Kuna dalili za ufisadi, Lissu amekwapua fedha ya chamaunatuhumuje watu kua na matumizi ya pesa za chama hali ya kua hakuna hizo pesa?
watu walikua wanajitolea pesa zao mfukoni wewe unadai wanatumia pesa vibaya.
haya,
chama hicho hapo, wewe ndiyo kiongozi, panga basi matumizi mazuri ya chama.
Yaani kufanya retreat mbili tu dar na bagamoyo account ya chama inasoma zero?🤣
Mbowe alijitoa Kwa HALI na MALI ,Lissu. anaweza kujitoa Kwa HALI na HARAKATI.Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Nisiwadanganye, tunahitaji fedha kwenye Chama za kufanyia shughuli. Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama, wiki ijayo nimeambiwa tutafanya huo utaratibu wa namna ya kupata fedha za Chama. Msiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa zuri sana"
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Hao so called wafanya biashara walipiga kura? Lissu si wakuja amekuwepo humo ndani for waaaaay long, ame suffer nusura apoteze uhai halaf unaita wakuja? Have some respectNdani ya miaka 5 iliyopita mh.Katibu Mkuu wa. cHADEMA ndg.John Mnyika amesema kuwa walipata RUZUKU bilioni 12.5....yaani hizi zote zilitumika na kuisha ?!!!
TL aelewe kuwa kazi ya kuuona ufukara wa CHADEMA ndio imeanza hivyo kwani wale wafanyabiashara "piga ua CDM" pale kariakoo wamejiapiza kuwa hawatatoa tena michango yao kwa mwenyekiti wa CDM ambaye ni "wa kuja na asiyeamini katika GENERAL OBJECTIVES za kuanzishwa chama hicho ".
Ni muda wa kuendelea kusikilizia maumivu ya UKATA wa kutisha hapo viungani CHADEMA ...
Kwa hiyo ulitaka Mbowe ndo awe tegemeo siku zote? Ujinga wa hali ya juu! Mwanzo mgumu hata mimi nitachangia na niloshachangia pia!Maji ya shingo....
Ni rahisi sana ukiwa jukwaani kumzodoa mnenguaji kuwa haendi sambamba na miondoko ya ngoma.....
Kumbe ndiyo maana Mbowe alikuwa hataki kuachia madaraka akiogopa kufichuliwa maovu yake. Jamaa alikuwa mwizi mno.Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Nisiwadanganye, tunahitaji fedha kwenye Chama za kufanyia shughuli. Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama, wiki ijayo nimeambiwa tutafanya huo utaratibu wa namna ya kupata fedha za Chama. Msiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa zuri sana"
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Kiwango chenu ni cha kuchangia mawazo tu, hamna pesa, wauza alizeti tangu lini wana pesaTutachangia
Wakongwe kama wewe hawapaswi kuongea hivyo. Uongozi wa Mbowe uliweka wazi kuwa hakuna hela, na hata Mkutano Mkuu wa Uchaguzi, wajumbe wa Kamati Kuu waligawana viwango vya fedha vya kutafuta kwa marafiki zao, hata Lissu aligawiwa ingawa hakuchangisha.MBOWE ana kinyongo
Kila unayemuona humu anayemuunga mkono Lissu unafikiri ni muuza alizeti. Wewe yaonyesha hata ajira huna.Kiwango chenu ni cha kuchangia mawazo tu, hamna pesa, wauza alizeti tangu lini wana pesa
Chama hakiwezi kumshinda kwa sababu hiki chama kina rasilimali watu wengi sana bado tu hajajipanga akisha jipanga fedha ni nyingi sana CDM.Pia harakati zilizo hazishwa na chama za no reform no election pia zimewatisha kidogo watu ambao tayari walikuwa na mipango yakugombea nafasi mbali mbali ambao asilimia kubwa ndiyo wachangiaji wa chama,Ila akisha weka mikakati tu ya Chama kitapaata fedha, fedha zitamimiminika kwa wingi. Kama ni fedha tu kama fedha hata CCM wapo tayari kuwapa ila kwa masharti kama yaliyokuwa mwanza kuwa wasifanye harakati zozote za kweli kama vilivyo vyama vingine. CDM ya Tundulisi siyo Chama cha kununuliwa kirahisi na asipofanikiwa yeye tujue watanzania tutaendelea kuishi utumwani milele kwanni hakuna mtu mwingine yioyote ambaye atakuwa yupo tayari kujitolea kama Yeye. Fedha siyo tatizo CDM tatizo ni kuwa hizo fedha zinatoka wapii?Aache kutupigia makelele yake hapa. Naye atafute pesa zake za kuendeshea chama. Si aliona ni rahisi kuendesha chama? Hafahamu kuwa Mwamba alikuwa amejitoa na kujitolea kwa hali na mali kwa ajili ya CHADEMA? Na bado ipo siku atasema chama kimemshinda kukiendesha. Nipo pale 👉nimekaa naangalia mwisho wake
Alikuwa anaongea na wanachama wa Chadema sasa wapi amekupigia kelele wewe kapuku unayeishi kwa uchawa na kushibia makombo toka mezani kwa unaowasifia kutwa kucha.Aache kutupigia makelele yake hapa. Naye atafute pesa zake za kuendeshea chama. Si aliona ni rahisi kuendesha chama? Hafahamu kuwa Mwamba alikuwa amejitoa na kujitolea kwa hali na mali kwa ajili ya CHADEMA? Na bado ipo siku atasema chama kimemshinda kukiendesha. Nipo pale 👉nimekaa naangalia mwisho wake
Aliuza uñga akapata hizo hela.Lisu naye atoe uthibitisho kama hazikutumika milioni 65 na athibitishe kuwa hakukuta kitu alipoingia uenyekiti
Hizo pesa za retreat alitoa wapi ? Aeleze chanzo cha hizo pesa
MichangoKwahiyo tumsaidie nini?
AtajijuMBOWE ana kinyongo
Watu waelewe kuwa vyama vya upinza vyanzo vyake vikubwa vya fedha ni mifukoni mwa wanachama wake,,, hakuna mtu baki yoyote anaye weza akawapatia hizo fedha. Ndiyo maana inakuwa rahisi kununuliwa. CCM kinaogelea kwenye mabilioni ya walipa kodi kwakujilipa mabilioni ya ruzuku, huku vyama vya upinzani vikihongwa vijisenti ili vififishe mapambono yakudai haki. CDM wasikubali kurubuniwa ili kufifisha harakati,, za kutafuta tume huru na katiba mpya naona vyama vyote vimefyata mkia,vikiwa vinazengea viposho vya kuhongwa.Wakongwe kama wewe hawapaswi kuongea hivyo. Uongozi wa Mbowe uliweka wazi kuwa hakuna hela, na hata Mkutano Mkuu wa Uchaguzi, wajumbe wa Kamati Kuu waligawana viwango vya fedha vya kutafuta kwa marafiki zao, hata Lissu aligawiwa ingawa hakuchangisha.
Sasa kama Mkutano wa mwisho tu wa awamu iliyomalizika haukuwa na fedha za chama za maandalizi, Lissu hakutegemea kukuta akaunti haina kitu au na hata kuikuta na madeni?
Unasema Mbowe ana kinyongo, sasa hicho kinyongo ni kipi, hataki kuchangia chama au ni vipi?
Hii nilishasema CDM hawana fedha mpaka leo wana Tsh 2,450,000Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Nisiwadanganye, tunahitaji fedha kwenye Chama za kufanyia shughuli. Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama, wiki ijayo nimeambiwa tutafanya huo utaratibu wa namna ya kupata fedha za Chama. Msiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa zuri sana"
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Wewe kidampa wa mama Abdul ni hopeless kabisa,ulitaka Lissu adanganye kakuta empty cofers?Aache kutupigia makelele yake hapa. Naye atafute pesa zake za kuendeshea chama. Si aliona ni rahisi kuendesha chama? Hafahamu kuwa Mwamba alikuwa amejitoa na kujitolea kwa hali na mali kwa ajili ya CHADEMA? Na bado ipo siku atasema chama kimemshinda kukiendesha. Nipo pale 👉nimekaa naangalia mwisho wake
kuna uwezekano huo mkubwa sana 🐒Kuna dalili za ufisadi, Lissu amekwapua fedha ya chama