ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sijaona mahala ambapo Wasaidizi wanamwangusha badala yake Kwa sehemu kubwa wanafanya vizuri Kwa kislasi.kikubwa.Hao wasaidizi wanaomwangusha kwa nini asiwachukulie hatua? Anadhani kuwastupidisha peke yake inatosha? Ajifunze kutoka kwa kikwete alivyokuwa anawachekeachekea matokeo yake serikali yake ikadoda na kugeuka kuwa genge la mafisadi tu.
Pili Samia ndio kafunga wezi wengi Mahakamani,awamu ya 5 sijui wezi wapi walifungwa.Hao wezi na mafisadi wengi ni wanaiba wapi?
Mwisho mambo ambayo hampendi kuyasikia 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C2awHa1IMKX/?igsh=eDRjbTZ2Z3Bka3gw