Japhet gombe
JF-Expert Member
- May 9, 2016
- 556
- 623
Mbona hizo nyingi sanaHii nilishasema CDM hawana fedha mpaka leo wana Tsh 2,450,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hizo nyingi sanaHii nilishasema CDM hawana fedha mpaka leo wana Tsh 2,450,000
Alichokikuta kinatisha, hakielezekiMwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Nisiwadanganye, tunahitaji fedha kwenye Chama za kufanyia shughuli. Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama, wiki ijayo nimeambiwa tutafanya huo utaratibu wa namna ya kupata fedha za Chama. Msiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa zuri sana"
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Kwani Mbowe yeye wakati anaingia alikuta nini, alianzisha mwenyewe mipango yakupata fedha na kuendesha chama na alikiendesha kwa ufanisi mkubwa sana Tatizo tu alilofanya nikushindwa kuweka misingi na mikakati madhubuti ya kukiingizia chama fedha. Matumizi makubwa ya fedha yasiyo na sababu kama vile chama kina fedha nyingi, mishagara mikubwa na posho kwa vijifedha vidogo vya Ruzuki. Tundu Lisu anapaswa asifuate nyao za mtangulizi wake kwenye matumizi mabovu ya fedha. Bado miezi nane tu na fedha ya ruzuku itakata wanatakiwa mpaka ikifika mwezi wa kumi wawe wamejipanga kisawa sawa la sivyo hata taa za makao makuu zitazima.Alichokikuta kinatisha, hakielezeki
Chopa ilimsaidia Mbowe pekeeTutaona kwenye Kampeni za mwaka huu akirusha chopa..
Blalfu
Gentleman,Kwani kushiriki Uchaguzi mkuu ni Bei gani?
yaani wewe ni kibaka na tapeli wa kisiasa,Njia nzuri sana katika medani za kivita kumuhakikishia adui kuwa wewe u dhaifu. Ukifanikiwa kumuahadaa adui na yeye aka ku "underrate" basi tegemea katika uwanja wa mapambano mjivuni kupata 'an immense surprise"
Hiyo wanaweza kupewa na Tajiri mmoja tu Mkinga hapo Kariakoo 😀Gentleman,
kwa mujibu wa sheria, ukomo wa gharama za uchaguzi kwa vyama vya siasa ni billion 17🐒
Gentleman,Hiyo wanaweza kupewa na Tajiri mmoja tu Mkinga hapo Kariakoo 😀
ndio hivyo tena,Duh aiseee
Hamjasema bado, mpaka msemeChadema inapitia kipindi kigumu zaidi cha ukata wa pesa za kuendeshea taasisi hiyo tangu kuanzishwa kwake, na sasa iko njia panda kushiriki uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, kwasababu hakuna fedha za kuendeshea chama, lakini mbaya zaidi Chadema haina kabisa fedha kwajili ya kufadhili kampeni za mgombea urais, wagombea ubunge na udiwani wa chama hicho, kama ambavyo waliahidiwa kupigwa tafu ya kiuchumi na uongozi mpya wa chama hicho.
Kuna kila dalili za ufisadi wa kiwango cha juu sana ndani ya chadema, chini ya uongozi mpya ambao umaghubikwa matumizi mabaya zaidi ya anasa ya pesa za chama kama ambayo, matanuzi na retreat ya gharama ya juu sana na ya kifahari zaidi iliyofanyika bagamoyo majuzi.
Ni wazi sasa kumbe no reform no elections ni kisingizio tu na mbinu ya kisayansi ya kukimbia uchaguzi, Lakini pia ni kichaka cha kukwepa na kuficha aibu na fedheha kwa kwa uongozi mpya wa chama hicho kushindwa uongozi mapema na kutokua na uwezo kabisa wa kiuchumi wa kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria nchini utakao fanyika October mwaka huu 2025.🐒
Mungu ibariki Tanzania
unaweweseka gentleman?Sasa ndio heading ya herufi kubwa? Unatufokea? Ya chadema waachie wao utapasuka kichwa buuuure
Ni sahihi wao kuto kuwa na pesa maana hawaibi chochote cha umma kwa maslahi ya chama na wala hawaja jimilikisha mali yeyote ya umma kwa maslahi ya chama hivyo wao kuto kuwa na fedha wala hatushangai kuliko CCM inayo jitaoa na fedha za wizi zinanzo tokana na dhuruma mlio ifanya kujimilikisha mali za umma na kuchota fedha za umma kwa matumizi ya chamaChadema inapitia kipindi kigumu zaidi cha ukata wa pesa za kuendeshea taasisi hiyo tangu kuanzishwa kwake, na sasa iko njia panda kushiriki uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, kwasababu hakuna fedha za kuendeshea chama, lakini mbaya zaidi Chadema haina kabisa fedha kwajili ya kufadhili kampeni za mgombea urais, wagombea ubunge na udiwani wa chama hicho, kama ambavyo waliahidiwa kupigwa tafu ya kiuchumi na uongozi mpya wa chama hicho.
Kuna kila dalili za ufisadi wa kiwango cha juu sana ndani ya chadema, chini ya uongozi mpya ambao umaghubikwa matumizi mabaya zaidi ya anasa ya pesa za chama kama ambayo, matanuzi na retreat ya gharama ya juu sana na ya kifahari zaidi iliyofanyika bagamoyo majuzi.
Ni wazi sasa kumbe no reform no elections ni kisingizio tu na mbinu ya kisayansi ya kukimbia uchaguzi, Lakini pia ni kichaka cha kukwepa na kuficha aibu na fedheha kwa kwa uongozi mpya wa chama hicho kushindwa uongozi mapema na kutokua na uwezo kabisa wa kiuchumi wa kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria nchini utakao fanyika October mwaka huu 2025.🐒
Mungu ibariki Tanzania
Yes,Hamjasema bado, mpaka mseme