Twitter kutoka kuwa mtandao wenye heshima mpaka kuwa mtandao wa ngono

Yes hili la kwenye comments saivi ndokero nimetoka kunywa chai twitter nimekuja huku jamii forum kuota jua

Nikiwa nasoma tweet ya mchambuzi mmoja nakutana na video kwenye comments. Siyo siri iliniyumbisha imani
 
Hata hapa JF sisi watumiaji ndio tunatengeza contents, mbona hatuoni video za ngono ukilinganisha na twitter?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Jf wangewaacha watu kuwa huru zaidi ya hapa ungekutana na ngono+++, humu moderation ya content inazingatiwa ndio maana unakuta haya mambo hayapo sana.

Hata huko fb ngono ipo, ni wewe tu kuchagua nini unataka kuona, ukilike, ukifollow pages za ngono unaletewa suggestions kibao za ngono. Chagua kile unatamani kuona/kusoma.
 
Hata kama haujafollow page za kijinga ila circle yako ndio imefollow hizo handle kwaiyo wewe ndio una watu wajinga mtandao hauna shida
 
Muda wa mm kufuatilia wao na waliowafollow sina na ni kukosa kazi za kuafanya na ni ujinga
Sasa wewe kwenye circle yako kuna mtu kamfollow watoto wamelala thread au utopolo unategemea usione maudhui ya porn? Chakufanya uwe una mute, block au kuunfollow wote wanaokua kwenye maudhui usiyoyapenda mfano Mimi nikikuta handle yoyote yenye viashiria vya CCM nafanya ivyo
 
Page za porn haziwezi kukutokea km hupendi kuangalia hayo madude...kuna algorithms zinazofuatialia things u like mitandaoni, from there zinaaanza kukuletea suggestion ya vitu inahisi you might like, based on your online activities.
Ni kweli unachosema ila kuna muda suggestions zao zinakera unakuta nikifungua page yangu wananiletea post za wanasiasa kama Zitto Kabwe na mimi sipenfi ila basi tu.
 
Page za porn haziwezi kukutokea km hupendi kuangalia hayo madude...kuna algorithms zinazofuatialia things u like mitandaoni, from there zinaaanza kukuletea suggestion ya vitu inahisi you might like, based on your online activities.
Labda sio mtuamiaji wa TL wewe hata Kama hujawai fuatilia ujinga ila "WATOTO WAMELALA THREAD" lazima ije kwenye Timeline yako unajifanya wewe ndio unajua Sana alogarithim
 
Yupo sahihi ukiwa unangalia mpira zinakuja za mpira tu ukiwa mtu wa kuchek matako yanakuja matako
Alogarithim hakuna asiyeijua ila kwa Twitter hata uwe ume follow makanisa tu unawafuatilia mapadri, biblia tu muda wote "WATOTO WAMELALA THREAD" na "HUYU KAFÀNYA NINI MBONA ANA TREND" lazima huzione kwenye timeline yako.
 
Hao jamaa wameamua kubisha tu, hizi contents zinatokea tu haijalishi umewahi kuzifungua au la.
 
Page za porn haziwezi kukutokea km hupendi kuangalia hayo madude...kuna algorithms zinazofuatialia things u like mitandaoni, from there zinaaanza kukuletea suggestion ya vitu inahisi you might like, based on your online activities.
Absolutely true!!
It is all about Caches and cookies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…