Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Uwezo wa watu wengi humu ni mdogo ssna, nani kakuambia kazi ya mwenyekiti ni kutafuta hela?SURE, HE IS RIGHT! SASA 100,000,000 KWA MWEZI RUZUKU UTAKUTA NINI, HELA NDOGO HIYO KWA MATUMIZI YA KILA SIKU KWA CHAMA KIKUBWA.
SASA ATAFUTE PESA, NDIYO KAZI YAKE KUU, SIYO KUTAFUTA ESCAPE ROOT ETI NILIPIGWA RISASI! MPUUZI HUYO MKUBWA!
Jamaa jinga sana hili.Huwezi kupata uteuzi kwa kuonesha ujinga ulionao.
Unaweka nyuzi kila wakati lakini zimejaa umbeya na upumbavu tupu.
Hupati uteuzi ng'o.
Nasikia uko unabubujikwa machozi?Aache kutupigia makelele yake hapa. Naye atafute pesa zake za kuendeshea chama. Si aliona ni rahisi kuendesha chama? Hafahamu kuwa Mwamba alikuwa amejitoa na kujitolea kwa hali na mali kwa ajili ya CHADEMA? Na bado ipo siku atasema chama kimemshinda kukiendesha. Nipo pale πnimekaa naangalia mwisho wake
Umeandika maviTulisema hapa. Lissu Hana haiba wa uwezo wa uwa Mwenyekiti Tukabezwa.
Mimi ni Chadema na nasapoti Chadema ila Lissu hafai kwenye uenyekiti.
Unang'ang'ania Kuuoa hujui mke utamlisha nini. Kumbavu.
Inaweza kurelate....
Kwenye Kijiji Fulani mtoto alimwambia Mama yake anataka kuolewa na kijana Fulani, Mama akamwambia Baba. Mzee kuambiwa akakataa katakata huyu Kijana hawezi kumwoa Binti yake.
Mama akanuna na binti akatishia kunywa sumu basi mzee akaruhusu lakini akatoa onyo, Binti ukiolewa hakuna kuachana na usirudi hapa nyumbani.
Ndoa chap sana ya kiislamu, Binti akaenda kwa Mume kwa furaha zote.
Wiki moja nyingi Binti akarudi analia, Mzee akamwambia Make wake , kamsikilize huyo mpuuzi.
Binti akamwambia Mama yake ndoa hawezi jamaa ana miguu mitatu. Tango kubwa mno hawezi himili mikiki mikiki.
Mama anarudi kwa Mzee anamwelezea , Mzee anacheka huku ana hasira za kutokusikilizwa mwanzo akamwambia si niliwaambia asiolewe na huyo kijana mkakataa!?? Arudi kwa Mumewe haraka sana sikai na mke wa mtu Mimi.
Kumbe pale kijijini wanaume wanaoga mtoni na Mzee alishamwona huyo kijana akioga ziwani π€£ππ€£π€£π na wazee kibao walishaapa huyo kijana haoi kwanguππ€£ππ€£
Sasa lissu komaa.. ulidhani ukiwa mwenyekiti hela zinakuja tuu...
Kwakweli nyie ni CHADEMA kindakindaki. Big up sana wakuu π Mnakipaisha chama chenu vibaya mnoo. Mmefanya hata mimi sasa natamani kujiunga CHADEMA.Sisi Ndio tunawatumia chochote Chadema
Kama amekwisha sema pesa zilikua zinatumika vibaya inawezekana vipi sasa azikute hizo pesa.si alisema pesa zinatumika vibaya, nae ataweka vizuri matumizi ya pesa za chama?
ziko wap hizo pesa sasa gentleman?π
kwahiyo kutumia milioni 65 kufanya retreat ya kifahari kwa viongozi wapya wasiozidi 20 na viburidisho vyao na kulipana mamilioni ya posho bagamoyo ndio matumizi mazuri ya pesa gentleman, right?πKama amekwisha sema pesa zilikua zinatumika vibaya inawezekana vipi sasa azikute hizo pesa.
Akili kama zako ni hasara kwa hili taifa. CHAWA.
We umejiridhisha vipi kama ni ukweliπ€¨π€¨Sikupingi bro lissu mi nitachangia
Napenda watu wakweli
Sasa anakuwa mwenyekiti wa nini sasa?kuongoza vikao au?Uwezo wa watu wengi humu ni mdogo ssna, nani kakuambia kazi ya mwenyekiti ni kutafuta hela?
House boy wenu alikuwa Sony Chiba? πΌKwahiyo kibaka ni kanisa moja takatifu katoliki la mitume right gentleman? π
Unaambiwa yuko allegic na michangoLisu Amekuwa Kiongozi mwandamizi wa chama kwa miaka 20. Nini ulikuwa mchango wake kuiimarisha chama kifedha?
ila homeboy anaomba omba sana kuchangiwa pesa,House boy wenu alikuwa Sony Chiba? πΌ
Japo umejitetea kwenye kuoga,ila Mimi bado nawaza upuuzi kuhusu huyo mzeeπ€π€,kwanini aoge na kijanaπ‘π‘Tulisema hapa. Lissu Hana haiba wa uwezo wa uwa Mwenyekiti Tukabezwa.
Mimi ni Chadema na nasapoti Chadema ila Lissu hafai kwenye uenyekiti.
Unang'ang'ania Kuuoa hujui mke utamlisha nini. Kumbavu.
Inaweza kurelate....
Kwenye Kijiji Fulani mtoto alimwambia Mama yake anataka kuolewa na kijana Fulani, Mama akamwambia Baba. Mzee kuambiwa akakataa katakata huyu Kijana hawezi kumwoa Binti yake.
Mama akanuna na binti akatishia kunywa sumu basi mzee akaruhusu lakini akatoa onyo, Binti ukiolewa hakuna kuachana na usirudi hapa nyumbani.
Ndoa chap sana ya kiislamu, Binti akaenda kwa Mume kwa furaha zote.
Wiki moja nyingi Binti akarudi analia, Mzee akamwambia Mke wake , kamsikilize huyo mpuuzi.
Binti akamwambia Mama yake ndoa hawezi jamaa ana miguu mitatu. Tango kubwa mno hawezi himili mikiki mikiki.
Mama anarudi kwa Mzee anamwelezea , Mzee anacheka huku ana hasira za kutokusikilizwa mwanzo akamwambia si niliwaambia asiolewe na huyo kijana mkakataa!?? Arudi kwa Mumewe haraka sana sikai na mke wa mtu Mimi.
Kumbe pale kijijini wanaume wanaoga mtoni na Mzee alishamwona huyo kijana akioga ziwani π€£ππ€£π€£π na wazee kibao walishaapa huyo kijana haoi kwanguππ€£ππ€£
Sasa lissu komaa.. ulidhani ukiwa mwenyekiti hela zinakuja tuu...
Mimi nilijiunga Chadema 1993 pale Tours kwa Mzee Ndesamburo Kisutu Majamatini πKwakweli nyie ni CHADEMA kindakindaki. Big up sana wakuu π Mnakipaisha chama chenu vibaya mnoo. Mmefanya hata mimi sasa natamani kujiunga CHADEMA.
Wewe alikuomba Nini na kukuachia hayo maumivu? πila homeboy anaomba omba sana kuchangiwa pesa,
anaaibisha watuu wa singinda na familia yake kichizi π
Ukikaa naye kidogo tu au kumzoea kidogo tu asipokuomba pesa sio Lisu itakuwa photocopyila homeboy anaomba omba sana kuchangiwa pesa,
anaaibisha watuu wa singinda na familia yake kichizi π
Hivi hii kazi inakulipa sana ww na koo yako?kwahiyo kutumia milioni 65 kufanya retreat ya kifahari kwa viongozi wapya wasiozidi 20 na viburidisho vyao na kulipana mamilioni ya posho bagamoyo ndio matumizi mazuri ya pesa gentleman,