Anataka kuwa clear kwamba kakikuta chama hakina hela, asije kuangushiwa jumba bovu yeye kwamba yeye ndiye kaiba.Lisu ana shida kama ya JPM. Hajui nini cha kuongea hadharani na kipi cha kuongea kwenye vikao vyao vya ndani. Atapoteza watu kwa hii style yake ya kuongea bila break. Asifikiri watu wanaipenda sana chadema. Ni vile hakuna chama mbadala kwa sasa wa kupambana na ccm.
Laiti wagombea binafsi wangekuwa wanaruhusiwa, ccm na chadema vingebaki na ofisi bila watu.
CHADEMA sio Chama cha Kikabila ni Chama cha Kitaifa kama kuna Wachaga ambao wameamua kutichangia Chama basi na waache sisi tunaingia kazini.Wewe ni mtu smart na sitegemei ukaipuuza hoja kwa kuwa nimeitoa mimi UVCCM...
Mkuu fanya "analysis" yako pale Kariakoo.....utawajua wale Mangi ambao wamegoma kuendelea kukichangia chama chenu......
Kama hutaki kutuambia ulichokikuta ñ sisi hatuchangi.Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Nisiwadanganye, tunahitaji fedha kwenye Chama za kufanyia shughuli. Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama, wiki ijayo nimeambiwa tutafanya huo utaratibu wa namna ya kupata fedha za Chama. Msiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa zuri sana"
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Ndio tatizo la kuzoea siasa za maji taka.Daima tutamkumbuka Mhe. MBOWE. alijitoa kwa hali na mali kuendesha shughuli za chama.
Sasa mtoto akililia wembe mpe....
Nakumbuka Wakati TANU inazaliwa pale Mwananyamala A kwa mzee Mwinjuma ilikuwa haina hata cent Moja...chama kinakwenda kumfia....
Cdm hawataki hela za wauza unga.Ndani ya miaka 5 iliyopita mh.Katibu Mkuu wa. cHADEMA ndg.John Mnyika amesema kuwa walipata RUZUKU bilioni 12.5....yaani hizi zote zilitumika na kuisha ?!!!
TL aelewe kuwa kazi ya kuuona ufukara wa CHADEMA ndio imeanza hivyo kwani wale wafanyabiashara "piga ua CDM" pale kariakoo wamejiapiza kuwa hawatatoa tena michango yao kwa mwenyekiti wa CDM ambaye ni "wa kuja na asiyeamini katika GENERAL OBJECTIVES za kuanzishwa chama hicho ".
Ni muda wa kuendelea kusikilizia maumivu ya UKATA wa kutisha hapo viungani CHADEMA ...
Unalinganisha 1954 na 2025?.Mzee wakati mwingine ngojea mpaka asubuhi ndio u comment.With due respect.Nakumbuka Wakati TANU inazaliwa pale Mwananyamala A kwa mzee Mwinjuma ilikuwa haina hata cent Moja
Chadema imezaliwa Upya Fedha siyo kikwazo Cha wao kuwa Imara zaidi 😄
....nanyi mmeshiriki katika ",culprit"...siku zote mlikuwa wapi kulisema hilo?!!Cdm hawataki hela za wauza unga.
Hakuna kupatanishana mahali unafanywa boya. Hayo mapatano ya kipuuzi hayana nafasi tena.Lissu ni mtu mlalamishi sana, hupenda kuwaangushia wenzake jumba bovu. Ni kiongozi martini na si mpatanishi.
Pesa za chama zilikuwa za mtu, ama hujui unaongea nini?Aache kutupigia makelele yake hapa. Naye atafute pesa zake za kuendeshea chama. Si aliona ni rahisi kuendesha chama? Hafahamu kuwa Mwamba alikuwa amejitoa na kujitolea kwa hali na mali kwa ajili ya CHADEMA? Na bado ipo siku atasema chama kimemshinda kukiendesha. Nipo pale 👉nimekaa naangalia mwisho wake
Hela nimeshachanga kwenye NIMO.
65m, ndio ufanye retreat ya kifahari? Unajua unaongea nini kweli?relax kwa utulivu gentleman,
Chadema inapitia ukata wa kiwango kibaya sana baada ya retreat ya kifahari sana kwa viongoz wapya, ya gharama zaidi ya milioni 65 bagamoyo,
Inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise 🐒
Siasa ni zile zile Bwashee 😂Unalinganisha 1954 na 2025?.Mzee wakati mwingine ngojea mpaka asubuhi ndio u comment.With due respect.