Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
SURE, HE IS RIGHT! SASA 100,000,000 KWA MWEZI RUZUKU UTAKUTA NINI, HELA NDOGO HIYO KWA MATUMIZI YA KILA SIKU KWA CHAMA KIKUBWA.
SASA ATAFUTE PESA, NDIYO KAZI YAKE KUU, SIYO KUTAFUTA ESCAPE ROOT ETI NILIPIGWA RISASI! MPUUZI HUYO MKUBWA!
Uwezo wa watu wengi humu ni mdogo ssna, nani kakuambia kazi ya mwenyekiti ni kutafuta hela?
 
Tulisema hapa. Lissu Hana haiba wa uwezo wa uwa Mwenyekiti Tukabezwa.
Mimi ni Chadema na nasapoti Chadema ila Lissu hafai kwenye uenyekiti.
Unang'ang'ania Kuuoa hujui mke utamlisha nini. Kumbavu.

Inaweza kurelate....

Kwenye Kijiji Fulani mtoto alimwambia Mama yake anataka kuolewa na kijana Fulani, Mama akamwambia Baba. Mzee kuambiwa akakataa katakata huyu Kijana hawezi kumwoa Binti yake.

Mama akanuna na binti akatishia kunywa sumu basi mzee akaruhusu lakini akatoa onyo, Binti ukiolewa hakuna kuachana na usirudi hapa nyumbani.

Ndoa chap sana ya kiislamu, Binti akaenda kwa Mume kwa furaha zote.

Wiki moja nyingi Binti akarudi analia, Mzee akamwambia Mke wake , kamsikilize huyo mpuuzi.

Binti akamwambia Mama yake ndoa hawezi jamaa ana miguu mitatu. Tango kubwa mno hawezi himili mikiki mikiki.

Mama anarudi kwa Mzee anamwelezea , Mzee anacheka huku ana hasira za kutokusikilizwa mwanzo akamwambia si niliwaambia asiolewe na huyo kijana mkakataa!?? Arudi kwa Mumewe haraka sana sikai na mke wa mtu Mimi.

Kumbe pale kijijini wanaume wanaoga mtoni na Mzee alishamwona huyo kijana akioga ziwani 🤣😂🤣🤣😂 na wazee kibao walishaapa huyo kijana haoi kwangu😂🤣😂🤣

Sasa lissu komaa.. ulidhani ukiwa mwenyekiti hela zinakuja tuu...
 
Aache kutupigia makelele yake hapa. Naye atafute pesa zake za kuendeshea chama. Si aliona ni rahisi kuendesha chama? Hafahamu kuwa Mwamba alikuwa amejitoa na kujitolea kwa hali na mali kwa ajili ya CHADEMA? Na bado ipo siku atasema chama kimemshinda kukiendesha. Nipo pale 👉nimekaa naangalia mwisho wake
Nasikia uko unabubujikwa machozi?
 
Tulisema hapa. Lissu Hana haiba wa uwezo wa uwa Mwenyekiti Tukabezwa.
Mimi ni Chadema na nasapoti Chadema ila Lissu hafai kwenye uenyekiti.
Unang'ang'ania Kuuoa hujui mke utamlisha nini. Kumbavu.

Inaweza kurelate....

Kwenye Kijiji Fulani mtoto alimwambia Mama yake anataka kuolewa na kijana Fulani, Mama akamwambia Baba. Mzee kuambiwa akakataa katakata huyu Kijana hawezi kumwoa Binti yake.

Mama akanuna na binti akatishia kunywa sumu basi mzee akaruhusu lakini akatoa onyo, Binti ukiolewa hakuna kuachana na usirudi hapa nyumbani.

Ndoa chap sana ya kiislamu, Binti akaenda kwa Mume kwa furaha zote.

Wiki moja nyingi Binti akarudi analia, Mzee akamwambia Make wake , kamsikilize huyo mpuuzi.

Binti akamwambia Mama yake ndoa hawezi jamaa ana miguu mitatu. Tango kubwa mno hawezi himili mikiki mikiki.

Mama anarudi kwa Mzee anamwelezea , Mzee anacheka huku ana hasira za kutokusikilizwa mwanzo akamwambia si niliwaambia asiolewe na huyo kijana mkakataa!?? Arudi kwa Mumewe haraka sana sikai na mke wa mtu Mimi.

Kumbe pale kijijini wanaume wanaoga mtoni na Mzee alishamwona huyo kijana akioga ziwani 🤣😂🤣🤣😂 na wazee kibao walishaapa huyo kijana haoi kwangu😂🤣😂🤣

Sasa lissu komaa.. ulidhani ukiwa mwenyekiti hela zinakuja tuu...
Umeandika mavi
 
si alisema pesa zinatumika vibaya, nae ataweka vizuri matumizi ya pesa za chama?

ziko wap hizo pesa sasa gentleman?🐒
Kama amekwisha sema pesa zilikua zinatumika vibaya inawezekana vipi sasa azikute hizo pesa.

Akili kama zako ni hasara kwa hili taifa. CHAWA.
 
Sasa chama kingekuwa na pesa wangechangishana mchango wa kufanya mkutano Mkuu?

Amekuwa Kiongozi mwandamizi wa chama kwa miaka 20. Nini ulikuwa mchango wake kuiimarisha chama kifedha?
 
Kama amekwisha sema pesa zilikua zinatumika vibaya inawezekana vipi sasa azikute hizo pesa.

Akili kama zako ni hasara kwa hili taifa. CHAWA.
kwahiyo kutumia milioni 65 kufanya retreat ya kifahari kwa viongozi wapya wasiozidi 20 na viburidisho vyao na kulipana mamilioni ya posho bagamoyo ndio matumizi mazuri ya pesa gentleman, right?🐒
 
Lisu Amekuwa Kiongozi mwandamizi wa chama kwa miaka 20. Nini ulikuwa mchango wake kuiimarisha chama kifedha?
Unaambiwa yuko allegic na michango
Hajawahi changa hata ikiitishwa

Kifedha michango yake kwa chama ni zero

Hutaka wengine wachange yeye atumie

Ndio zake Lisu hizo
 
Tulisema hapa. Lissu Hana haiba wa uwezo wa uwa Mwenyekiti Tukabezwa.
Mimi ni Chadema na nasapoti Chadema ila Lissu hafai kwenye uenyekiti.
Unang'ang'ania Kuuoa hujui mke utamlisha nini. Kumbavu.

Inaweza kurelate....

Kwenye Kijiji Fulani mtoto alimwambia Mama yake anataka kuolewa na kijana Fulani, Mama akamwambia Baba. Mzee kuambiwa akakataa katakata huyu Kijana hawezi kumwoa Binti yake.

Mama akanuna na binti akatishia kunywa sumu basi mzee akaruhusu lakini akatoa onyo, Binti ukiolewa hakuna kuachana na usirudi hapa nyumbani.

Ndoa chap sana ya kiislamu, Binti akaenda kwa Mume kwa furaha zote.

Wiki moja nyingi Binti akarudi analia, Mzee akamwambia Mke wake , kamsikilize huyo mpuuzi.

Binti akamwambia Mama yake ndoa hawezi jamaa ana miguu mitatu. Tango kubwa mno hawezi himili mikiki mikiki.

Mama anarudi kwa Mzee anamwelezea , Mzee anacheka huku ana hasira za kutokusikilizwa mwanzo akamwambia si niliwaambia asiolewe na huyo kijana mkakataa!?? Arudi kwa Mumewe haraka sana sikai na mke wa mtu Mimi.

Kumbe pale kijijini wanaume wanaoga mtoni na Mzee alishamwona huyo kijana akioga ziwani 🤣😂🤣🤣😂 na wazee kibao walishaapa huyo kijana haoi kwangu😂🤣😂🤣

Sasa lissu komaa.. ulidhani ukiwa mwenyekiti hela zinakuja tuu...
Japo umejitetea kwenye kuoga,ila Mimi bado nawaza upuuzi kuhusu huyo mzee🤔🤔,kwanini aoge na kijana😡😡
 
Kwakweli nyie ni CHADEMA kindakindaki. Big up sana wakuu 👍 Mnakipaisha chama chenu vibaya mnoo. Mmefanya hata mimi sasa natamani kujiunga CHADEMA.
Mimi nilijiunga Chadema 1993 pale Tours kwa Mzee Ndesamburo Kisutu Majamatini 😄
 
Tatizo la Tundu Lissu ni moja tu, kupenda sana kucheza blame game.
 
ila homeboy anaomba omba sana kuchangiwa pesa,

anaaibisha watuu wa singinda na familia yake kichizi 🐒
Ukikaa naye kidogo tu au kumzoea kidogo tu asipokuomba pesa sio Lisu itakuwa photocopy

Ukimpa namba yakoya simu jiandae kuombwa hela
 
kwahiyo kutumia milioni 65 kufanya retreat ya kifahari kwa viongozi wapya wasiozidi 20 na viburidisho vyao na kulipana mamilioni ya posho bagamoyo ndio matumizi mazuri ya pesa gentleman,
Hivi hii kazi inakulipa sana ww na koo yako?
 
Back
Top Bottom