Tulisema hapa. Lissu Hana haiba wa uwezo wa uwa Mwenyekiti Tukabezwa.
Mimi ni Chadema na nasapoti Chadema ila Lissu hafai kwenye uenyekiti.
Unang'ang'ania Kuuoa hujui mke utamlisha nini. Kumbavu.
Inaweza kurelate....
Kwenye Kijiji Fulani mtoto alimwambia Mama yake anataka kuolewa na kijana Fulani, Mama akamwambia Baba. Mzee kuambiwa akakataa katakata huyu Kijana hawezi kumwoa Binti yake.
Mama akanuna na binti akatishia kunywa sumu basi mzee akaruhusu lakini akatoa onyo, Binti ukiolewa hakuna kuachana na usirudi hapa nyumbani.
Ndoa chap sana ya kiislamu, Binti akaenda kwa Mume kwa furaha zote.
Wiki moja nyingi Binti akarudi analia, Mzee akamwambia Make wake , kamsikilize huyo mpuuzi.
Binti akamwambia Mama yake ndoa hawezi jamaa ana miguu mitatu. Tango kubwa mno hawezi himili mikiki mikiki.
Mama anarudi kwa Mzee anamwelezea , Mzee anacheka huku ana hasira za kutokusikilizwa mwanzo akamwambia si niliwaambia asiolewe na huyo kijana mkakataa!?? Arudi kwa Mumewe haraka sana sikai na mke wa mtu Mimi.
Kumbe pale kijijini wanaume wanaoga mtoni na Mzee alishamwona huyo kijana akioga ziwani 🤣😂🤣🤣😂 na wazee kibao walishaapa huyo kijana haoi kwangu😂🤣😂🤣
Sasa lissu komaa.. ulidhani ukiwa mwenyekiti hela zinakuja tuu...