Uchunguzi; Watanzania wengi hujisaidia haja ndogo kwenye makopo usiku

Hii tabia ipo sana mikoani kutokana na watu kuhofia wanyama wakali usiku

Hii tabia ipo sana mikoani kutokana na watu kuhofia wanyama wakali usiku.
We unaongea ukiwa wilayani? Halafu mkija vijijini Krismasi na mwaka mpya njooni na tochi mwende nje wenyewe mambo ya kutusumbua kila wakati tuwasindikize nje tumechoka
 
Kutokana na ukosefu wa ajira vibaka wamekua wengi sana. Unapofungua mlango usiku kwenda kujisaidia wanakulia timing na wao wanaingia ndani.
Hii Robert hawezi kuipa jibu naona hapo juu amecheka tu, means amekubaliana na ithabati ya kukojoa kwenye ndoo au kidumu, πŸ˜„ ahahahaa...
 
Basi uswahilini kuna vichaa wengi
 
Mabobo ndio habari ya uswazi. Asubuhi mnapishana tu kumwaga kila mtu na bobo lake 🀣🀣🀣🀣🀣 na hakuna anayeona ajabu.
 
Mabobo ndio habari ya uswazi. Asubuhi mnapishana tu kumwaga kila mtu na bobo lake 🀣🀣🀣🀣🀣 na hakuna anayeona ajabu.

Mabobo ni neno wanalotumia zaidi watu kutoka Arusha na Kilimanjaro.

Siku nipo Morogoro nikasema nipe Hilo Bobo ati wakawa hawanielewi
 
We unaongea ukiwa wilayani? Halafu mkija vijijini Krismasi na mwaka mpya njooni na tochi mwende nje wenyewe mambo ya kutusumbua kila wakati tuwasindikize nje tumechoka
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚....sawa chifu.
 
Kutoka toka nje ni kero na hasa ukiwa kwenye ile shughuli yetu pendwa.
 
Unajua nilikua ninajiuliza wamachinga wanajisaidia wapi na nani anawalindia bidhaa zao wakifanya zoezi la kujisaidia!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…