Pre GE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hao wasaidizi wanaomwangusha kwa nini asiwachukulie hatua? Anadhani kuwastupidisha peke yake inatosha? Ajifunze kutoka kwa kikwete alivyokuwa anawachekeachekea matokeo yake serikali yake ikadoda na kugeuka kuwa genge la mafisadi tu.
Sijaona mahala ambapo Wasaidizi wanamwangusha badala yake Kwa sehemu kubwa wanafanya vizuri Kwa kislasi.kikubwa.

Pili Samia ndio kafunga wezi wengi Mahakamani,awamu ya 5 sijui wezi wapi walifungwa.Hao wezi na mafisadi wengi ni wanaiba wapi?

Mwisho mambo ambayo hampendi kuyasikia 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C2awHa1IMKX/?igsh=eDRjbTZ2Z3Bka3gw
 
Wacha porojo wewe, nani alikudqnganya Rais wa CCM ana Dirac yake?

Rais na serikali ya CCM ibaongizwa kwa sera walizoombea uchaguzi, cha kutazama wanatimiza hawatimizi?

Msituletee upoyoyo wenu hapa.
Wanaleta porojo za Jumla Jumla bila kuzithibitisha.

Mambo ambayo Suku gang Huwa Hawapendi kuyasikia ni kama haya 👇

View: https://twitter.com/AtoshaSamia/status/1748268177723703306?t=5uhoG8r8TGWaqWENJUSR8A&s=19
Wanadhani kura zinapatikana jf kwenye uzushi 😂😂
 
Mawazo yako ni mazuri mtoa mada,mama ana Nia Njema Kwa kias kikubwa wasaidizi wake wanamwangusha baadhi Yao,ila mama ni msikivu anasikia na kuyafanyia kazi
Wasaidizi wake wanamuangusha Kwa lipi hasa? Mbona in most cases wanafanya vizuri.

Yaani unazuzuliwa na hizo porojo hapo Juu za Jumla Jumla bila ushahidi?

Umewahi jiuliza wakati Mwendazake ana set mradi wa bwawa wa miaka 10 aliweka miradi mingine ya kuziba gap la demand ya umeme? Au mahitaji yatakuwa yanasubiria bwawa?

Sgr ni kipaombele Cha Wananchi? Uliwahi ona wapi Sgr inakuza uchumi wa mtu mmja mmja?
 
Ameamua kumwachia Makonda nchi!
 
Sijui bhana kama hanitawali kwangu Mungu atanisaidia
Ukiwa na akili za kitoto huwezi kuelewa kwamba anakutawala Hadi kwako. Mumeo ndo anaona jinsi anavyotawala maisha yenu maana ndo anatoa hela ya sukari nk.
Leo sukari sh 5000 kilo, huko ni kukutawala kiuchumi toka 2800 hadi 5000.
 
Ukiwa na akili za kitoto huwezi kuelewa kwamba anakutawala Hadi kwako. Mumeo ndo anaona jinsi anavyotawala maisha yenu maana ndo anatoa hela ya sukari nk.
Leo sukari sh 5000 kilo, huko ni kukutawala kiuchumi toka 2800 hadi 5000.
Hiyo bei ya sukari hata mwezi hauishi inashuka,na kumbuka kabla ya Magufuli sukari ilikuwa haisumbui na alipoingia yeye ndio ikaanza kusumbua,unajua sababu?
 
Acha ujinga. Jpm ndo alishindwa ndo mana maandamano yalikuwa hayaruhisiwi mana alikuwa hajiamini ila mama kwa kujiamini kwake ameona maandamano siyo issue. Jpm angeua mtu. Ukiona mtu anaongoza kwa vitisho Kuna tatizo hii ndo sychology inavyotufunisha
 
Wakndarasi hawajalipwa
Yani hili nalo tatizo kubwa kazi wanataka zifanyike tena wanakupiga pressure ya hali ya juu na vitisho juu kuwa watampa mtu mwingine kazi kimbembe ukija kwenye malipo utawekwa pending mpka ujute kiufupi kufanya kazi na serikali kwa sasa unahitaji kujiuliza mara mbili mbili maana malipo utasubiri sana foleni mafungu hayapo​
 
Basha wenu Magufuli si ndiye akiyesema mzae watoto atawasomesha elimu bure kwenye shule zenu za kata wewe gumegume au unajisahaulisha kwa makusaudi?
 
ha, ha, not
Sarcasm...!
 
Siasa na uswahili wa mdomoni ndio unajenga nchi ya kusadikika. , siku ukienda kuangalia maendeleo hayo ndio unakuta hewa, au umejengwa ukuta wa nje, ndani hakuna kitu.
 
CDF anaongea hivi yeye anasimama anaongea vile.....anawaza safari Tu akanunue magauni na viatu. Hongera Sana Mheshimiwa
Hivi alijibu hoja ya CDF, au alipuyanga tu na ya kwake kwamba jeshi lijiweke tayari na uchaguzi kana kwamba ni polisi hao.

Badala ya jeshi lijikite kwenye jukumu yake muhimu ya kulinda mipaka ya nchi, yeye anataka lijiweke tayari kupambana na sintofahamu za kumtangaza mshindi wa uchafuzi.​
 
KAZI ipo, CCM wanawaza chaguzi tu
 
Nama Samia anafanya vizuri saana ktk nafasi yake ya URAIS.
Yeye ni binadamu na mapungufu ni sifa ya binadamu.
Kwenye mpito kacheza kama Pele,Bwawa Mwalimu usiseme,misaada kabakaba,DP WORLD mambo mazuri,Royal Tour mbugani kumefurika watalii
Ni pamoja tu watu wengi wanakwazika,kumpa Makonda nafasi na pia watu wanawasiwasi wa Sabayo kupata nafasi tena.
 
Wacha porojo wewe, nani alikudqnganya Rais wa CCM ana Dirac yake?

Rais na serikali ya CCM wanaongozwa kwa sera walizoombea kura wakati wa uchaguzi, cha kutazama wanatimiza hawatimizi?

Msituletee upoyoyo wenu hapa.
Bibi kaa chini utulize TAKO ulee wajukuu. Acha kupayuka ovyo hapa mitandaoni bila hoja. Hivi huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
 
Hoja yako ni nini hapa mbona hieleweki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…