The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Wewe ni mjinga na ni mpumbavu kwa wakati mmoja..Wewe endelea kuropoka ropoka tu
Hii ndiyo sifa kuu uliyonayo (ya ujinga na upumbavu) na ni lazima uambiwe na ukemewe Ili roho ya shetani inayokusukuma kutetea umwagaji damu ikutoke, uokoke....
Hamwezi kuendelea kumwaga damu za watu halafu watu wanyamaze...
HAPANA...!!!!
This time ni turn yenu. Mipango hii ya uovu mnayopanga Ili kumlinnda mama yenu mwovu na CCM yake, itageuka kuwa mishale ya kuwaumiza na kuwaua wenyewe na watoto wenu, na familia zenu..
Mungu hataki tena kuona mnaendeleza roho ya uuaji mliyonayo. Mkono wa hukumu ya HAKI ya Bwana na uwe juu yenu...