Kama ni warts usiziunguze na dawa yoyote.utaumia na zitarudi tena.. nakupa dawa ambayo teyari confirmed 99% nenda sokoni kariakoo pale stendi ya magari ya mwenge pembeni kuna maduka ya dawa za asili..nunua mafuta ya castrol oil ,hayazidi shs 2000 ...paka ile sehemu husika..hata kama ni uke ndani fanya maarifa mafuta yaingie ndani ..kiasi tu kama kifuniko cha chupa ya maji ndogo..mara 2 kwa siku..asubuhi na usiku.. kwa mda wa wiki 1 mpaka 2..warts zote zitaondoka for gud. Mafuta yanakiarufu flani kinaweza kukukera usiweke kingine..usinunue castrol oil za madukani special zile hazina nguvu..nunua zile za asili zinanuka kidogo.. mimi sio daktari. Lakini nimeprove iyo kitu. All the best pole.