Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Nisiwadanganye, tunahitaji fedha kwenye Chama za kufanyia shughuli. Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama, wiki ijayo nimeambiwa tutafanya huo utaratibu wa namna ya kupata fedha za Chama. Msiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa zuri sana"

Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Alichokikuta kinatisha, hakielezeki
 
Alichokikuta kinatisha, hakielezeki
Kwani Mbowe yeye wakati anaingia alikuta nini, alianzisha mwenyewe mipango yakupata fedha na kuendesha chama na alikiendesha kwa ufanisi mkubwa sana Tatizo tu alilofanya nikushindwa kuweka misingi na mikakati madhubuti ya kukiingizia chama fedha. Matumizi makubwa ya fedha yasiyo na sababu kama vile chama kina fedha nyingi, mishagara mikubwa na posho kwa vijifedha vidogo vya Ruzuki. Tundu Lisu anapaswa asifuate nyao za mtangulizi wake kwenye matumizi mabovu ya fedha. Bado miezi nane tu na fedha ya ruzuku itakata wanatakiwa mpaka ikifika mwezi wa kumi wawe wamejipanga kisawa sawa la sivyo hata taa za makao makuu zitazima.
 
Chadema inapitia kipindi kigumu zaidi cha ukata wa pesa za kuendeshea taasisi hiyo tangu kuanzishwa kwake, na sasa iko njia panda kushiriki uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, kwasababu hakuna fedha za kuendeshea chama, lakini mbaya zaidi Chadema haina kabisa fedha kwajili ya kufadhili kampeni za mgombea urais, wagombea ubunge na udiwani wa chama hicho, kama ambavyo waliahidiwa kupigwa tafu ya kiuchumi na uongozi mpya wa chama hicho.

Kuna kila dalili za ufisadi wa kiwango cha juu sana ndani ya chadema, chini ya uongozi mpya ambao umaghubikwa matumizi mabaya zaidi ya anasa ya pesa za chama kama ambayo, matanuzi na retreat ya gharama ya juu sana na ya kifahari zaidi iliyofanyika bagamoyo majuzi.

Ni wazi sasa kumbe no reform no elections ni kisingizio tu na mbinu ya kisayansi ya kukimbia uchaguzi, Lakini pia ni kichaka cha kukwepa na kuficha aibu na fedheha kwa kwa uongozi mpya wa chama hicho kushindwa uongozi mapema na kutokua na uwezo kabisa wa kiuchumi wa kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria nchini utakao fanyika October mwaka huu 2025.🐒

Mungu ibariki Tanzania
 
Njia nzuri sana katika medani za kivita kumuhakikishia adui kuwa wewe u dhaifu. Ukifanikiwa kumuahadaa adui na yeye aka ku "underrate" basi tegemea katika uwanja wa mapambano mjivuni kupata 'an immense surprise"
yaani wewe ni kibaka na tapeli wa kisiasa,
uiibe na kutumia pesa za chama vibaya kwa anasa na tamaa zako binafsi tena wazi wazi kabisa,

uishiwe pesa, uanze kuomba omba kuchangiwa na wadau, yaani umepigika vizur umeishiwa hata kumi mbovu huna, halafu eti hiyo ndio iwe mbinu ya kivita,

ndezi sana dah 🤣
 
Sasa ndio heading ya herufi kubwa? Unatufokea? Ya chadema waachie wao utapasuka kichwa buuuure
 
Chadema inapitia kipindi kigumu zaidi cha ukata wa pesa za kuendeshea taasisi hiyo tangu kuanzishwa kwake, na sasa iko njia panda kushiriki uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, kwasababu hakuna fedha za kuendeshea chama, lakini mbaya zaidi Chadema haina kabisa fedha kwajili ya kufadhili kampeni za mgombea urais, wagombea ubunge na udiwani wa chama hicho, kama ambavyo waliahidiwa kupigwa tafu ya kiuchumi na uongozi mpya wa chama hicho.

Kuna kila dalili za ufisadi wa kiwango cha juu sana ndani ya chadema, chini ya uongozi mpya ambao umaghubikwa matumizi mabaya zaidi ya anasa ya pesa za chama kama ambayo, matanuzi na retreat ya gharama ya juu sana na ya kifahari zaidi iliyofanyika bagamoyo majuzi.

Ni wazi sasa kumbe no reform no elections ni kisingizio tu na mbinu ya kisayansi ya kukimbia uchaguzi, Lakini pia ni kichaka cha kukwepa na kuficha aibu na fedheha kwa kwa uongozi mpya wa chama hicho kushindwa uongozi mapema na kutokua na uwezo kabisa wa kiuchumi wa kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria nchini utakao fanyika October mwaka huu 2025.🐒

Mungu ibariki Tanzania
Hamjasema bado, mpaka mseme
 
unaweweseka gentleman?
relax bana ila ndio hivyo tena kibaka na tapeli wa siasa Chadema anatafuna pesa za chama kifisadi kwa anasa na matumizi binafsi, halafu anakuja kupiga mayowe kwenye vyombo vya habari eti hakuna pesa ndani ya chama,

Infact its true kwasabb kazikomba zote na hana namna yoyote ispokua kukacha uchaguzi kisayansi na no reform no elections 🐒
 
Kwa sasa wana mgogoro mkubwa ndani yao ndo maana hali inakuwa hivyo. Tuwaombee wafike uchaguzi mkuu bila mpasuko mkubwa kati yao. Kuna makundi ya Mbowe na Lissu yako vitani.... wanavurugana mno kwa sasa.
 
Chadema inapitia kipindi kigumu zaidi cha ukata wa pesa za kuendeshea taasisi hiyo tangu kuanzishwa kwake, na sasa iko njia panda kushiriki uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, kwasababu hakuna fedha za kuendeshea chama, lakini mbaya zaidi Chadema haina kabisa fedha kwajili ya kufadhili kampeni za mgombea urais, wagombea ubunge na udiwani wa chama hicho, kama ambavyo waliahidiwa kupigwa tafu ya kiuchumi na uongozi mpya wa chama hicho.

Kuna kila dalili za ufisadi wa kiwango cha juu sana ndani ya chadema, chini ya uongozi mpya ambao umaghubikwa matumizi mabaya zaidi ya anasa ya pesa za chama kama ambayo, matanuzi na retreat ya gharama ya juu sana na ya kifahari zaidi iliyofanyika bagamoyo majuzi.

Ni wazi sasa kumbe no reform no elections ni kisingizio tu na mbinu ya kisayansi ya kukimbia uchaguzi, Lakini pia ni kichaka cha kukwepa na kuficha aibu na fedheha kwa kwa uongozi mpya wa chama hicho kushindwa uongozi mapema na kutokua na uwezo kabisa wa kiuchumi wa kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria nchini utakao fanyika October mwaka huu 2025.🐒

Mungu ibariki Tanzania
Ni sahihi wao kuto kuwa na pesa maana hawaibi chochote cha umma kwa maslahi ya chama na wala hawaja jimilikisha mali yeyote ya umma kwa maslahi ya chama hivyo wao kuto kuwa na fedha wala hatushangai kuliko CCM inayo jitaoa na fedha za wizi zinanzo tokana na dhuruma mlio ifanya kujimilikisha mali za umma na kuchota fedha za umma kwa matumizi ya chama
 
Hamjasema bado, mpaka mseme
Yes,
gentleman, kusema ukweli hapachoshi kabisa.

kibaka na tapeli wa siasa ndani ya chadema anajarbu kutoa majeshi uwanjani kisayansi kwa kutumia no reform no elections ili kukwepa fedheha ya kushindwa uchaguzi vibaya sana 🐒
 
Back
Top Bottom