Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Hili ni tamko lakini walishampiga Zitto chini muda mrefu.

Ni muda mrefu sasa Zitto hashirikishwi katika shughuli za chama. Hadhaminiwi kama naibu katibu mkuu.

.

Wacha kulialia ccm mkubwa wewe!
 
Makamanda sasa ni Muda wa Kujipanga kumalizia Ngwe iliyobakia - Kambi ya usaliti tumeshaitokomeza!! M4C oyeeee!!!

 
tunajua kabisa huo waraka ni uzushi mtupu maana ndio michezo yenu chadema.
Alaf ni wazi kuwa walitaka kujiuzulu kwakuwa mlishaonesha hamwataki. Kuna uzushimwingi sana humu.

Kama Mwampamba alitengenezewa pozisheni UVCCM, hesabu za cross-multiplication zinaweza ku-apply hata kwa Zitto na Kitila. Wote ni raia wa Tanzania na wako huru kujiunga na chama chochote kinachowafaa. CCM walimpigania sana Zitto, sasa ngoja tuone fadhila zinazowasubiri kundini.
 

Ni wajinga wchache wanaoweza kusimama na kushbikia ngonjera na hekaya za chadema. Msomi anafukuzwa chadema na form four failures..
 
Last edited by a moderator:
Huu ndo mwisho wake katika medani za kisiasa za bongo, bahati yake kamejikusanyie fedha nyingi kifisadi otherwise.... Mdogo wangu Kitila atulie aimarishe kitivo cha elimu DUCE.

Mwisho wa ubaya aibuu
Pamoja na mapesa status atapata wapi na anavyopenda masifa mwana yule
 
me nilidoubt wakati Prof Baregu na Dr Rwaitama wanaondolewa chuo kikuu cha Dar es salaam kwa kuonyesha misimamo mikali dhidi ya serikali Dr Mkumbo alipewa promo kwenda DUCE wakati akijulika yy ndo mshauri wa vijana wa Chadema, nilidoubt kidogo na wenye akili tulijiuliza maswali ila mipango ya Mungu binadamu haiigilii,
TULIANZA NA MUNGU TUPO NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU
 

soma post 566 nimeuweka hapo
 
Kwa kuwa Tundu Lissu sio msomi.....na kwa kuwa naye anatoka uchagani bila shaka nakubaliana na wewe....
Walifukuzwa madiwani Arusha....hamkusema usomi wala ujinga wao pia kanda yao....why kwa Zitto?

Hawa watu hewa kabida wao wanaambiwa jamaa waliomba kujiuzulu wakakataliwa sasa kelee za nini ngoja waje wakanushe dhen video zifate.....lazima mkae zis tme
 
Ni wajinga wchache wanaoweza kusimama na kushbikia ngonjera na hekaya za chadema. Msomi anafukuzwa chadema na form four failures..

Kama ni kweli, amefeli kwa sababu ya mfumo MBOVU chini ya serikali ya ma-CCM
 
Jiulize chanzo cha migogoro ni nini? Mimi siyo mwanaCDM, lakini migogoro inayotengezwa na chama au wanachama wa chama kingine siiafiki kabisa. Ni bora kuangalia nini kinahitajika kwa ajili ya kujenga chama.

Hilo ni swali tofauti, jibu lake halibadilishi umuhimu wa nilichosema.

Chama chenye migogoro kinajipunguzia muonekano wa kuweza kuongoza.

Whether migogoro ni ya kugombea kiazi au dagaa.
 
Wanachama tutulie maamuzi haya mazito kweli kweli,daaaah Kitillya nimekaa naye DUCE inauma kweli.
 
Sasa cha ajabu wote waliokuwa nyuma ya Zitto uone kama watamfuata huko aendako - hili ndilo tatizo la Migomo baridi, kiongozi akidakwa tu wengine nyweeeee!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…