ’
 
Nadhani katika watu CHADEMA inatakiwa kuwashukuru, ni hawa johnthebaptist , Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa.

Hawa jamaa wanaongoza kwa kuipa promo ya bure kabisa CHADEMA kwa kupandisha nyuzi zisizo na idadi na nadiriki kusema bila wao, CHADEMA ingekua imesha sahaulika humu jamvini. Viongozi wa CHADEMA waangalie namna ya kuwatumia chochote hawa jamaa aisee sio kwa kupambana huku.
Sisi Ndio tunawatumia chochote Chadema
 
Back
Top Bottom