Neta ni self-proclaimed Mr. Security , na nyakati kama hizi za uchaguzi ndo mida yake kuprotray hiyo dhanaSidhani kama Israel na wayahudi kwa ujumla kama wako na wanajihisi kuwa salama chini ya uongozi wa netanyahu. Huwezi kuwa salama chini ya uongozi wa mpenda damu za watu kama netanyahu
😀😀😀 alokwambia uislam umenaza miaka 600 naniUislamu dini imeanza mwaka wa 600 hapo unafananisha na dini ya uyahudi ambayo ipo miaka zaidi ya elfu 5
Wayahudi hawamkubali Yesu na hawajaanza leo tokea wakati Yesu anaishi na anafufuka wayahudi hawakuwahi kumkubali miaka 2000 iliyopita sasa unashangaa wao kumkataa Yesu na ukristo
Quran imeshushwa wakati wa muhammad sasa hao waislamu kabla ya muhammada walikuwa wanatumia kitabu kipi😀😀😀 alokwambia uislam umenaza miaka 600 nani
Pole kijana inatakiwa upigwe sana msasa kuhusiana na uislam
😀😀😀Quran imeshushwa wakati wa muhammad sasa hao waislamu kabla ya muhammada walikuwa wanatumia kitabu kipi
Utaratibu wa kusali kauleta muhammad sasa hao waislamu kabla ya muhammad walikuwa wanasalije je una evidence walivyokuwa wanasali hakuna sasa walikiwa wanasalije ilihali taratibu za kusali alizileta muhammad haya ndo maajabu ya uislamu
Ndio, sasa 20% ndio ridhaa ya wananchi? Kwahiyo ALIJIPA mwenyewe kwa vikao vichache tu na vyama vingine vyenye wabunge wengi ila sio kama alipata ridhaa ya wananchi kama ulivyopotosha.Alijipa uwaziri mkuu acha ushabiki
Nani anajifariji kwani hana kesi ICC? Kwani arrest warrant haijatolewa?kujifariji kunarusiwa
Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau
Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi
Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano ya amani wana-hijack na kuanza kuchoma nchi
Liberal policy zimefeli europe ni wakati wa conservative na hardliner mfano wa Netanyau wote sisi ni mashahidi netanyau anafanya kaz nzuri sana ya kuilinda nchi yake angekuwa dhaifu leo hii wananchi wote wa israel wangekuwa wamechinjwa sasa france inahitaji kiongozi aina ya Netanyau ili kuclean mess na kudeal na magaid wa ndani nchi ambayo wanatamani kuona nchi inapotea
Watu wanachoma nchi huku wanapeperusha bendera za palestina, algeria na morocco yaani mtu amezaliwa ufaransa ila anaipenda sana morocco, algeria au tunisia ukiwaambia waende hawataki
french wanafeli sana wanapowachekea
Marekani na nchi za ulaya hazijawahi kuishambulia morocco, algeria au tunisia nchi ambazo zimepeleka watu wengi france kwa hiyo hakuna sababu ya kuichoma nchi ambayo umezalachw propaganda za wakoloni wa chinza magharibi Dunia nzima inajua gaidi na shetani namba Moja ni netanyau huyu ndio gaidi anafanya ugaidi mchana kweupe sio hao mnao wasingizia kama hamas, Hezbollah na wengine
Mbona hukemei haya yamayofanywa na waislamu wenzio Ulaya?Netanyahu anapigana na magaidi gani? yule yuko interested na madaraka tu. Ndio maana alipoambiwa Hamas watashambulia oktoba 7 akajikausha kabisa ili apate sababu ya kubaki madarakani.
Na taarifa za sasa zinasema alikataa hata dili la kurudishiwa mateka mapema kabisa maana alijua haitamsaidia kisiasa kuliko vita isiyoisha.
Ni wajinga kama wewe ndio mnaamini Netanyahu anapambana na ugaidi. In fact alimsaidia gaidi wa Al Qaeda kushika madaraka huko Syria na kusaidia wapiganaji wa ISIS waliokuwa wanatandikwa na Iran/Russia. Sasa mtu anayepambana na magaidi anaweza fadhili magaidi?
Empty head
Sasa kama raia anajichanganya na magaidi unataka Netanyahu afanyeje?Kwani hamas ndio raia? Maana kwenye Vifo elfu 80 plus hao hamas hata vifo elfu 5 hawafiki ndio maana vita imeisha ila bado Hamas wapo maana yake Israel ilikua inaua raia inaacha askari.
Na sio mimi, amesema waziri wa Israel Itamar Ben Gvir kuwa wao walikua wamejiwekea malengo ya kuua RAIA wa palestina kila siku wala sio Hamas.
Ni sawa na Kenya baada ya kushambuliwa na Al Shabaab basi wangeenda tu Mogadishu na kuanza kuua msomali yoyote mbele yao kwani wangeshindwa?
Anaitwa nabii Netanyahu!Sidhani kama Israel na wayahudi kwa ujumla kama wako na wanajihisi kuwa salama chini ya uongozi wa netanyahu. Huwezi kuwa salama chini ya uongozi wa mpenda damu za watu kama netanyahu
Wala hatuhitaji kuusoma uislamu,tunaangalia waislamu wa Ulaya tunaujua!😀😀😀
Ndio maana nikakwambia uusome uislam badala ya kuropoka na kupigia watu kelele
Kweli upo sahihi zaidi ya sana kua Qur’an ilikuja wakati wa s a w
Kabla ya Qur’an vilikuja vitabu vingi tu kulikua na zaburi taurat sufi(suhufi)injili
Ibada zote ambazo zimeongelewa ndani ya Qur’an basi zilifanywa katika hivyo vitabu tajwa hapo juu ila tu kwa namna ama mfumo tofauti ila ni zile zile
19:55 qur an nenda kapitie hapa utoe huo ujinga kichwani
20:14 qur an nenda kasome utoe upuuzi kichwani mwako
14:40 Qur’an nenda kasome uone ulivyo hujui lolote kuhusu uislam
19:31 Qur’an nenda kasome ujue mambo
Kijana huujui uislam kaa kwakutulia kama moja
Ni sawa umetoka zako Kigoma Ujiji huko karibu na Kambi ya Waakimbizi ukaweka makazi yako njia ya kuelekea Kimara mkoani Dar uliposikia vurumai la kuchoma vituo vya mwendokasi kwa kutumia mitungi ya gesi na wewe ukaunga tela, hivi au ngoja nisiendelee kusemaMarekani na nchi za ulaya hazijawahi kuishambulia morocco, algeria au tunisia nchi ambazo zimepeleka watu wengi france kwa hiyo hakuna sababu ya kuichoma nchi ambayo umezaliwa
Ni jambo jema israhell inatakiwa isuswe na kila nchi inayojitambua kama hio Ireland nkNi suala la muda tu na sio ufaransa tuseme Ulaya yote, si umeona juzi timu ya taifa ya Ireland ilivyokuwa inaleta mambo ya siasa kwenye football dhidi ya Israel?
Ukiishajua bado utaendelea kuteseka na kuteswa na uislam mpaka kufa kwakoWala hatuhitaji kuusoma uislamu,tunaangalia waislamu wa Ulaya tunaujua!
Nabii Netanyahu ndo kiboko yenu!Ukiishajua bado utaendelea kuteseka na kuteswa na uislam mpaka kufa kwako
Maana huna cha kutufanya sisi wala huo uislam
Unabakia tu kuteseka na kuumia ndani kwa ndani pole sana
Ila vumilia tu utazoea
Mayahudi wa Mecca na Madina walipokataa janja janja za mudi boy ikazaliwa chuki ya waislamu dhidi ya Israel.Ni jambo jema israhell inatakiwa isuswe na kila nchi inayojitambua kama hio Ireland nk
Mimi sio muislam.Mbona hukemei haya yamayofanywa na waislamu wenzio Ulaya?
50% ya wakazi wa Gaza ni watoto chini ya miaka 18, sasa unaposema raia anajichanganya na magaidi una maana gani?kama raia anajichanganya na magaidi unataka Netanyahu afanyeje?